COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Dalili za kushindwa kukiendesha chuo hicho.
1. Idadi ya wanafunzi imekuwa ikipungua kwa kasi siku hadi siku
2. Waalimu (lecturers na tutors) wengi wamekuwa wakiacha kazi ya kufundisha chuoni hapo.
3. Chuo kinashindwa kuwalipa Lecturers na tutors kwa wakati; Ni jambo la kawaida sana kwa chuo hicho kukaa miezi MINNE (4) bila ya kuwalipa waalimu wao mishahara.
4. Chuo hiki cha kiislamu kwa sasa kinategemea sana Part time lecturers kufundisha wanafunzi wao japo pia uwezo wa kuwalipa hata hao part time lecturers nao ni mdogo sana. Part time lecturers nao wanakikimbia chuo hicho.
5. Majengo ya chuo yamechakaa sana, yaani hayana mvuto wa ki-UNIVERSITY.
Nahisi Uongozi wa chuo hicho hauna maono ya namna ya kukiendesha chuo hicho na kukifanya kuwa chuo kilicho bora kitaifa na kimataifa.