kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,655
usikute ata wewe ni mpiga nyetoMKUU UMELELEWA WAPI HUNA ADABU KIASI HIKI?
usikute ata wewe ni mpiga nyetoMKUU UMELELEWA WAPI HUNA ADABU KIASI HIKI?
Kweri kabisa aroo
Mkuu, mbona ni jambo la kawaida sana kula mahindi hadharani aisee hata mzee wako labda jioni amekula mahindi pale kijiweni
NB. Mhindi wa kuchoma ukipoa unapungua radha
OyChadema wataibeba hii kama sera yao ya uchaguzi ukiachana na ile ya jogoo ambayo tayari mgombea wao kaahidi kumshughulikia yule Jogoo ambaye Magu alipewa kama zawadi.
We jamaaToka lini ukaona mwuza mahindi ana mguu wa kukuView attachment 1529058