andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,193
- 121,083
Ahsante kwa kuwa kisababishi cha furaha kwa wengine.Kuna haja ya kukuombea kwa Mungu afya njema na maisha marefu[emoji120] [emoji120]Tehteh..
Akili yangu naiweza basi . Ila tunachofanya nikuyafanya maisha yetu yazungukwe na furaha mkuu.