Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

Waislamu walengo yao ni kujenga misikiti, Education kwao ni ukafir.
 
Ndugu hayo uliyoyasema mm nayathibitisha 100% ni ukweli mtupu kuna mwalimu moja ni mkongwe mno pale MUM yy ni katika waanzilishi wa Chuo alikuwa akifundisha pale MUM akitokea UDSM katika department ya Literature maarufu kama Dr.Koro mpaka sasa hajaja kuanza kuwafundisha vijana wa 1st Yr & 2nd Yr sababu ndio hizo hapo juu

Naona kuna haja ya kuitishwa waislam kwa ujumla wao wakichangie ili kitoke katika matatizo hayo uliyoyasema
 
mbon nyie chuo mlipewa mfanyie kwe majengo ya serikali sie hatuchongi jamani

Usiseme tulipewa; kwani siye vilema?? Kama waliona hakuna cha kufanyia pale sisi tusione maono? Nyiye vipi?? Kama tulipewa mbona hamtupi nguvu ya kukiendeleza??
 
Waachane hao, tumeambiwa hawatakaridhika mpaka tufuate mila zao. sasa inawauma nn
 
Haya mmemaliza? Semeni tu hadi mshibe. Kama si kodi zetu hivyo vyuo mnavyoringia vingelikuwepo?? Mnapewa mifedha kusomesha mfumo kristo wenu ili uzidi kuwa imara halaf mnaringa. Mnyimwe ruzuku tu tayari kelele
Aliyewafanya kuwa vipofu sijui ni nani? Ata kama jambo ni la ukweli Bado mnakuwa wabishi. Mnapoambiwa kitu jaribuni kuchukua hatua. Yaani nyie ni kuhisi kuonewa tu
 
Usiseme tulipewa; kwani siye vilema?? Kama waliona hakuna cha kufanyia pale sisi tusione maono? Nyiye vipi?? Kama tulipewa mbona hamtupi nguvu ya kukiendeleza??
usichukie basi muungwana mlipewa ndio au mlinunua ama kujenga wenyewe?kupewa c mpk uwe kilema bhana mkuu
 
Hapa kwanza ningeomba tuache udini.
Nakupongeza sana mleta Mada,na umeandika vizuri saana tena saana,na umetoa mwanya wa watu kujenga hoja na kutetea,lakini ukweli unabakia kwamba bado hakuna hoja imeyotetea vizuri.Kila mmoja anarusha mpira na wengine wakiona chuo fulani cha Kikristo kimekufa baso wanaonyeshea mfano huko wakati sio lengo.

Lengo ni nia nzuri na njema,sasa kamaa chuo fulani cha kikristo kimekufa basi mleta mada licha kwamba ni mkristo ila kwa ubinaadam wake ameona atoe hadhari kwa sie waislam kwamba chuo chetu kinakufa ili kisije kufikia kama hivyo walivyovitolea mfano watu wengine,Naweza kusema Waliochangia kwa nia Njema Mungu awabariki.

Unajua sie Waislam tumekuwa tukilalamika muda mrefu saana suala la elim,na tulipoteleza tunapajua,unajua kuna Wanafiki ndani ya Uislam na kuna Waislam wenye kujitambua.Sasa kama chuo chenyewe kimoja tena cha kisasa kinatushinda,sasa tumlalamkie nani.Maana kwenye nyumba zetu za ibada tu vurugu kila siku.Watu hata BAKWATA wanakuambia hawaitambui na kusema BAKWATA ni Tawi la Kanisa,hivi hii akili kweli?
Narejea kusema,adui wa Muislam yumo ndani ya Uislam na sivinginevyo
Mfano mdogo tu,unakuta mtoto wakati anaenda madrasa anavaa nguo ile chafuuu,na kanzu chafuu tena mbayaa,ila huyohuyo mtoto akienda Shuleni basi unakuta smart kweli,kiatu safii,soksi,shati safii yaani amependeza kweli na pesa ya kula juu.Sasa geukia upande wa pili wa Madrsa,huwezi kuamini ndugu zangu wakristo,ni kwamba Madrassa nyingi za kiislam mchango au ada ya mwezi haizidi Elfu 5,mie wanangu anasoma madrassa kwa mwezi elfu tatu tu,lakini cha kushangaza hakna hata anaetoa,yaani waalim wa madrass wana struggle kweli,wengo omba omba,na hawawezi kumfukuza mtoto kwa ada ya madrasa,ila wakati huo huko Mtoto huyo analipa karibia milioni shule ya kawaida.

