GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,466
- 10,907
Hahahahaha uongo huu.Pale ni bonge la Chuo mzee.
Kuna shule nzito na ngumu kweli kweli.
Kama kijana wako amechaguliwa pale ni kichwa haswa.
Kipo karibu na Chuo cha Mipango Dodoma (IRDP)
Kunaitwa Mipango - Anashuka Mipango (Miyuji ) kwenda madini ni Dakika 5 tu....
Nenda Dodoma
Usichezee hiyo Fursa adhimu Dogo akitoka hapo uhakika ni mkubwa kwenda GGM.
MkuuHahahahaha uongo huu.
JARIBU HII (Jumatatu hadi Ijumaa 09h00 - 15h00)Nina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za ofisi zimefungiwa hawajalipa bill muda mrefu, nimetuma email zimekuwa rejected kwa maana email hizo hazipo.
info@mri.ac.tz
principal@mri.ac.tz
Kama kuna mtu anawajua vizuri hiki chuo msaada tafadhali namna ya kuwafikia kwa njia za kisasa sio kusafiri kwenda Dodoma. namna ya kufanya application ama kuconfirm selection maana hawajitangazi, hawafanyi kila kitu nimesearch tu hata taarifa zao zipo kwa uchache sana mpaka nawaza kama hamna kitu pale
Haa Kulikoni Aibu Wakati Chuo Cha GovernmentHao nao wanatia aibu kwa kweli
Ndio washindwe kulipia hata huduma za simu?Haa Kulikoni Aibu Wakati Chuo Cha Government
Baadaye Watasema Mtandao Unasumbua Sasa Hivi Dodoma Kiangazi Kikali, Maji Shida Vumbi Linatimka Kupauka Tu Mpaka MawasilianoNdio washindwe kulipia hata huduma za simu?
Tupe Maelezo TujifunzeKama unajipa moyo na vyuo vya hapa.Kama umeenda kuuza mwanao.Mimi sisomeshi mtoto hapa nchi inatiwa Tanzania.Nilishagundua tatizo
Uwezo hatufananiKama unajipa moyo na vyuo vya hapa.Kama umeenda kuuza mwanao.Mimi sisomeshi mtoto hapa nchi inatiwa Tanzania.Nilishagundua tatizo
Hapa tanzania kuna haribu ndoto za vijana wengi.Kuna mtoto alichukuliwa na wajarumani ila kwa akili yake leo kawa mzuri huko ila hapa tanzania utasikia mirad ayo kusema mtanzaniaTupe Maelezo Tujifunze
Hiyo kozi ajila changamoto labda baba yake awe na mgodi.Mkuu
Ukweli Ni Upi Hapo Kwa Mwarabu Mipango
Hilo Ni Neno Sana Maana Wazazi Sisi Tegemeo Mtoto Akisoma Apate KaziHiyo kozi ajila changamoto labda baba yake awe na mgodi.
Ni Sahihi Tanzania Mtu Anapata Vyeti Tena Anapoambiwa Mfano Injinia Ila Hawezi Kufanya KaziHapa tanzania kuna haribu ndoto za vijana wengi.Kuna mtoto alichukuliwa na wajarumani ila kwa akili yake leo kawa mzuri huko ila hapa tanzania utasikia mirad ayo kusema mtanzania
Wapo Miyuji pale, Karibu na msalato JWNina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za ofisi zimefungiwa hawajalipa bill muda mrefu, nimetuma email zimekuwa rejected kwa maana email hizo hazipo.
info@mri.ac.tz
principal@mri.ac.tz
Kama kuna mtu anawajua vizuri hiki chuo msaada tafadhali namna ya kuwafikia kwa njia za kisasa sio kusafiri kwenda Dodoma. namna ya kufanya application ama kuconfirm selection maana hawajitangazi, hawafanyi kila kitu nimesearch tu hata taarifa zao zipo kwa uchache sana mpaka nawaza kama hamna kitu pale