King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,510
- 94,116
Nilichigundua
Ni kama kuna kamchezo hivi kanaandaliwa. Kuna watu wanaleta post kupima upepo halafu baada ya muda hali inatokea kweli.
Hii imeshatokea kwenye sukari na mafuta. Sasa upepo unapinwa kwenye chumvi.
Soon chumvi itaadimika na kupanda bei.
Chumvi haiwezi kuadimika kwasababu matumizi yake si makubwa sana kama sukari....Ukanda wa bahari kuna chumvi ya mawe ya kutosha hadi haina wateja.......Kwa Chumvi watafeli saa kumi na moja kabla jogoo hajawika.