Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
ila ivuga ujue atakua kaongeza chumvi hahahh kwahuyo dadaKidogo bwana mamdogo na mimi nataka kurusha rusha miguu kama model wa daladala
ila ivuga ujue atakua kaongeza chumvi hahahh kwahuyo dadaKidogo bwana mamdogo na mimi nataka kurusha rusha miguu kama model wa daladala
Haya jiandae kulegea soonkulegeza
Mida flan ya sa tano nilipanda public transport kutoka studio kwenda kinondoni B.
Gari ilikuwa na watu wachache kama wawili.
Mbele yangu alikaa dada mmjoa kavaa kiheshima sana na ni mzuri. (Model)
Akawa anahangaika sana anabana miguu anajilamba lamba lips.
Nilikaa mbele yake ikabidi nirudi siti ya nyuma niangalie kuwa anasoma nini hadi akahangaika hivyo hadi anajisahau?
Nikafanikiwa kuona anasoma riwaya ipo kwenye gazeti moja la udaku inaitwa " chumbani kwa dereva wa Bajaji"
Hii ni hatari.. Wanasaikologia mnaweza kutusaidi kuwa dada alinogewa tu na maandishi au?
Kumbe wadada nao maandishi yanawapagawisha kama wanaume.
Basi mimi nikashuka zangu B nikazama ben pub kuendelea na shughuli zangu.
Kila la heri dada. View attachment 502168
sijaisoma nilisoma hii wowowo la kajala teh teh ila itabidi niitafute huyo dereva wa bajaji ana mambo gani matamu

Mamdogo unamambo
tuadithie kidogo jovithaHiyo riwaya huwa naifuatiliagaa......mwandishi Irene ndaukaa....teh teh mambo yamahabatii
Sijaongeza hata.ila ivuga ujue atakua kaongeza chumvi hahahh kwahuyo dada
Mtakatifu mwongo eti anarusharusha miguu amekuwa jogoo aliyekatwa kichwaila ivuga ujue atakua kaongeza chumvi hahahh kwahuyo dada
hahahhah bamdogo kajala ana wowowo sio la nchi hii wanaume wanapagawa tu na kumfumania acha tuMamdogo unamambo
Haha eeh wowowo la kajala linanii tena jamani
Ndio. Ni gossip.Huu ni Umbeya na umemzililisha mtoto wa watu
labda alibanwa na jojoSijaongeza hata.
Mimi najua kusoma body language sanaa.
Huyo dada wa watu ni alikuwa anahangaika sana.
Labda kama alikuwa na mambo yake ila akawa ameweka gazeti kuzuga? Ila kujibana bana miguu nako vepe?
Ha ha ha ha kuna nn tena mzee mwenzanguMzee bora umekuja bwana...
Heewaala.. mamdogo hauna kapicha kakusindikiza kutia kibwagizoohahahhah bamdogo kajala ana wowowo sio la nchi hii wanaume wanapagawa tu na kumfumania acha tu
Ndio. Ni gossip.
Huyo mtoto wa watu unamjua? Na sio mtoto ni mdada mzima tu.
Jovita embu nihadisie kidogo ujue ndio maana nakuhusuduuHiyo riwaya huwa naifuatiliagaa......mwandishi Irene ndaukaa....teh teh mambo yamahabatii
Hiyo riwaya bwana... iliyo mfanya binti arushe rushe miguu.Ha ha ha ha kuna nn tena mzee mwenzangu
Mh picha tena huko ni story tu hawaweki pichaHeewaala.. mamdogo hauna kapicha kakusindikiza kutia kibwagizoo
Oouh...Mh picha tena huko ni story tu hawaweki picha
Ha ha ha mzee mara ya mwisho hilo gazet nmenunua kipind linauzwa tsh 100 kuna moja ilikuwa inaitwa uwanja wa fundi seremala na nyengne kisamvu cha kopoHiyo riwaya bwana... iliyo mfanya binti arushe rushe miguu.
Haujawahi kuisoma wewe