Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite π‘ yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia.
Chuo cha DIT kilianzia mpango huo Toka mwaka 2024 ambapo kiliweza kuingia mkataba na chuo kikuu cha RUDN Toka Urusi mpango huo huko kwenye hatua nzuri Sasa.
Mpaka kufikia mwaka 2026 agosti basi Chuo cha DIT kitaweza kurusha satellite yake ya kwanza angani na ndo Itakua satellite ya kwanza kurushwa nchini Tanzania.
