Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Sawa sijakataa.
Nasemea mbona askari wetu (private) sijawahi ona akienda labda uganda au kenya somalia kwenda kusomea huo uafisa kama tunavyoona askari wa nchi nyingine tena za mbali kuja kusoma hapa hadi kutunukiwa kamisheni kabisa na mhRais.
Kwani hizo nchi hazina chuo chao ?namaanisha hivyo
Wapo sana tu. Hivi vitu mpaka uwe ulipitia au umo kwenye shughuli za ulinzi na usalama wa nchi Ndiyo Utajua vizuri. Mbali na hapo si rahisi.
 
Wewe Ni Mwanajeshi?
Hwua naona baadhi ya raia wa kigeni (nchi nyingine mbali mbali kuja kupata mafunzo ya pamoja na askari wa hapa hapa kwetu.

Hawa askari (maafisa wageni)baada ya kumaliza mafunzo yao wanarudi makwao!je!haya mafunzo yao ki maalumu kwa kazi maalumu kwao au inakuwaje wapate mafunzo kweru alafu waende kwao.

Je, Mbona sijawahi ona au sikia askari wa hapa kwetu Tanzania wakienda pata mafunzo ya Uafisa Nchi nyingine? Na je ni kwanini Tanzania tuu na si nchi nyingine?

Ufafanuzi tafadhali.

Wewe Ni Afisa wa Jeshi?? kama sio kaa Kimya mana hilo eneo sio lako lakini Watu wetu wengi sana Wametrain Sandhurst tena wengi sana..US Millitary Collage..South Afrika Defense Collage..Russia na maeneo mengine kibao.
 
Sawa sijakataa.
Nasemea mbona askari wetu (private) sijawahi ona akienda labda uganda au kenya somalia kwenda kusomea huo uafisa kama tunavyoona askari wa nchi nyingine tena za mbali kuja kusoma hapa hadi kutunukiwa kamisheni kabisa na mhRais.
Kwani hizo nchi hazina chuo chao ?namaanisha hivyo
Wanavyo. Itafuatana kama nchi husika mna mkataba au tuseme 'Exchange programme'
 
Wewe Ni Mwanajeshi?

Wewe Ni Afisa wa Jeshi?? kama sio kaa Kimya mana hilo eneo sio lako lakini Watu wetu wengi sana Wametrain Sandhurst tena wengi sana..US Millitary Collage..South Afrika Defense Collage..Russia na maeneo mengine kibao.
Usimtake akae kimya jeshi sio mali ya mama yako wa kambo, hii tabia ya raia wa nchi masikini kujikuta wana hatimiliki ya taasisi fulani ni ya kishamba. Hakuna afisa mshamba hivi.
Na swali lake liko open wala halina siri yoyote. Kama ingekuwa siri mahafali yasingetangazwa.
 
Aisee!!!
 
Hapana wanakuwa na hadhi ya afisa mwanafunzi tuuu sio Afisa.....akimaliza kozi kule anarudi nyumbani anakula kiapo cha nyumbani anaendelea na majukumu
Ahaa sawa
 
Usimtake akae kimya jeshi sio mali ya mama yako wa kambo, hii tabia ya raia wa nchi masikini kujikuta wana hatimiliki ya taasisi fulani ni ya kishamba. Hakuna afisa mshamba hivi.
Na swali lake liko open wala halina siri yoyote. Kama ingekuwa siri mahafali yasingetangazwa.
Asante sana ndio maana nimekaa kimya sijamjibu
 
Kaka hata sisi wanakwenda askari katika OCS za nchi nyingine inategemea na uhitaji wa taaluma mnazohitaji, fedha n.k

Taratibu nyingine za commission zinafanyika baada ya kuhitimu mafunzo husika.
 
Hwua naona baadhi ya raia wa kigeni (nchi nyingine mbali mbali kuja kupata mafunzo ya pamoja na askari wa hapa hapa kwetu.

Hawa askari (maafisa wageni)baada ya kumaliza mafunzo yao wanarudi makwao!je!haya mafunzo yao ki maalumu kwa kazi maalumu kwao au inakuwaje wapate mafunzo kweru alafu waende kwao.

Je, Mbona sijawahi ona au sikia askari wa hapa kwetu Tanzania wakienda pata mafunzo ya Uafisa Nchi nyingine? Na je ni kwanini Tanzania tuu na si nchi nyingine?

Ufafanuzi tafadhali.
Ulishawahi kusikia chuo kinaitwa Sandhurst? Kipo kwa Mfalme Charles hapo maofisa wetu wengi wamesoma
 
Kaka hata sisi wanakwenda askari katika OCS za nchi nyingine inategemea na uhitaji wa taaluma mnazohitaji, fedha n.k

Taratibu nyingine za commission zinafanyika baada ya kuhitimu mafunzo husika.
Umeelewa swali lakini?
 
Ulishawahi kusikia chuo kinaitwa Sandhurst? Kipo kwa Mfalme Charles hapo maofisa wetu wengi wamesoma
Duu!! Hicho chuo walienda wakiwa ma private wanafunzi kusomea nyota au walienda tayari ni luteni usu wakaenda endeleza kupata nyota zingine?
 
Back
Top Bottom