Ni kawaida kwa maluteni usu kuja TMA na kupata mafunzo ya kawaida ua kijeshi ili kuobgeza ujuzi na pia kuboresha mahusiano baina ya TMA na vyuo vingine vya nchi zingine.
Ndo maana kuna wale wanopelekwa Cuba, Sandhurst na hata Marekani kwa "scholarships" maalum.
Kwa mfano kila mwaka TMA hupata schilarships kwenda Sandhurst kwa wanafunzi bora mmoja au wawili.
Lakini suala hilo huitwa Exchange Programs na hufanyika hata kwa vyuo vyetu vikuu na pia kwa wale wanafunzi watakao kuja Tanzania na pia kujifunza na tamaduni zetu na kuiona nchi yetu.