Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,877
Kama taarifa zako ni za kweli
Basi huu ni mchezo wa wazalisha chumvi
Wanataka chumvi iadimike ili ipande bei wapate faida maradufu
Na kama kawaida Tanzania bidhaa ikipanda bei usitegemee ishuke
Basi huu ni mchezo wa wazalisha chumvi
Wanataka chumvi iadimike ili ipande bei wapate faida maradufu
Na kama kawaida Tanzania bidhaa ikipanda bei usitegemee ishuke