Teknolojia 5 zitakazobamba Tanzania mwaka 2026

Teknolojia 5 zitakazobamba Tanzania mwaka 2026

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,359
Reaction score
2,791
1_20250714_152617_0000.png

Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi ulimwenguni huku Tanzania kuleta Mabadiliko kadhaa kwenye sekta ya Tehama nchini.

Kuna mambo mengi Tanzania inakwenda kufanya mwaka 2026 ambapo tunaita maendeleo makubwa ya Teknolojia kwa nchini kwetu Tanzania ambayo leo nakujuza.

1️⃣ Kiwanda cha kutengeneza Kompyuta
Tume ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano Tanzania (ICTC) itaweza kuanzisha Kiwanda cha kutengeneza Kompyuta Mbalimbali aina ya Kompyuta mpakato (laptop) kinacholenga kutengeneza vifaa hivyo kwa ajili ya wanafunzi kupitia shule za msingi na sekondari vifaa hivyo vitaitwa kwa jina la "Tanzania".

2_20250714_152617_0001.png

2️⃣ Tanzania kutengeneza mifumo ya Teknolojia ya Akili MNEMBA (AI) kwa lugha ya kiswahili
Tume hiyo pia imeshirikiana na kampuni ya kitaliano inaitwa AlmaWave kuweza kutengeneza mifumo ya Akili bandia kwa kuunda mifumo mikubwa ya lugha (LLM) itakayowawezesha watanzania kuendeleza ubunifu wa AI kwa kutumia kiswahili katika sekta Mbalimbali za kiuchumi.

images (58).jpeg

3️⃣ Teknolojia mpya ya kupambana na wahalifu wa mitandaoni kupitia POLISI

Bunge la Tanzania kuweza kutumia Teknolojia ya AI kwenye vikao vyao Mbalimbali bungeni huku kukiwa na Mabadiliko ya uendeshaji wa bunge kuwa la kisasa. Bila kusahau wizara ya mambo ya ndani (MHI) Itaweza kuhakikisha Polisi nchini Tanzania inatumia Teknolojia mpya ya kisasa katika kukalibiana na wahalifu wa mitandaoni, vitendo vya ulaghai wizi nk.


images (52).jpeg

4️⃣ Chuo cha DIT Tanzania kurusha satellite
Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) kurusha satellite 📡 yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia ambapo zoezo ilo litafanyika mwaka 2026.

4_20250714_152617_0003.png

5️⃣ Teknolojia mpya ya kupata huduma Mbalimbali za kiserikali kupitia mfumo wa NAPA
Napa ni mfumo wa kidigitali wenye anwani za makazi ya watu. Kupitia mfumo huu Kila mtanzania itaweza kukusaidia kupata huduma Mbalimbali zilizopo Karibu na wewe kama vile Hospital, ATM, benki , biashara kwa kupata uelekeo wa haraka Toka anwani moja kwenda nyingine nchini kote Tanza
nia.

3_20250714_152617_0002.png

Kwaiyo mwaka 2026 Tanzania kutatokea Mabadiliko makubwa Sana tuombe TU Uzima 😉. Sogeza picha kuona taarifa zaidi ✍️.
 
hivi kuna chuo kina course ya AI hapa TZ?.
Au ndio wajuzi watatoka nje?

Mm naona Technologia ambayo 2026+ itakuwa ya moto ni 5G internet . Anwani za Makazi (NAPA) na mabadiliko kutoka kutumia Diesel/petrol kwenda Gas hasa kwenye magar.

Hiyo ya polisi wanayo toka enz za magufuli. Walinunua Trill 1.3 toka wa Israel. (Habar za vijiwen hakuna uhakika).

Na Hayo mengne yatakuja ila yatachukuwa muda.
 
Huo mfumo wa NAPA itawezekana lkn hapo kwingine , ni ngja TUONE
 
Back
Top Bottom