muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
- Thread starter
-
- #81
kwahiyo uki graduate ud huruhusiwi kupita vyuo vingine na kama huoni chuo kinahusikaje hapo then umekurupukia tuu mada iliyo nje ya ability yako we nae, umeandika vtu havina a wala b hata naona uvivu kukujibu bwana kasome vitabu kuna mwenzako nimempa hint ya source huko juu mi usinipe ajira ya ualimu hapa, nikichafue au kinajichafua mwenyewe?kwahiyo ulitaka nisemeje we kwa akili yako umeelewa content au umeona udsm tuu ukapanick na uwezo wako 0 wa kufikiriYaani wewe mtoa mada unadai umeseoma UDSM ila bado una "mishe zako" zinazokupitisha UDOM chuo ambacho na ww unaunga mkono ni "cha kata"....mtu "intellectual" kama wewe mwenye "degree ya UDBS" ila mwenye ndugu zako wanaosoma UDOM...really? Unaandika tu kiujumla kwamba Chuo kimekuwa majanga kwa vile tu mtu mmoja kaulizwa kuhusu uvaaji wake....hiyo inafanya chuo kuwa majanga? Kwa nininusingeandika tu labda kuna mtu kadhalilishwa (kwa mawazo yako) sehemu fulani? Unafahamu marketing, nikikwambia kwamba lengo lako ilikuwa kuchafua jina la chuo kwa ujumla utakataa? Au na sisi tuilaumu UDSM kwa kuruhusu mtu kama wewe kupata degree kwa "intellectual ability" uliyoionyesha hapa?
Cc Asprin, elimu elimu elimu!
afu ukome kunitagia watu wa ajabu kwa my thread ushasikia wewe katagienani huko kwenye mada zenu za ngonoYaani wewe mtoa mada unadai umeseoma UDSM ila bado una "mishe zako" zinazokupitisha UDOM chuo ambacho na ww unaunga mkono ni "cha kata"....mtu "intellectual" kama wewe mwenye "degree ya UDBS" ila mwenye ndugu zako wanaosoma UDOM...really? Unaandika tu kiujumla kwamba Chuo kimekuwa majanga kwa vile tu mtu mmoja kaulizwa kuhusu uvaaji wake....hiyo inafanya chuo kuwa majanga? Kwa nininusingeandika tu labda kuna mtu kadhalilishwa (kwa mawazo yako) sehemu fulani? Unafahamu marketing, nikikwambia kwamba lengo lako ilikuwa kuchafua jina la chuo kwa ujumla utakataa? Au na sisi tuilaumu UDSM kwa kuruhusu mtu kama wewe kupata degree kwa "intellectual ability" uliyoionyesha hapa?
Cc Asprin, elimu elimu elimu!
Yes wa aina hii sio aina kama yako wanatolewa std 2 mchikichiniUd inatoa graduates wa aina hii??
Elimu elimu elimu!afu ukome kunitagia watu wa ajabu kwa my thread ushasikia wewe katagienani huko kwenye mada zenu za ngono
Kwa uandishi huu wewe ni disgrace kwa jamii ya wanazuoninilishamalizaga ud kitambo undergraduate
Hebu jibu hoja na kaa utulie usome mada uelewe hii ni JF[emoji23] unaruka ruka tu unadhani wanaoluchallenge hapa hawajaenda shule? Ficha upumbavu wako usifiche hekima yakokwahiyo uki graduate ud huruhusiwi kupita vyuo vingine na kama huoni chuo kinahusikaje hapo then umekurupukia tuu mada iliyo nje ya ability yako we nae, umeandika vtu havina a wala b hata naona uvivu kukujibu bwana kasome vitabu kuna mwenzako nimempa hint ya source huko juu mi usinipe ajira ya ualimu hapa, nikichafue au kinajichafua mwenyewe?kwahiyo ulitaka nisemeje we kwa akili yako umeelewa content au umeona udsm tuu ukapanick na uwezo wako 0 wa kufikiri
Neatral # Neutral?? Ina maana hiyo au ni neno jipya msomi wa Udsm??sasa kama hauna uhakika si ungebaki neatral? una uhakika gani alikuwa kavakavaa hovyo?
Yes wa aina hii sio aina kama yako wanatolewa std 2 mchikichini
Exactly!!Muhimu kufata sheria na taratibu za sehemu husika. Kama wamekataza suruali liwe kama la pepe kali ni suruali tu. Angetoa kanga kwenye mkoba au ungemuazima.
Maana anaweza kua amemaliza udom miaka ya nyuma kabla sheria hazijaanza
Partly I agree with you lakini kazi mojawapo ya walimu ni Ku enforce discipline mashuleni whether home kuna matatizo au la!! Vile vile kuna kitu kinaitwa dressing code lazima kuwe na watu wa Ku enforce piaSuala la kumpangia mtu avae nini . Tena karne hii ni suala la kipumbavvu saana.
Waacheni watu wavae wanavyotaka.
Na asilimia kuwa ukiona mtu anahangaika na watu wa nje ujue familia yake ishamshinda.
Fanya kautafiti hata kwa waalimu. Ukiona mwalimu mnokoo anakomaa na tabia za wanafunz sana .
