Chumba changu kaingia nyoka sijui ameingia saa ngapi msaada

kwaku the traveler

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
293
Reaction score
811
Ni 2 : 40Am nimemuona niliamka alikaa karibu na jiko Mimi muoga vibaya naombeni msaada nitumie njian gani kumtoa Alafu haonekani na nipo kitandani sijashuka nimeshusha na net kabisa

Msaada je ningoje had Asubuh au nifanyaje humu ndani na ndani vitu vingi sijapanga vipo hovyo hovyo
 
Unapokaa kuna umeme kwanza toka hapo chap washa taa funga mlango kwa nje then tafuta mafuta ya taa, oil chafu au Petrol ila salama zaidi mafutaa ya taa au oil chafu mwaga humo chumbani na uache mlango wazi ataoka mbio sana. Usikae karibu na malango ukimwaga hivyo vimiminika .

Ukikosa hivyo tafuta mpira wowote choma hakikisha moshi unajaa humo ndani atatoka nduki sana..
 
Umeme upo Asante kwa ushauri huu nafanyia kazi
 
Ndani kwako lazima kuna panya, mende au wale wadudu wanapiga kelele usiku wanaoruka.
Huyo nyoka amejikuta katika harakati za kujitafutia msosi anaingia ndani kwako na si ajabu ameshaondoka baada ya kujua kuna likiumbe likubwa kama wewe.
FANYA USAFI NDANI KWAKO NA UKIMKUTA HUYO NYOKA USIMUUE, ACHA AONDOKE.

Acha uchafu fala mmoja wewe.
 
Hivi kuna Siri gani kumuacha aende au kumua? Nisaidie kujua
 
images (39).jpeg

Hawa ndo wakali wa hizo kazi
 
Unapokaa kuna umeme kwanza toka hapo chap washa taa funga mlango kwa nje then tafuta mafuta ya taa, oil chafu au Petrol ila salama zaidi mafutaa ya taa au oil chafu mwaga humo chumbani na uache mlango wazi ataoka mbio sana. Usikae karibu na malango ukimwaga hivyo vimiminika .

Ukikosa hivyo tafuta mpira wowote choma hakikisha moshi unajaa humo ndani atatoka nduki sana..
Chukua hii..na kaa mbali kabisa kama ni mweusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom