Chuo cha DIT kurusha Satellite yao mwakani 2026

I prefer when fail in air lands pale Nyeupe kwa vyovyote vile
 
View attachment 3403927

Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite 📡 yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia.

Chuo cha DIT kilianzia mpango huo Toka mwaka 2024 ambapo kiliweza kuingia mkataba na chuo kikuu cha RUDN Toka Urusi mpango huo huko kwenye hatua nzuri Sasa.

View attachment 3403928

Mpaka kufikia mwaka 2026 agosti basi Chuo cha DIT kitaweza kurusha satellite yake ya kwanza angani na ndo Itakua satellite ya kwanza kurushwa nchini Tanzania.

Ni habari njema japo ungeandika na manufaa ya hiyo satellite kwetu ndio ingevutia zaidi
Kumbuka huko angani zipo kwa mamia na zina kazi tofauti tofauti....
 
View attachment 3403927

Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite 📡 yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia.

Chuo cha DIT kilianzia mpango huo Toka mwaka 2024 ambapo kiliweza kuingia mkataba na chuo kikuu cha RUDN Toka Urusi mpango huo huko kwenye hatua nzuri Sasa.

View attachment 3403928

Mpaka kufikia mwaka 2026 agosti basi Chuo cha DIT kitaweza kurusha satellite yake ya kwanza angani na ndo Itakua satellite ya kwanza kurushwa nchini Tanzania.
Siyo ya China?
 
Ni vizuri kuwa na malengo ya namna hiyo, kama dira inatuelekeza kufanya hivyo.
 
View attachment 3403927

Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite 📡 yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia.

Chuo cha DIT kilianzia mpango huo Toka mwaka 2024 ambapo kiliweza kuingia mkataba na chuo kikuu cha RUDN Toka Urusi mpango huo huko kwenye hatua nzuri Sasa.

View attachment 3403928

Mpaka kufikia mwaka 2026 agosti basi Chuo cha DIT kitaweza kurusha satellite yake ya kwanza angani na ndo Itakua satellite ya kwanza kurushwa nchini Tanzania.
Wameshatengeneza nini kabla ya kutengeneza satelite?
 
Nipo nimekaa pale.
 
Utotoni kuna zile tuliziita TIARA labda watarusha tiara
 
Hii ni hatua nzuri..serikali inatakiwa kuwekeza uku pesa kwenye technology. Sio kuwa busy kuminya democrasia ya watanzania
 
!
!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Dah Nchi Ngumu Sana Hii Aisee. Enheee 📡 🛰️ Yaani Angani?
 
IMG_20250714_070757.jpg
 
Back
Top Bottom