Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

Khs kupungua kwa wanafunz, hili ni tatizo la kitaifa si kwa Mum tu, Mum ina nafuu sana x 1000 kuliko vyuo vingine vinavyotegemea mgao wa TCU, Idadi ya wanafunz Mum ni kubwa kuliko majengo yaliyopo ndo maana hata wale wa diploma na certificates wanasoma kwa sessions, enrollment ya undergraduate ni kweli imepungua ni around 600-700 per year now! Tofauti na awali ambapo ilikuwa hadi 1000, mtoa mada uliza enrolment ya st john na semcuco !
 
Kwa kujali taaluma, hata parttime hupewi tu kwakuwa unatoka Udsm au Sua, inaangaliwa gpa yako kama ina meet criteria! Kwa kweli Mum wako strict sana kwenye academic standards
 
Jamani hivi mnajua hali ya st John ya Dodoma? Au Semcuco ile ya Lushoto????? Bora MUM mara 1000 kuliko hivyo! I am speaking from my experience
st john kuwa mbaya haimaanishi na MUM iwe mbaya,kama st john ina ubaya wake twambie ili angalau wahusika wafahamu,lengo ni elimu bora jwa taifa....
 
hivii ni kwanini sisi watanzania kwenye mambo ya mhimu tunaendelea udini? watanzania tubadilike kwa kwelii
Tunatakiwa kubadilika. Mtu anaweza kusoma shule zinazosimamiwa na kumilikiwa na dini yake tangu chekechea mpaka anahitimu elimu ya juu ; lakini ajira atakayoipata kwenye taasisi ya umma au binafsi inamfanya kuhudumia watu wote , wenye dini , wasio na dini , wa kabila zote na rangi zote . Kwahiyo kutokufanya vizuri kwa MUM au taasisi nyinginezo siyo suala la udini ni la kitaifa. Ni letu sote. Tusikwepe ukweli kwa kujificha nyuma ya udini.
 
Tunatakiwa kubadilika. Mtu anaweza kusoma shule zinazosimamiwa na kumilikiwa na dini yake tangu chekechea mpaka anahitimu elimu ya juu ; lakini ajira atakayoipata kwenye taasisi ya umma au binafsi inamfanya kuhudumia watu wote , wenye dini , wasio na dini , wa kabila zote na rangi zote . Kwahiyo kutokufanya vizuri kwa MUM au taasisi nyinginezo siyo suala la udini ni la kitaifa. Ni letu sote. Tusikwepe ukweli kwa kujificha nyuma ya udini.
Safi sana mzalendo wa nchi hii, mawazo kama haya yako ndiyo yanatakiwa kwenye dunia ya sasa.
 
kuchakaa majengo ndio kushuka kwa taalum?? jinga kabisa bado naon watu wanachangia kwa mihemko
 
Kile chuo ukitoka nje kula chips.....ukirud ndani unaulizwa umekula chips wapi?? Na ulikuwa na nan?? Km ni binti akitoka pale nje ya geti kuna mashushu wanakufatilia kuona unaenda wapi na kufanya nn.....mhhhh no freedom of living pale na kwa style hiyo inabinya mindset ya mtu kupanuka kichuo....hilo ni tatzo namba moja
Discussion ya msichana 1 na wav 2 hairusiwi naskia
 
Mtoa mada utakuwa unalako jambo! Mimi ni mdau wa mum nachojua kwa sasa kuna watumishi zaidi 22 ambao wengi wao wako nje lwa ajili ya PhD, ndo maana hata upungufu ukawepo, kwa taarifa yako Mum ni chuo kilicho very strict kwenye principles za ajira na academics,wanafunz wanaodisco pale ndo huchukua progressive report kwa kwenda Jordan university, maana jordan kwao elimu ni biashara.Mum kama mwalimu huna GPA ya kuanzia 3.8 undergraduate na 4.0 masters huna nafasi hata kama ni science! Ndo maana kuna baadhi ambao hawakukidhi vigezo mmoja kaenda SUA mwingine Mwalimu Nyerere kivukoni, na mwingine sijui alipo.So hakuna anayekimbia ni kutokana na strictness iliyopo
Vigezo vya gpa vinapangwa na TCU 3.8 bachelor na 4.0 masters ni vigezo vya TCU sio vya MUM elewa mada
 
Hiyo yote sababu hakluna viongozi bora katika hicho chuo kazi yao Waislam wa Tanzania kuilalamikia Serikali haiwasaidii kitu wakati waislama wa ulaya au uarabuni wanajiendesha wao wenyewe wana miradi yao ya kukuza Elimu na Uislam tofauti na Waislam wa Ki-Tanzania kazi yao kubw ani kupigana vita na kurogana tu. Kitafika wakati hicho chuo kitafungwa na Serikali ndio mwisho wake.

Na kikiguswa kilio chake cha kufa mtu...I mean sasa tuanze kuangalia mambo kwa jicho tofauti
 
kuchakaa majengo ndio kushuka kwa taalum?? jinga kabisa bado naon watu wanachangia kwa mihemko

Majengo ni sehemu ya miundombinu ya chuo,nikisema chuo hakina viti au meza za kukalia na ukaona kawaida basi kaa ukijua una umaskini wa akili tena wa kurithi kama sio kwa wazai basi kwa viongozi wako wa dini
 
aiingii akilini hii kitu kile chuo kiwe kichakae majengo kufikia kutovutia wanafuzn may be kuna sababu nyingine
 
Haya mmemaliza? Semeni tu hadi mshibe. Kama si kodi zetu hivyo vyuo mnavyoringia vingelikuwepo?? Mnapewa mifedha kusomesha mfumo kristo wenu ili uzidi kuwa imara halaf mnaringa. Mnyimwe ruzuku tu tayari kelele
Acha mbwembe, jamaa ametoa ushauri mzuri kabisa bila matusi wala kejeli.

Jengeni chuo chenu basi. Ni lini mtaacha ubinafsi nyie watu!??
 
Tatizo la hawa ndugu zetu ni kuwa wanabaguana, hawapo wamoja ktk kuangalia maendeleo , mara wahangaike na shekh Ponda, mara waitane " hao ni uamsho" na ukichunguza ni kwamba tayari taasisi yao imeshasambaratishwa na fedha chafu, jambo hili nafikiri hata madhehebu mengine yaameanza ugonjwa huo na kipimo ni wale walioingia kwenye bunge la katiba
 
Haya mmemaliza? Semeni tu hadi mshibe. Kama si kodi zetu hivyo vyuo mnavyoringia vingelikuwepo?? Mnapewa mifedha kusomesha mfumo kristo wenu ili uzidi kuwa imara halaf mnaringa. Mnyimwe ruzuku tu tayari kelele
acha wivu
 
Kama hali ipo hivyo nadhani viongozi walione hili,pia watu wasireact kwa hisia za kidini ila kwanza wafuatilia hii taarifa Kama ni sahihi ifanyiwe kazi haraka na hata kama sio sahihi pia ifanywe kazi haraka kuepusha kukichafua chuo
 
Back
Top Bottom