Sasa hapo mtapata picha kwamba haya mambo yana background yake,na muislam mwenye kujitambua hapati shida kujua vyanzo.Kuna unafiki mwingi sana ndani ya Dini yetu,lazim tuliseme hili.Shule ngapi zinatushinda kusimamia Vizuri ikiwemo Ubungo Islamic na nyinginezo.

Naomba uongozi wa Chuo na BAKWATA na taasisi husika lazima walishughulikie hili.Chuo kinauwezo wa kuomba Wataalam Nchi nyingi sana za Kiislam zenye maendeleo makubwa ya ELIM kama Iran nk na wakasaidia pale,ila kuna tatizo ndani kwa ndani kwa maslahi ya wachache.
 
Hapa kwanza ningeomba tuache udini.
Nakupongeza sana mleta Mada,na umeandika vizuri saana tena saana,na umetoa mwanya wa watu kujenga hoja na kutetea,lakini ukweli ubakia kwamba bado hakuna hoja imeyotetea vizuri.Kila mmoja anarusha mpira na wengine wakiona chuo fulani cha Kikristi kimekufa baso wanaonyeshea mfano huko wakati sio lengo.
Lengo ni nia nzuiri na njema,sas akamaa chuo fulani cha kikristo kimekufa basi mleta mada locua kwamba ni mkristo ila kwa ubinaadam wake ameona atoe hadhari kwa sie waislam kwamba chuo chetu kinakufa ili kisije kufikia kama hivyo walivyovitole mfano watu wengine,Naweza kusema Waliochongani kwa nia Njema Mungu awabariki.
Unajua sie Waislam tumekuwa tukilalamika muda mrefu saana suala la elim,na tulipoteleza tunapajua,unajua kuna Wanafiki ndani ya Uislam na kuna Waislam wenye kujitambua.Sasa kama chuo chenyewe kimoja tena cha kisasa kinatushinda,sasa tumlalamkie nani.Maana kwenye nyumba zetu za ibada tu vurugu kila siku.Watu hata BAKWATA wanakuambia hawaitambui na kusema BAKWATA ni Tawi la Kanisa,hivi hii akili kweli?
Narejea kusema,adui wa Muislam yumo ndani ya Uislam na sivinginevyo
Mfano mdogo tu,unakuta mtoto wakati anaenda madrasa anavaa nguo ile chafuuu,na kanzu chafuu tena mbayaa,ila huyohuyo mtoto akienda Shuleni basi unakuta smart kweli,kiatu safii,soksi,shati safii yaani amependeza kweli na pesa ya kula juu.Sasa geukia upande wa pili wa Madrsa,huwezi kuamini ndugu zangu wakristo,ni kwamba Madrassa nyingi za kiislam mchango au ada ya mwezi haizi Elfu 5,lakini cha kushangaza hakna hata anaetoa,yaani waalim wana struggle kweli,na hawawezi kumfukuza mtoto kwa ada ya madrasa,ila wakati huo huko Mtoto huyo analipa karibia milioni shule ya kawaida.
Sasa hapo mtapata picha kwamba haya mambo yana background yake,na muislam mwenye kujitambua hapati shida kujua vyanzo.Kuna unafiki mwingi sana ndani ya Dini yetu,lazim tuliseme hili.Shule gapi zinatushinda kusimamia Vizuri ikiwemo Ubungo Islamic na nyinginezo.
Naomba uongozi wa Shule na BAKWATA na taasisi husika lazima walishughulikie hili.Ila shule inaweza na inauwezo wa kutoa Wataalam Nchi nyingi sana za Kiislam zenye maendeleo makubwa ya ELIM kama Iran nk na wakasaidia pale,ila kuna tatizo ndani kwa ndani kwa maslahi ya wachache.
HONGERA kwa comment isiyo na unafiq hata kidogo
 
Huu ndio umuhimu wa kuelewa jambo kwa tafakuri
Ndugu zangu katika iiman tusipuuze ujumbe huu
Ni muda muafaka wa kufuatilia na kutafuta suluhu inshaallah.
Ahsante Muungwana na wapendao mema kwa TAIFA!!
Tutazame na tuige wenzetu wa MALAYSIA, CANADA,TURKEY,INDONESIA,UK nk wanavyoendesha viyuo vyayo.. Kweli Yes it can be done!! hakuna atakaeweza kututoa ktk shimo hili ispokuwa wenyewe... madamu tuliweza kujenga tofali baada ya tofali, Basi in-shaa-Allah tutaweza kumanage Modern Management (uswahili,uswahiba,udugu weka pembeni) yenye ufanisi kitaalamu.
kila la heri
 
inawezekana mtoa ni muisilamu ambaye amesoma hapo na kujionea mazingira, so badala ya kugeuza kila kitu kuwa ligi kati ya uisilamu na ukristo fuatilieni kama ni kweli mchukue hatua