Nenda kwake utakuta mitoto yake inavuta bangi
wewe sasa hoja yako iko wapi?mi na wewe nani ana chuki sasa wewe unachuki na mtu usiemjua?no haiwezekani ni kuwa tuu uwezo wako wa kufikiria mdogo, wanaonikosoa wapi kwani humu kuna intellectuals wote kwa unavyoona?uandishi ndio umeona akili hzo we mwenyewe hapo juu umefanya typing error nimeiona ila kwa kuwa nina akili timamu siwez kukuvaa eti kisa umekosea kutype , hao watu wana elimu gani ya kusikilizwa?na hyo marketing unayoisema unataka nikufundishe au? hoja ipi sijakujibu sasa unataka nikufundishe management? serious?Hebu jibu hoja na kaa utulie usome mada uelewe hii ni JF[emoji23] unaruka ruka tu unadhani wanaoluchallenge hapa hawajaenda shule? Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako
kuna mtu nimeshamjibu hilo, ile ni taasisi ya umma na inasimamia maadili ya umma ambayo hayakatazi mavazi ya aina hiyo! na kuna sheria za citizens pia zinazowalinda, yule dada angeamua kufile case ya udharilishaji au violation ya rights zake anawafunga and haitokuwa mimi nimewachafua but a very serious case to be dealt withPartly I agree with you lakini kazi mojawapo ya walimu ni Ku enforce discipline mashuleni whether home kuna matatizo au la!! Vile vile kuna kitu kinaitwa dressing code lazima kuwe na watu wa Ku enforce pia
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Umekosea mkuu, ni 'muke ya muyahudi'Ama kweli wewe ni mke wa myahudi
mnoo, mimi nilishangaa sana sehemu ya kitaaluma inafanya mambo ya ajabu vile, isitoshe jaman hakuwa amevaa ovyo at all yan watu waliokuwa wanaruhusiwa kupita waliokuwa wamevaa ajabu zaidi ,mini za mipasuo hasa,ila sababu ni suruali basi huyo dada akawa victim tena kwa approachapproaching ya kidharililishaji mno!hata baadhi ya staffs pale walioona pale walimuhurumia na kukiri sio mara ya kwanza hao wadada ndio zao, sasa tusiseme kweli kama mtu unajua uchungu wa mtoto au una ndugu wanaosoma huwezi kufungia macho vitu kama hivyo, alafu hii mada ni size ya watu kama wewe sasa wanaoweza kuevaluate vitu kimtazamo wa kisomi sasa mijitu mingine inakurupukiaga mada hata kilochowasilishwa haielewi, inadhania kukosoa ni kutukana huku tunakosoa kwa faida ya wote.Suala la kumpangia mtu avae nini . Tena karne hii ni suala la kipumbavvu saana.
Waacheni watu wavae wanavyotaka.
Na asilimia kuwa ukiona mtu anahangaika na watu wa nje ujue familia yake ishamshinda.
Fanya kautafiti hata kwa waalimu. Ukiona mwalimu mnokoo anakomaa na tabia za wanafunz sana .
Nenda kwake utakuta mitoto yake inavuta bangi
ahsante. .hiyo ni imani yako siwezi kukuzuia kuamini,ila kama unamda find ways kuhakikisha hilo au nikuombee tuu siku wewe au ndugu yako ufanye kukatiza tuu pale main administration na suruali ya heshima hata kupitiliza, from there utaelewa nilichomaanisha, waliokuwa wamevaa uchi I tell u walikuwa wanapita ilimeradi tuu ni sketi. Fanya kutafiti unless wajirekebishe sababu wameshaomba msamaha kuna uwezekano wakajirekebisha labda.mie nadhani huyo mdada alivaa vibaya!! kwani hao ni wajinga? hapana. na nyie mabinti vaeni kwa nidhamu mnapoenda sehemu za umma!! big up hao waliomzuia! kukaa uchi tuuuuuuuuuu!!! mweeee!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekosea mkuu, ni 'muke ya muyahudi'
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji13] [emoji14] [emoji13] [emoji13]
Thanks, ila na hawa security uchwara wa magetini nao huwa wanajitutumua sana some times!!. Nimekupataahsante. .hiyo ni imani yako siwezi kukuzuia kuamini,ila kama unamda find ways kuhakikisha hilo au nikuombee tuu siku wewe au ndugu yako ufanye kukatiza tuu pale main administration na suruali ya heshima hata kupitiliza, from there utaelewa nilichomaanisha, waliokuwa wamevaa uchi I tell u walikuwa wanapita ilimeradi tuu ni sketi. Fanya kutafiti unless wajirekebishe sababu wameshaomba msamaha kuna uwezekano wakajirekebisha labda.
Tatizo linaanzia kwa sisi wenyewe,kuna mtu nimeshamjibu hilo, ile ni taasisi ya umma na inasimamia maadili ya umma ambayo hayakatazi mavazi ya aina hiyo! na kuna sheria za citizens pia zinazowalinda, yule dada angeamua kufile case ya udharilishaji au violation ya rights zake anawafunga and haitokuwa mimi nimewachafua but a very serious case to be dealt with