Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Duu!! Hicho chuo walienda wakiwa ma private wanafunzi kusomea nyota au walienda tayari ni luteni usu wakaenda endeleza kupata nyota zingine?
Wapo waliokwenda wakitoa form six Kali akala.depo la awali akaenda huko kusomea nyota moja,wapo waliokwenda kupata nyoza za ziada
 
Utaratibu Wa Jeshi Upo Wa Aina Tofauti
Mnafanya Kozi Kwanza Wote Halafu Baada Ya Kumaliza Ndiyo Masuala Ya Nyota Yanafuatia
Hilo nalijua kaka.
Namaanisha kuwa wanapomaliza pale tpdf dodoma wote wakiwa private , ndio wale bbaadhi wenye elimu zao sasa wanafanyiwa tena usahili (wa kwenda kusomea nyota pale tma)hapa mdio mauliza je?kuna wanaofanyiwa huu isahili labds wakioita wanapangwa labda nchi fulani kama kenye uganda india au somalia? Kusomea hiyo nyota sasa.
 
Hilo nalijua kaka.
Namaanisha kuwa wanapomaliza pale tpdf dodoma wote wakiwa private , ndio wale bbaadhi wenye elimu zao sasa wanafanyiwa tena usahili (wa kwenda kusomea nyota pale tma)hapa mdio mauliza je?kuna wanaofanyiwa huu isahili labds wakioita wanapangwa labda nchi fulani kama kenye uganda india au somalia? Kusomea hiyo nyota sasa.
Wakimaliza Wanapangiwa Vituo Wanafanya Kazi Halafu Wanafanya Usaili Tena Kwaajili Ya Kwenda Huko
 
Cjui mmeelewa swali la mtoa mada,ana maanisha hajaona askari wetu wakienda kusomea vyeo kama nyota moja,wanaendaga kusoma kozi zingine lakin cyo vyeo kama wanaokuja Monduli toka nchi zingine.
ngumu sana kujibu hoja yake, kwanza akisema hajawahi kuona askr wa tpdf kwenda cadet nje ya mipaka ya Tz maana yake atakiwi kujibiwa kama wapo kwa kuwa kajiridhisha kuwa hawapo kitu ambacho ni wrong. Hata hao aliowaona wa njee wapo ambao pia wamekuja TMA tayari wakiwa ma Afisa
 
Yaani private anaenda somea nyota moja labda india?
Watu hawakuelewi sababu wanajitia ujuaji mwingi na hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu swali lako.

Ninachofahamu mimi ni kwamba askari wetu anapomaliza cadet course kwa wale ambao wameingia spacial programme hupelekwa TMA kwa ajili ya kozi za uofisa na baada ya hapo huwa commissioned kulingana na viwango vya elimu zao na kozi walizosomea kwa maana kuna ambao kwa elimu yao watapewa Asst. Lt, Lieutenant, wengine Captain kwa watu kama marubani na madaktari.

Kuhusu wengine kupelekwa nje na kupewa nyota hukohuko kwa sasa sina uhakika nachofahamu zamani kulingana na baadhi ya utaalamu hatukuwa nao walikuwepo maofisa wengi waliopandishwa vyeo hukohuko kama waliopelekwa Cuba, Israel na Urusi na Jamhuri za kisovieti.

In short askari wapo wanaenda kozi za kila aina huko nje ila akimaliza kozi akirudi home ndio atasubiri wakati wa commission zikitolewa basi file lake kama safi na anadeserve commission ndio hupewa cheo.

I hope nimekujibu kulingana na swali lako
 
Nyie hamjamuelewa huyu jamaa wa stendi,sijui ni wakala, mpiga debe,ama muuza supu na juice stend🤣
Yeye anashangaa Kama Tanzania tuna vyuo vya kijeshi vya mataifa mengine kuja kusoma hapa,manake wajeda wetu tunawajua uwezo wao 🤣🤣🤣
 
Chuo Hicho Na NDC Wanatoa Elimu Ya Hadhi Ya Kimataifa Ndiyo Maana Toka Ughaibuni Wanasoma Hapo Lakini Tanzania Pia Nasi Tunao Maafisa Wa Jeshi Wanaopata Elimu Ya Jeshi Nchi Nyingine


Ukipata Nafasi Siku Rais Wa JMT Akitoa Kamisheni Kwa Maafisa Wapya
Utasikia Idadi Na Nchi Walikosoma Mfano India, Germany, USA, UK, Israel
 
SAS kwanin usihoji Kwamba mban jeshi linaacha rasilimali na Malai za nchi kuchezewa na wanasiasa na wao wapo tu
 
Back
Top Bottom