Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

Utaratibu wa Kawaida

Vijana wetu wako Usa, Urusi India china south Africa Burundi Mozambique, Kenya nk na wanakwenda kama maafisa wanafunzi

Na Nchi rafiki wanaleta vijana wao nchini mwetu
 
Aisee mna vichwa vigumu balaa...
Hao maafisa huko walienxa wakiwa private ndio wakaenda kusomea huko ua fisa au walienda wakiwa afisa.
Mbona hamnielewi jamanii???
Labda uandike kwa lugha ya malkia.
Em jarb kuuliza kwa ki english
 
Utaratibu wa Kawaida

Vijana wetu wako Usa, Urusi India china south Africa Burundi Mozambique, Kenya nk na wanakwenda kama maafisa wanafunzi

Na Nchi rafiki wanaleta vijana wao nchini mwetu
Huko wameenda kama private wa kawaida kusomea huo uafisa?
 
Wapo waliotoka form six direct wakenda kozi za awali halafu wakaenda nje na kurudi na nyota moja...
Idadi yao inategemea mahitaji kiulinzi na bajeti .
Lengo sio kusoma tu lengo anaenda kusomea uafisa yaani nyota moja ,je Kuna la ziada ambapo inaonekana lazima aende huko?
 
Sio tuuu Private ni vijana wadogo mno wamejaa tele huko nchi nyingine ni vile Jeshi mambo yake yako classified
Sawa.
Ila navyojua hata jamaa yangu alifanikiwa kuingia kwao wakamzuia hadi leo ni askari wa marekani.
Ila yeye alipitia huko huko hakuanzia bongo huku.
Ngoja niendelee kufanya utafiti bado sijaridhika
 
W
Hwua naona baadhi ya raia wa kigeni (nchi nyingine mbali mbali kuja kupata mafunzo ya pamoja na askari wa hapa hapa kwetu.

Hawa askari (maafisa wageni)baada ya kumaliza mafunzo yao wanarudi makwao!je!haya mafunzo yao ki maalumu kwa kazi maalumu kwao au inakuwaje wapate mafunzo kweru alafu waende kwao.

Je, Mbona sijawahi ona au sikia askari wa hapa kwetu Tanzania wakienda pata mafunzo ya Uafisa Nchi nyingine? Na je ni kwanini Tanzania tuu na si nchi nyingine?

Ufafanuzi tafadhali.
Watanzania wengi sana walipata mafunzo ya kijeshi Urusi, Cuba, nk miaka ya 70 na 80 mkiwa hamjazaliwa.
 
Nani akuelewi? Chuo kama TMA ni chuo Kinacho 'mpika' askari kuwa commission officer.
Sawa sijakataa.
Nasemea mbona askari wetu (private) sijawahi ona akienda labda uganda au kenya somalia kwenda kusomea huo uafisa kama tunavyoona askari wa nchi nyingine tena za mbali kuja kusoma hapa hadi kutunukiwa kamisheni kabisa na mhRais.
Kwani hizo nchi hazina chuo chao ?namaanisha hivyo
 
Sawa.
Ila navyojua hata jamaa yangu alifanikiwa kuingia kwao wakamzuia hadi leo ni askari wa marekani.
Ila yeye alipitia huko huko hakuanzia bongo huku.
Ngoja niendelee kufanya utafiti bado sijaridhika
Haina haja ya kutafiti wadogo zetu Wengi wako nje vyuo mbalimbali wanatuwakilisha Vyema wanachukua material wanarudi kutumikia Nchi yao Jeshi haliwezi kusema tuna vijana Nchi flani....... Wenyewe wanasema Jeshi sio shirika la mkonge eti
 
Commission kupata ndani TMA baada hapo from Major kwenda juu huenda nchi mbali mbali....
Eheee...
Unakuja kuja !kwa hiyo hakuna chuo nje ambacho askari wetu wanenda pata kamisheni nje zaidi ya hapa kwetu.
 
Wapo waliotoka form six direct wakenda kozi za awali halafu wakaenda nje na kurudi na nyota moja...
Idadi yao inategemea mahitaji kiulinzi na bajeti .
Lengo sio kusoma tu lengo anaenda kusomea uafisa yaani nyota moja ,je Kuna la ziada ambapo inaonekana lazima aende huko?
Anayeweza kujibu umuhim wa wao kupelekwa huko nje labda msemaji wa Jeshi
 
Haina haja ya kutafiti wadogo zetu Wengi wako nje vyuo mbalimbali wanatuwakilisha Vyema wanachukua material wanarudi kutumikia Nchi yao Jeshi haliwezi kusema tuna vijana Nchi flani....... Wenyewe wanasema Jeshi sio shirika la mkonge eti
Najua kaka ila hao vijana si wameenda tayari ni ma afisa?hata mimo nina jamaa zangu kibao huko
 
Back
Top Bottom