Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
💡 Hii ndo satellite kongwe zaidi kuwahi kurushwa Angani ambapo inatarajiwa kurudishwa Duniani baada ya miaka 67 toka kipindi cha vita za baridi.
âš¡ Satellite hii inaitwa Vanguards 1, ilizinduliwa mwaka 1958 inabaki kuwa Satellite kongwe zaidi ulimwenguni kilichoundwa na binadamu. Wanasayansi wametoa pendekezo la kutaka kuirudisha satellite hii kongwe Duniani baada ya miaka 67.
🚀 Kupitia mpango kabambwe uliowekwa na Mtandao wa space.com uliweza kuonyesha muonekano wa Satellite hiyo ambayo ndiyo kongwe lengo kubwa ni kuirudisha Duniani na kuiweka kwenye Maonyesho ya makumbusho.