Picha umepna au hujaona?mambo km haya ndo tunataka, unatoa thread na picha halisi, hata ukiona jini sisi tunataka picha ili tulijua
Yani shunie love u my sister..bora umekuja eb mpm baby wako
Funguka tu!!Yaani wewe Daby huwaga nakufikiriaga kuwa jinsi ulivyo nje na hii Jf.
Yaani unaonekana mtu mcheshi sana na unapenda matani hivi
Yaani hata watu unaoshigi nao huko kitaani kwenu huwaga wanafurahia sana uwepo wako
Maana siishagi hamu kukufatiria na vikolezo vyako.
Ni mawazo yangu tu mkuu
Daah afu wewe paprika niajeEbu nitafute hiyo riwaya!!!
Wakati nipo O-level kuna novel moja nadhani ilikua inaitwa "Undercover secrets".... Yaani kile kilikua porn kwenye maandishi. Tulikigawanya kitabu kwenye pande nne na kupokezana kusoma!!! Tulikua tukikaa darasani kusoma kila mtu anajibanabana miguu... Safari za chooni haziishi... Maandishi matamu kuliko movie aisee!!!
Poa Saint...Daah afu wewe paprika niaje
Pacha umepotelea wapi.....Jana umetoweka km barafu juani su ulimuogopa.......naniliuuuu.........?!!!!!!!Huu ni zaidi ya umbea....
Bby naona umejitupia mwenyewe kuwa makini na mabaradhuli....wasije wakanifujia Mali zanguuHatari sana mkuu
Nifunguke kivipi tena mkuu muosha rungu?Funguka tu!!
Haha kwann una copy neno usilolijua?
Naona umebadilisha gia angani mara hii kashakua ur sister??Yani shunie love u my sister..
Mwambie uyo aje pm manake duuh. Hadi naliwa na mchwa haji tu
Huyu michael ana bby wangapi?Bby naona umejitupia mwenyewe kuwa makini na mabaradhuli....wasije wakanifujia Mali zanguu
Mbona ni dada yanguu.Naona umebadilisha gia angani mara hii kashakua ur sister??
LolHuyu michael ana bby wangapi?
Ya ngwasu muachie ngwasu mkuuHuyu michael ana bby wangapi?