Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,258
- 34,205
SUA scientists discover a new chicken vaccine; It controls three diseases at onceMbona hizo tafiti hazione kwenye kutatua changamoto za kila siku za wananchi, kwenye statitistics Tz tuko safi ila practically impact Zero, Mwaka unaisha husikie uvumbuzi wowote kutoka katika hivyo vyuo.
Nimeishia hapa kusoma!Nyie madogo
"Madogo" ni akili sio umriNimeishia hapa kusoma!
Usipende kumuita mtu usiye mjua "dogo". Tena unaweza kuta unabishana na baba/mama yako.
Uko sahihi, na mtu mwenye akili ndogo kamwe hawezi kuwa na uthubutu wa kupongeza kitu kinapofanyika kwa ufasaha!"Madogo" ni akili sio umri
Siku zote "dogo" au mtu mwenye akili ndogo (kama ulivyo sema) hawezi ku-care linapokuja swala la maana kama tafiti!Nyie madogo mkitokaga na hizo bla bla huko ndio mnakuja kusumbua hakuna kazi, just do what's yours guy. Chuo kishike namba kisishike we soma maliza focus kwenye life yako.. watu hata shule hawajaenda wanasukuma life za maana nyie ni kukomaa na university rankings. Why should you care anyways?
Soma vizuri mada uelewe.Hiyo Rank yako mbona inapishana na Rank ya Dunia?
Soma column ya pili
SawaSiku zote "dogo" au mtu mwenye akili ndogo (kama ulivyo sema) hawezi ku-care linapokuja swala la maana kama tafiti!
Ni vyema ukawapa pongezi maana pamoja na serikali yako kuweka kilimo pembeni lakini hawakati tamaa.SUA ni jina na sifa tu,ila hakuna lolote pale,ukifika ukaambiwa hiki ndio chuo cha kilimo,utapata maswali mengi sana na hakuna wa kuweza kujibu.
hahahaha mbona uko na matusi sana mkuuSometimes tunapitia mambo mengi mengine yanazidi uwezo wetu.
Pole sana mkuu.
Siku imeisha pumzisha akili ujiandae na kesho.
COVID inahusiana vipi na kilimo?Hivi kwenyekumtokomeza huyu mnyama covid 19, hicho chuo kina mchango gani
Wengi wao ni either wamesoma "jalalani" au walisha pita SUA wakaliwa kichwa...
Mkuu acha kujisahsulisha kama hao virus walitoka kwa popo, na tafiti za wanyama na mapanya wategua mabomu tunasikia zinafanyikaCOVID inahusiana vipi na kilimo?
No sijatukana mkuu.hahahaha mbona uko na matusi sana mkuu