Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

waislam acheni ku invest madrasa igeni mfumo wa wenzenu kuanzia kwenye taasisi zenu,hospitali,shule na vyuo kote huko kuna poor administration fanyeni case study mjifunze njia za uendeshaji na kama inashindikana then ajirini hata ss wakina joni tuwasaidie. vinginevyo mtabaki kulalamika mnategwa kila siku
 
Muslim University of Morogoro (MUM) nikama kimewashinda ndugu zetu waislamu kukiendesha, inasikitisha sana. Hivi mkiacha kikafa na kufungwa kabisa mtamlalamikia nani?.

Dalili za kushindwa kukiendesha chuo hicho.

1. Idadi ya wanafunzi imekuwa ikipungua kwa kasi siku hadi siku

2. Waalimu (lecturers na tutors) wengi wamekuwa wakiacha kazi ya kufundisha chuoni hapo.

3. Chuo kinashindwa kuwalipa Lecturers na tutors kwa wakati; Ni jambo la kawaida sana kwa chuo hicho kukaa miezi MINNE (4) bila ya kuwalipa waalimu wao mishahara.

4. Chuo hiki cha kiislamu kwa sasa kinategemea sana Part time lecturers kufundisha wanafunzi wao japo pia uwezo wa kuwalipa hata hao part time lecturers nao ni mdogo sana. Part time lecturers nao wanakikimbia chuo hicho.

5. Majengo ya chuo yamechakaa sana, yaani hayana mvuto wa ki-UNIVERSITY.

NDUGU ZANGU waislamu, ingilieni kati kukinusuru chuo chenu vinginevyo chuo hicho kinaelekea kufa. Nahisi Uongozi wa chuo hicho hauna maono ya namna ya kukiendesha chuo hicho na kukifanya kuwa chuo kilicho bora kitaifa na kimataifa.
Hoja zako hazina mashiko
Yalisemwa hayo tangu chuo kilipoanzishwa ile 2014,watu walisema kwamba hakitamaliza hata miaka miwili.
But chuo bado kinasonga mbele na hadi sasa kina wanafunzi wa certificate,diploma na degree.masters iko njiani.
So hizo ni kauli za kukikatisha tamaa chuo hiki.
Elimu inayotolewa MUM ni ya ubora wa hali ya huu,hili hata TCU wanalidahamu.
Changamoto ulizoziorodheA zipo kaeibia kila chuo cha private coz uendeshwaji wa chuo unategemea ada za wanafunzi
OVER
 
Ahsante ndg. COARTEM ....... kwa taarifa..
Ndg. WaIslamu tujifunze kusikia... huu ni ujumbe !! na Lisemalo lipo!! Sasa tufuatilie na kuhakiki..hata tukikuta powa... Tuongeze Maono na malengo!! upgrade!!
Ndg. Waislam tuache kudharau na kupuuza mambo madogodogo!!

Waislam wangekuwa kama wewe ingesaidia sana. Wengi interests zao zikiguswa cha kwanza ni matusi na kukanisha. Labda hukupitia zile shule za awali.
 
Hoja zako hazina mashiko
Yalisemwa hayo tangu chuo kilipoanzishwa ile 2014,watu walisema kwamba hakitamaliza hata miaka miwili.
But chuo bado kinasonga mbele na hadi sasa kina wanafunzi wa certificate,diploma na degree.masters iko njiani.
So hizo ni kauli za kukikatisha tamaa chuo hiki.
Elimu inayotolewa MUM ni ya ubora wa hali ya huu,hili hata TCU wanalidahamu.
Changamoto ulizoziorodheA zipo kaeibia kila chuo cha private coz uendeshwaji wa chuo unategemea ada za wanafunzi
OVER
Sasa hapo unakataa nini na unkubali nini? Tunataka MUM iwe bora ndiyo maana tunaleta hizi changamoto humu ili wahusika wakiziona wazifanyie kazi.
 
Weka aina ya kozi zinazofundishwa chuoni hapo.
University offers the following Degree Programmes:-

1. Bachelor of Arts (Education)

2. Bachelor of Languages and Interpretation

3. Bachelor of Arts (Mass Communication)

4. Bachelor of Islamic Studies with Education

5. Bachelor of Science with Education

6. Bachelor of Business Studies

7. Bachelor of Laws with Shariah
The University offers the following Diploma programmes:-

1. Diploma in SCience and Laboratory Technology

2. Diploma in Journalism

3. Diploma in Islamic Banking an Finance

4. Diploma in procurement & Logistics Management

5. Diploma in Law & Shariah

6. Diploma in Accounting
The University offers the following Certificate Courses:-

1. Certificate in SCience and Laboratory Technology

2. Certificate in Journalism

3. Certificate in Islamic Banking an Finance

4. Certificate in procurement & Logistics Management

5. Certificate in Law & Shariah

6. Certificate in Accounting

7. Certificate in Chinese Language

8. Certificate in Sign Language

9. Certificate in Arabic Language
 
Niwakati wa kuchukua hatua kwa wote wanaohusikà...
Ni kweli kbisa pale MUM kuna kasoro kibao tu na yasiporekebishwa bas itaja kuwa mbaya..
Inaumiza pale watu wanaangaika kufwatilia mambo ya watu binafsi na kuacha kuboresha mazingira ya chuo yawe rafiki kwa wanafunzi na wafanya kazi...
 
Tatizo letu kubwa ni kutaka vya bure anyway sina kusudio baya na dini yangu ila ukweli ndio huo, umwinyi unatusumbua sana ndugu zangu hata kuchangia msikitini ni shida,misikiti kibao tunajengewa kwa misaada, kwa upande wa wakikristo kila kitu wanajitutumua wanakanisa wenyewe. Lazima tubadilike utakuta watu kibao pale chuo hawatoi ada kisa Allah atalipa sasa tutaendeshaji chuo
Yalioandikwa na mleta mada ni uongo mtupu
 
Tunashukuru kwa taarifa, tutazifanyia kazi.

Ila kama ni za uongo, dhambi hiyo uibebe mpk kaburini mwako.
 
Tunashukuru kwa taarifa, tutazifanyia kazi.

Ila kama ni za uongo, dhambi hiyo uibebe mpk kaburini mwako.
unajua nn unaongea heti unajua dhambi kweli unaweza kumwambia.muislamu mwezako.maneno.hayo. sasa sikia pale hapafundishwi elimu ya din eti hamna kasema amesema mungu amesema mtume hapafundishi akida ya ahal suna wal jamaa pale hapafundishwi namna ya kumumkafin mait pale hapafundish tauhid pale sasa ukimwambia mwenzio.atabeba dhambi.mpaka kaburin kwann ingekuwa ni chuo cha sheria ya kiislamu sawa aisee ikhiwan achen jaziba za kihizibia wallah tuisomeni.din ya waislamu tuielewe tuachane za majazba haya hayana faida yeyote zaid.ya kutupoteza katika njia ya waja wema
 
Back
Top Bottom