kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,482
Back day o levelHa ha ha mzee mara ya mwisho hilo gazet nmenunua kipind linauzwa tsh 100 kuna moja ilikuwa inaitwa uwanja wa fundi seremala na nyengne kisamvu cha kopo
Back day o levelHa ha ha mzee mara ya mwisho hilo gazet nmenunua kipind linauzwa tsh 100 kuna moja ilikuwa inaitwa uwanja wa fundi seremala na nyengne kisamvu cha kopo
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]tunalainika kwa maneno na pesa
Ningekushangaa kama usingetaja pesa kwenye uzi huutunalainika kwa maneno na pesa
Hehekujaribu nn tena si umpm ina
[emoji89] [emoji89] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Hujakosea. Ila nangoja uni flirt pm huko
Madai yake anakuja kukupa injiliteh teh kwani nimekosea ivuga
bora umekuja eb mpm baby wakoHehe
Mtihani huu sheikhDaby unawavutia hadi wanaume.astaghafulilah
teh mwambie mm kuokoka bado sanaMadai yake anakuja kukupa injili
Vipi kwema lakini mkuuHahaha mtu wangu wala usijali.
Mimi natania tu hapa bwana.
Uwe na amani kabisaaaa
duhNingekushangaa kama usingetaja pesa kwenye uzi huu
Atakufanya uokoke kwa lazimateh mwambie mm kuokoka bado sana
Wala usihamaki mamaa.... Jina lako limejitosheleza
hapana aisee siwezi mtania Mungu wanguAtakufanya uokoke kwa lazima
sawa mkuuWala usihamaki mamaa.... Jina lako limejitosheleza