Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 365,122
- 843,089
😀😀😀Kama chuki niliyonayo kwako mleta mada, haipimiki!
😀😀😀Kama chuki niliyonayo kwako mleta mada, haipimiki!
kunaa mtu anajiita Nakuchukia sana mada yake hii atuelekezeHello guys 👋 name Shesrise🫰
Watu wengi tunasema chuki, lakini je, tunajua hasa ni nini?
Je, chuki inazaliwa ndani ya mtu au inajengwa kutokana na mazingira, maumivu, na uzoefu wa maisha?
Wengine wanasema chuki huanzia kwenye majeraha ya moyo, wengine wanaona ni wivu, hasira au kukosa msamaha.
Lakini swali linabaki: chuki inatoka wapi hasa?
Nini kinasababisha mtu msiefahamiana kwa undani au hata kukujua vizuri, hakujui na kisha anakujengea chuki?
Imewahi kukutokea mtu akakuchukia na hata ukagundua? Ulichukuliaje?
Chanzo cha chuki ni nini hasa?
Karibuni tujadili, kila mtu kwa mtazamo wake 🙏🔥
Yooo asante kwa kumuitakunaa mtu anajiita Nakuchukia sana mada yake hii atuelekeze
Sijajibu swali na baado umeelewaHujajibu swali. Lakini hata hivyo nimeelewa. 😁
Nimeona umeuliza,tunawezaje kuwabadili/kuwasaidia wenye chuki?Karibu rafiki I'm happy to see you ☺️
Hakuna anaetaka kubadili nature ya mtu 👍
Umeongea vizuri bravoNapenda kuamini kwamba tuna hisia moja tu kuu(upendo) ambapo hisia zingine zote hutokea.
Kila binadamu ana kiasi maalum cha upendo ambacho hujibadilisha kuwa hisia nyingine kutokana na mapito.
Chuki ni hisia ya uadui. Ukimpenda mtu akakusaliti ule upendo unageuka kuwa chuki. Ukikutana na wazo linalokinzana na unayoamini unalichukia.
Asante sana 🙏🙏Nimeona umeuliza,tunawezaje kuwabadili/kuwasaidia wenye chuki?
Mtu hawezi kua na chuki bila sababu,ukichukiwa jitafakari,angalia matendo yako,jibadili wewe coz huwezi kuwabadili wanadamu,
Chuki ni mojawapo ya feeling ya kiumbe kilicho hai,chuki ipo mpaka kwa wanyama,it's a nature,you can't change it but you can decide to ignore it.
Saafi 👍Sio kwamba nina akili, lakini nimeelewa.
Yawezekana anahofia kusema kwanini au hajui kweli kwasababu anakuchukia kupitia ufahamu wake mdogo ambao hawezi kuudhibiti.Umeongea vizuri bravo
Ni sawa na ule msemo penye chuki palitangulia upendo
Shida ipo hawa ambao hata ukimuuliza sababu gani umchukie mwenzio hana hata sababu moja
Na mala nyingi hua wakali sana😂hawa wanaochukia wenzao siyo kwamba hawana sababu hapana
wanaochukia wenzao halafu wanasema hakuna sababu yeyote hao maana yake sababu iliyosababisha ni ya kijinga ama ya aibu n.k
Kwa wanawake zaidi? Maybe ni kweliYawezekana anahofia kutaja sababu au hazijui kweli kwasababu anakuchukia kupitia ufahamu wake mdogo ambao hawezi kuudhibiti.
Wanasema hii inaweza kuwa kwasababu ya mtu kujokujiamini na pia kuwa na kiwewe.
Sema hii nahisi ni kwa nyie wananwake zaidi.