Great..!
 
ila kuna kitu nimekiona kwa ndugu zetu waisilamu na wenye asili ya pwani, hawa ndugu huwa wanajaribu kuishi kijamaa sana, mfano kuchangia Madrasa eti 5000 halafu mtu hatoi na wala hafukuzwi
pia ukienda kwenye vijiji vingi maeneo ya pwani watu wanaishi huria sana, vijiji vimekaa kama soko hivi watu wana azimana unga, jiko la kupikia hata chumvi, chakula unaweza kuta familia mbili zina share mlo wa mchana

tofauti na wakristo, wakristo mtoto wako akishindwa kulipa ada hata kama ni ya muhula mmoja tu amekwama hapo ni kwa heri

hata shule za seminar za kikristo ada ni ghali sana na ukifanya kosa kidogo tu ni kufukuzwa bila mjadala
tukienda kwenye vijiji vya maeneo ya wakristo kama Kilimanjaro vijiji vyake hakuna cha kuishi kijamaa watu wamewekeana mipaka kwenye ardhi zao na ukisogeza mpaka kidogo ni kesi

labda kama waisilamu wakitaka kusonga mbele naona huu ujamaa wangeachana nao, ubepari unaonekana kama ni ubinafsi lakini ubepari u achochea kujituma na kuleta maendeleo
 
hicho chuo bhana ni wazanzibar tu wamejaa hapo wanAkiendesha km secondary atakae enda hapo ni nani..kuhusu majengo yk ni mazuri tu huwezi kufananisha na mzumbe kimechakaaaa hasa...ila kiukweli Uongozi wa Mum ubadilishe style ya kuendesha kile chuo ili kuvutia watu kutoka dini zote na sio kuny'any'ania tu maostaz na maijabu peke yao ndo wasome hapo..
Unataka waruhusu wavaa vimini ili wanafunzi wajae? Bora kiwe na wanafunzi wachache wenye adabu.
 
Image004.jpg Image004.jpg Hostels.jpg 17022011227.jpg Administration.jpg 100_3161.JPG 100_3161.JPG KARIBUNI CHUO KIKUU CHA KIISLAMU MUM BINAFSI NAFURAHI KUWA HAPA..............
Image004.jpg
Hostels.jpg
17022011227.jpg
Administration.jpg
 
Tatizo Ni Bakwata Tu, Sio Baraza Kuu La Waislam, Lenye Malengo Ya Kuendeleza Uislam Na Waislam Tanzania, Bali Ni Kikundi Cha Watu Wachache Wenye Kunufaika Wao Na Familia Zao!! Kila Wanapojitokeza Waislam Wenye Nia Ya Kudai Na Kusimama Kidete Ktk Kusema Ukweli, Wanambambikwa Makesi Mazito Ya Uchochezi, Ugaidi Na Siasa Kali!! Mf.Sheikh Ponda!! So Kwa Vile Wao Ndio Wenye Maamuzi Ktk Uendeshaji Wake, Wacha Tu Kife!!
 
Kwakweli kamachuo hiki kimetushinda ni bora kikarudi serikalini mana hata hakisikiki kabisa .
 
Jamani hivi mnajua hali ya st John ya Dodoma? Au Semcuco ile ya Lushoto????? Bora MUM mara 1000 kuliko hivyo! I am speaking from my experience
Hali ya hivyo vyuo vingine haiondoi umuhimu wa chuo cha MUM kukosolewa.
Mleta mada ameyaona ya MUM, wewe anzisha uzi uelezee ya vyuo ulivyovitaja.
 
Hiyo yote sababu hakluna viongozi bora katika hicho chuo kazi yao Waislam wa Tanzania kuilalamikia Serikali haiwasaidii kitu wakati waislama wa ulaya au uarabuni wanajiendesha wao wenyewe wana miradi yao ya kukuza Elimu na Uislam tofauti na Waislam wa Ki-Tanzania kazi yao kubw ani kupigana vita na kurogana tu. Kitafika wakati hicho chuo kitafungwa na Serikali ndio mwisho wake.
Asante kwa kuja. Na akusome bibie FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom