Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,494
Reaction score
29,283
Hwua naona baadhi ya raia wa kigeni (nchi nyingine mbali mbali kuja kupata mafunzo ya pamoja na askari wa hapa hapa kwetu.

Hawa askari (maafisa wageni)baada ya kumaliza mafunzo yao wanarudi makwao!je!haya mafunzo yao ki maalumu kwa kazi maalumu kwao au inakuwaje wapate mafunzo kweru alafu waende kwao.

Je, Mbona sijawahi ona au sikia askari wa hapa kwetu Tanzania wakienda pata mafunzo ya Uafisa Nchi nyingine? Na je ni kwanini Tanzania tuu na si nchi nyingine?

Ufafanuzi tafadhali.
 
Chuo Hicho Na NDC Wanatoa Elimu Ya Hadhi Ya Kimataifa Ndiyo Maana Toka Ughaibuni Wanasoma Hapo Lakini Tanzania Pia Nasi Tunao Maafisa Wa Jeshi Wanaopata Elimu Ya Jeshi Nchi Nyingine

Ukipata Nafasi Siku Rais Wa JMT Akitoa Kamisheni Kwa Maafisa Wapya
Utasikia Idadi Na Nchi Walikosoma Mfano India, Germany, USA, UK, Israel
 
Ushasema hujawahi kuona wala kusikia it means personally wewe binafsi ndio hujawahi on a wala kusikia lakini si kwamba iko kitu hakipo....anyway nirudi kwenye mada kama wenzangu walivyokujibu hapo juu

Kwanza walikiwa wapo kwenye mchakato monduli yaani MTA wapewe hadhi ya Chuo kikuu na TCU, hii ina maana ni Chuo kama vyuo vingine udom na udism ila ni Chuo cha kijeshi kinachotoa mafunzo ya kijeshi kimedani na kitaaluma ila kwa wanajeshi si raia eeh usijeenda kwa sababu nimesema ni kama udom au udism hahaha, ni maalumu kwa maafisa wa kijeshi hivyo wanatoa kozi mbali mbali ukiachana na kozi za vyeo, ikiwemo military science

Hivyo askari wa nchi nyingine kwenda hapo ni sawa mchina kuja kusoma udism, hivyo wanautaratibu wao wa kijeshi wanajua wao

Kuhusu askari wetu, basi wametapakaa kila kona ya dunia kusoma na training mbali mbali katika military academy mbali mbali

Kwa kipindi hiko ilikuwa askari hawezi kwenda kusoma nje hadi awe afsa kwanza kwa sasa sjui ila ninachojua kila anaeenda kusoma TMA ni ima afsa au kaenda kusomea uafsa!
 
Wapo wengi sana, wanaoenda kupata mafunzo nje ya Tanzania...
 
Chuo Hicho Na NDC Wanatoa Elimu Ya Hadhi Ya Kimataifa Ndiyo Maana Toka Ughaibuni Wanasoma Hapo Lakini Tanzania Pia Nasi Tunao Maafisa Wa Jeshi Wanaopata Elimu Ya Jeshi Nchi Nyingine

Ukipata Nafasi Siku Rais Wa JMT Akitoa Kamisheni Kwa Maafisa Wapya
Utasikia Idadi Na Nchi Walikosoma Mfano India, Germany, USA, UK, Israel
Hao maafisa si walienda tayari ni maafisa?mi nataka aende private ndio akasomee uafisa (nyota moja ) namaanosha hivyo
 
Ushasema hujawahi kuona wala kusikia it means personally wewe binafsi ndio hujawahi on a wala kusikia lakini si kwamba iko kitu hakipo....anyway nirudi kwenye mada kama wenzangu walivyokujibu hapo juu

Kwanza walikiwa wapo kwenye mchakato monduli yaani MTA wapewe hadhi ya Chuo kikuu na TCU, hii ina maana ni Chuo kama vyuo vingine udom na udism ila ni Chuo cha kijeshi kinachotoa mafunzo ya kijeshi kimedani na kitaaluma ila kwa wanajeshi si raia eeh usijeenda kwa sababu nimesema ni kama udom au udism hahaha, ni maalumu kwa maafisa wa kijeshi hivyo wanatoa kozi mbali mbali ukiachana na kozi za vyeo, ikiwemo military science

Hivyo askari wa nchi nyingine kwenda hapo ni sawa mchina kuja kusoma udism, hivyo wanautaratibu wao wa kijeshi wanajua wao

Kuhusu askari wetu, basi wametapakaa kila kona ya dunia kusoma na training mbali mbali katika military academy mbali mbali

Kwa kipindi hiko ilikuwa askari hawezi kwenda kusoma nje hadi awe afsa kwanza kwa sasa sjui ila ninachojua kila anaeenda kusoma TMA ni ima afsa au kaenda kusomea uafsa!
Hili usemalo nalijua sana.
Namaanisha aende private labda uganda au kenya au china na nk.. ndio akasomee luten usu aridi huku tayari ni afisaje! Linawezekana?
 
Back
Top Bottom