Chuki ni hali ya kukosa aman moyon unapo muona mtu au kitu fulan.Tabia hii hujengeka baada ya kutokewa na kitu kibaya kama: kusalitiwa,kutengwa,kudhalishwa,kuonewa mm kivyangu niliwahikusalitiwa na mwanamke niliyempenda na licha ya hilo akanidhalisha kwa kunitukana.kwa kweli namchukia san japo nlwah kumpend pia nyumban nachukiwa sana kisa na maan ndug zang wengin wamenzd kiuwezo.maisha yangu yamejaa chuki ata ndugu zangu tunachukiana san kuchukiwa kwangu nishazoea ndoh maana napenda kujiita nakuchukia san.hii jina niyakunitia nguvu njpambaniekunaa mtu anajiita Nakuchukia sana mada yake hii atuelekeze
ila kunaa kitu ndani yako, nitakutafutia mshauri wa jisaikilojia akiweke sawa ili usiishi maisha ya kuchukia na kuona ni kawaidaChuki ni hali ya kukosa aman moyon unapo muona mtu au kitu fulan.Tabia hii hujengeka baada ya kutokewa na kitu kibaya kama: kusalitiwa,kutengwa,kudhalishwa,kuonewa mm kivyangu niliwahikusalitiwa na mwanamke niliyempenda na licha ya hilo akanidhalisha kwa kunitukana.kwa kweli namchukia san japo nlwah kumpend pia nyumban nachukiwa sana kisa na maan ndug zang wengin wamenzd kiuwezo.maisha yangu yamejaa chuki ata ndugu zangu tunachukiana san kuchukiwa kwangu nishazoea ndoh maana napenda kujiita nakuchukia san.hii jina niyakunitia nguvu njpambanie
Naomba kesho tuendelee mkuu🙏Energy uko nayo ndani yako nguvu uliyobeba ndani yako.
Mfano ukiokoka kweli ukawa na nguvu ya Mungu ndani yako ile nuru uko nayo ile positive energy na hatima yako/nyota.
The moment uki step into ukikayaga tu mguu wako eneo na watu wako na negative energy giza.
kunatokea repell ,automaticaly watu watakuchukia kwa sababu you are presence there make them uncomfortable juu ya ile energy iko ndani yako/nyota yako ni threat kwao..ule mngao nguvu yako..umekuwa threat kwao.
people hate what they fear.
Watu wa Mungu walokole unapo okoka tu na kujazwa nguvu ya Mungu kweli kweli ,unaanza kuchukiwa tena na watu wako wa karibu ndio wanakuwa wa kwanza ,ni kama kuokoka kwako ume declare war.
Umesema watu wanaweza kukuchukia kwa sababu ya nyota yako, ila nataka kufahamu vizuri zaidi nyota ni nini hasa? Ni kitu gani kwa uhalisia wake?Energy uko nayo ndani yako nguvu uliyobeba ndani yako.
Mfano ukiokoka kweli ukawa na nguvu ya Mungu ndani yako ile nuru uko nayo ile positive energy na hatima yako/nyota.
The moment uki step into ukikayaga tu mguu wako eneo na watu wako na negative energy giza.
kunatokea repell ,automaticaly watu watakuchukia kwa sababu you are presence there make them uncomfortable juu ya ile energy iko ndani yako/nyota yako ni threat kwao..ule mngao nguvu yako..umekuwa threat kwao.
people hate what they fear.
Watu wa Mungu walokole unapo okoka tu na kujazwa nguvu ya Mungu kweli kweli ,unaanza kuchukiwa tena na watu wako wa karibu ndio wanakuwa wa kwanza ,ni kama kuokoka kwako ume declare war.
NYOTAUmesema watu wanaweza kukuchukia kwa sababu ya nyota yako, ila nataka kufahamu vizuri zaidi nyota ni nini hasa? Ni kitu gani kwa uhalisia wake?
Also, watu wenye positive energy unawatambua vipi? Like, what really defines someone as having positive energy?
Na pia umetolea mfano wa walokole je, kuwa na nguvu kubwa kiroho mpaka ikapelekea watu kukuchukia, hiyo nguvu lazima iwe connected na kuwa mlokole? Au mtu anaweza kuwa na hiyo spiritual power bila kuwa hivyo?
Ningependa kuelewa hii kwa undani zaidi Mkuu karibu
#Happy Sunday