Chuo cha UDOM ni majanga

Tena wanawasifiaga kabisa mmependeza warembo[emoji23] hahaha imebidi nimtafute ndugu yangu ambae yupyupo pale anielezee, ameniambia hizo suruali zenyewe ni kwa watu weusi tuu!kile chuo kina wachina wengi na uwa wanapita pale hata na shorts, jeans hawaguswi ila jaribu wewe mtanzania hata kama unaulemavu wa miguu unakokotwa nje.Hii ndio nchi yetu unafki unafki unafki tuu badala tuelekeze nguvu kukomboa intellectual ability ya wanafunzi wetu,tunawaongezea stress na mazingira magumu ya kusoma, mwisho hao wachina wakitoka hapo na best output wanaenda kuendeleza kwao nyie mnarudi kuwaomba misaada!ts a disappointment kwakweli
 
Ni moja kati ya misiba tuliyonayo ndo graduate wewe kwa uandishi huu? Kama ndo mwalimu ww basi tuna safari ndefu kufika tz ya viwanda.
haya kashtaki kwa mwalim wako wa muandiko zumbukuku wewe nitolee kelele hapa najadili na watu timamu tuu
 
Kwanza, hakuna kitu kinachoitwa chuo cha UDOM...

Yaani hapo umesema chuo cha University of Dodoma..


Elimu, Elimu, Elimu
haya hongera kwa kujua kusahihisha uandishi na akili zako kuishia hapo[emoji23]
 
Umeshinda mrembo
 
wasomi wangu,,ebu angalieni vitu mnavyobishana,, hakukuwa na haja ya kupoteza muda kumjibu.mtu mwenye akili nzr anaesoma comment zenu atajua tu akili za mtoa mada na wachangiaji zinafanana. kama kweli mtoa mada hii ni mhitimu wa chuo hata ngazi ya certificate mwanangu akimaliza form four nitampleka garage tu,, hakuna umuhimu wa elimu tena.
 
Udom Kuna wachina Wengi embu nambie wapo College gani?
 
We nae nani kakuuliza sasa si umpeleke tuu ajabu nin?maji hufuata mkondo sasa usitafte 7bu ya wanao kurithi zero zako ni genes tuu wanarithi wengine hawahusiki hapo afu koma kunifananisha mimi na mazumbukuku including u ..We unavyotuambia plan zako za kuzaa mafundi garage kuna haja gani[emoji23]Sasa wewe ndio umefunga dimba la mazumbukuku wote hahahhhh
 
Naifuta thread 4 the sake of maombi ya wadau husika walio apologise nd kuomba ifutwe, na nyie mazumbukuku msiwe mnvamia vamia posts zisizo size yenu mxieww kulazimisha mijadala iliyo nje ya uwezo wenu mwisho mdate bure nyie ndio uwa mnaishia kuwa wachawi. .kama mtu tuu humjui anakutoa roho kusikia ana kidegree tuu mnatoa mapovu mpaka huruma mfyu wengne mijanaume kabisa lkn mnashinda hapo kupasuka mkichambana na mwanamke kisa kusikia kidegree mazuzu kweli nyie
 
UDSM, ndo Mme Wa vyuo vyote Tanzania ikiwemo na Udom.
waambie mapovu yanawatoka wakisikia mtu kasomea udsm itadhania sie ndio tuliwaambia waolewe na ud ..[emoji23] tena nimeahirisha sifuti post wapasuke mpaka wakaombe kurudia shule wapewe opportunity ya kuingia udsm na wao
 
[emoji23][emoji23]Akili ni nywele kweli!...kila mtu ana za kwake! Mi naombea tu muwe na utashi mzuri wa kuwa na channel nzuri za kuingiza hela tu! Hayo mengine ni mbwembwe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…