Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,704
Sawa my bebeBby naona umejitupia mwenyewe kuwa makini na mabaradhuli....wasije wakanifujia Mali zanguu
Sawa my bebeBby naona umejitupia mwenyewe kuwa makini na mabaradhuli....wasije wakanifujia Mali zanguu
Nina wivu mwenzioooSawa my bebe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu nitafute hiyo riwaya!!!
Wakati nipo O-level kuna novel moja nadhani ilikua inaitwa "Undercover secrets".... Yaani kile kilikua porn kwenye maandishi [emoji85][emoji85][emoji85]. Tulikigawanya kitabu kwenye pande nne na kupokezana kusoma!!! Tulikua tukikaa darasani kusoma kila mtu anajibanabana miguu... Safari za chooni haziishi... Maandishi matamu kuliko movie aisee!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeee kumbe nyiee ni naniliuuuBby naona umejitupia mwenyewe kuwa makini na mabaradhuli....wasije wakanifujia Mali zanguu
[emoji15]Huyu michael ana bby wangapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya ngwasu muachie ngwasu mkuu
Nn????............Eeee kumbe nyiee ni naniliuuu
Kaahitakua ni mapenzi tu huko chumbani kwa dereva wa bajaji haiwezekani huyo asitulie hivyo
Hiyo riwaya huwa naifuatiliagaa......mwandishi Irene ndaukaa....teh teh mambo yamahabatii
Khaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Yani shunie love u my sister..
Mwambie uyo aje pm manake duuh. Hadi naliwa na mchwa haji tu
hahahhhhh ivuga ww
hahahhhh mwenyewe nimebaki kucheka tuNaona umebadilisha gia angani mara hii kashakua ur sister??
mitaa yangu ya kujidaiKaah
Afu kino B mitaa yako..
Hahahaaaa!Ebu nitafute hiyo riwaya!!!
Wakati nipo O-level kuna novel moja nadhani ilikua inaitwa "Undercover secrets".... Yaani kile kilikua porn kwenye maandishi [emoji85][emoji85][emoji85]. Tulikigawanya kitabu kwenye pande nne na kupokezana kusoma!!! Tulikua tukikaa darasani kusoma kila mtu anajibanabana miguu... Safari za chooni haziishi... Maandishi matamu kuliko movie aisee!!!
Hivi huyo dada angekudaka unampiga picha?Yani shunie love u my sister..
Mwambie uyo aje pm manake duuh. Hadi naliwa na mchwa haji tu
Sasa utafanyajee huko huko naupata na maujuzi teh teh teh....Ila mtu ukiwa unasoma hizi stori na kufanya imagination ni hatari sana kw saikolojia ya mtuu..
Hahahaa..Sasa utafanyajee huko huko naupata na maujuzi teh teh teh....