Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Aisee mna vichwa vigumu balaa...
Hao maafisa huko walienxa wakiwa private ndio wakaenda kusomea huko ua fisa au walienda wakiwa afisa.
Mbona hamnielewi jamanii???
Jeshini Kuna elimu ya kijeshi...kuanzia ngazi ya cheti Hadi degree... Hivyo vyeo hupatikani pia kutokana na ngazi ya elimu ya kijeshi ulivyo fikia...ukienda nje kwaajili ya kuongeza elimu ya kijeshi maana yake na cheo ukirudi kinapanda.
 
Ahaa. Asate
Huko Arusha pia kuna chuo kingine cha ukamanda na unadhimu kilichopo Duluti Arumeru.

Juzijuzi maofisa 65 walitunukiwa beji na mkuu wa chuo aitwa Sylvester Ghuliku.

Kabla ya hapo waziri wa ulinzi aliwatunukia maofisa hao Shahada ya Uzamili na Stashahada ya Mafunzo ya Ulinzi na Usalama.

Katika hao 37 ni kutoka nchi za Kongo, Eswatini, Kenya Malawi, Misri, Msumbiji, Nigeria, Rwanda Tanzania na Uganda.

Kwahiyo si TMA tu bali tuna chuo kingine hicho cha Duluti ambacho ni kwa makamanda na wanadhimu wa jeshi.
 
Huko Arusha pia kuna chuo kingine cha ukamanda na unadhimu kilichopo Duluti Arumeru.

Juzijuzi maofisa 65 walitunukiwa beji na mkuu wa chuo aitwa Sylvester Ghuliku.

Kabla ya hapo waziri wa ulinzi aliwatunukia maofisa hao Shahada ya Uzamili na Shtashahada ya Mafunzo ya Ulinzi na Usalama.

Asante kwa ufafanuzi
 
Usisahau NDC Kunduchi pale
 
Jeshini Kuna elimu ya kijeshi...kuanzia ngazi ya cheti Hadi degree... Hivyo vyeo hupatikani pia kutokana na ngazi ya elimu ya kijeshi ulivyo fikia...ukienda nje kwaajili ya kuongeza elimu ya kijeshi maana yake na cheo ukirudi kinapanda.
Hilo nalijua ndugu hata mkipata kamisheni ya pamona kwa muda wa dakika kadhaa kama una elimu zaidi unayunukiwa tena unaacha wenzako
 
Kiufupi ni kuwa vyeo vyote vinapatikana hapa hapa nchini...isipokuwa Kila nchi imejispecialize kwenye jambo Fulani muhimu la kijeshi ambalo nchi nyingine hawana...mfano Kuna baadhi ya mafunzo ya ukomandoo yalikuwa yanatolewa Kwa Fidel Castro huko... Hivyo ukiona wanajeshi wanatoka kwenda mafunzoni nchi za mbali sio kwamba wanafata vyeo... Japo elimu watakayo enda kuipata huko waendapo nchi za watu Huwa inakuwa sawa na cheo husika Kwa mtu aliepo hapa nyumbani... Mfano mtu mwenye certificate ya kijeshi akienda kusomea diploma ya kijeshi akirudi lazima apewe cheo kinachoendana na elimu ya kijeshi aliyoenda kusomea huko nchi za watu...na wengine kutokana na elimu hiyo aliyo upata huko...huko huko anatunukiwa cheo...!
Asante mno
 
Hwua naona baadhi ya raia wa kigeni (nchi nyingine mbali mbali kuja kupata mafunzo ya pamoja na askari wa hapa hapa kwetu.

Hawa askari (maafisa wageni)baada ya kumaliza mafunzo yao wanarudi makwao!je!haya mafunzo yao ki maalumu kwa kazi maalumu kwao au inakuwaje wapate mafunzo kweru alafu waende kwao.

Je, Mbona sijawahi ona au sikia askari wa hapa kwetu Tanzania wakienda pata mafunzo ya Uafisa Nchi nyingine? Na je ni kwanini Tanzania tuu na si nchi nyingine?

Ufafanuzi tafadhali.
Kwani ulipoenda kusoma Urusi halafu ukamalizia Cuba haukurudi nchini kwako kutumika?
 
Usisahau NDC Kunduchi pale
Kweli.

Hata hivyo NDC ni kwa ajili ya usalama wa Taifa kwa upande wa uongozi na uchambuzi makini wa kistratejia.

Rafiki zetu wachina wametujengea na pia hutuletea wakufunzi kutusaidia kutoa kozi mbalimbali.
 
Watu hawakuelewi sababu wanajitia ujuaji mwingi na hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu swali lako.

Ninachofahamu mimi ni kwamba askari wetu anapomaliza cadet course kwa wale ambao wameingia spacial programme hupelekwa TMA kwa ajili ya kozi za uofisa na baada ya hapo huwa commissioned kulingana na viwango vya elimu zao na kozi walizosomea kwa maana kuna ambao kwa elimu yao watapewa Asst. Lt, Lieutenant, wengine Captain kwa watu kama marubani na madaktari.

Kuhusu wengine kupelekwa nje na kupewa nyota hukohuko kwa sasa sina uhakika nachofahamu zamani kulingana na baadhi ya utaalamu hatukuwa nao walikuwepo maofisa wengi waliopandishwa vyeo hukohuko kama waliopelekwa Cuba, Israel na Urusi na Jamhuri za kisovieti.

In short askari wapo wanaenda kozi za kila aina huko nje ila akimaliza kozi akirudi home ndio atasubiri wakati wa commission zikitolewa basi file lake kama safi na anadeserve commission ndio hupewa cheo.

I hope nimekujibu kulingana na swali lako
Kwa kinsi ulivoeleza kwahyo hata mishahara itapangwa kulingana na elimu yao au majukumu?mf rubani na daktari
 
Back
Top Bottom