Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 20,958
- 59,950
Ila status za zamani nazo banašZamani kuna khanga zilikua zimeandikwa "chuki nichukie, roho yangu niachie"
Ila status za zamani nazo banašZamani kuna khanga zilikua zimeandikwa "chuki nichukie, roho yangu niachie"
Kwa kweli chuki ikienda mbali inaweza kuleta maafaZamani kuna khanga zilikua zimeandikwa "chuki nichukie, roho yangu niachie"
Unaulinda wako moyo safii sanaChuki ni kutocheka na wowote.
Aisee kazi sanaHatulingani akili, utofauti wa mitazamo, mazingira, wivu na ni asili ya mwanadamu.
Ndiyo inavyosemwa ila ukweli ni kuwa kuna kitu alikihisi au aliliona kutoka kwako au kuna jambo ulifanya na tokea siku hiyo amekuchukia jumlaKusema chuki bila sababu yoyote inawezekana je?
Asante sana kaka ni heshima kwangu kuitikia wito š
Sasa nina maswali kadhaa?
Je chuki ni ugonjwa ?
Ni ugonjwa wa akili?
Kila mtu anachuki lakini kiwango cha chuki kinatofautiana kutokana na mtu anavyoweza kudhibiti visababishi vya chuki.Mtu alieambukizwa chuki kwa kukataliwa na kutengwa huyu anapona vipi asiwe sumu kwa wengine?
Mtu mwenye chuki unaotokana na wivu wa kuona labda amezidiwa vitu fulani
Kwa kujiona anastahili huyu nae anaponaje?
Mtu mwenye chuki kwa mtu hata asiemjua vizuri ajabu hiiš huyu nae si ni mgonjwa mahututi tuna msaidiaje?
Sawa sawa ila tuelewe kwamba mtu hua anajua kabisa kua ana chuki na fulani na akakiri kua hajui kwanini anamchukia huwenda ni amesahau kama ulivyosema šNdiyo inavyosemwa ila ukweli ni kuwa kuna kitu alikihisi au aliliona kutoka kwako au kuna jambo ulifanya na tokea siku hiyo amekuchukia jumla
Ila sasa hajui why amekuchukia kwa sababu amesahau kile kilichopelekea kukuchukia
Naomba nicheke na wewe.Unaulinda wako moyo safii sana
Lakini kwanini usichague hata mmoja wa kucheka nae?et kijana
Asante sana kwa maoni yakoChuki sio ugonjwa
Bali ni reactions ya kihisia ambayo Akiko ikishindwa kuidhibiti hutokea nje na kuleta madhara. Inayotokana sababu nilizotaja hapo juu. Ambayo
Kila mtu anachuki lakini kiwango cha chuki kinatofautiana kutokana na mtu anavyoweza kudhibiti visababishi vya chuki.
Mfano Wivu,
Njia pekee ya kudhibiti chuki itokanayo na Wivu ni kutokuwa na wivu. Na kama inakuwa ngumu ni kuwa ma wivu wenye tija.
Wivu mara nyingi msingi wake mkuu ni tamaa + kujilinganisha + kujiona unastahili.
Mtu mwenye wivu anatakiwa aache kujilinganisha, tamaa NAA kuona anastahili kuwa na Kila kitu walichonacho wengine
Present daughter!
Chuki humtesa mchukiaji kama akiamua kuhifadhi tu moyoni ila akiamua kuifanyia kazi (kuitoa moyoni) ni uwezekano wa anayechukiwa na yeye kuathirikaSawa sawa ila tuelewe kwamba mtu hua anajua kabisa kua ana chuki na fulani na akakiri kua hajui kwanini anamchukia huwenda ni amesahau kama ulivyosema š
Je hiyo tabia yake mbaya hawezi kuikomesha ili awe na amani maana mimi naamini chuki humtesa zaidi mwenye kumchukia wenzie kuliko mchukiwa
Sawa tutacheka wotešNaomba nicheke na wewe.
Usicheke na wengine basi humu ndani, right?Sawa tutacheka woteš
Kweli kabisa chuki ikitolewa njee inaleta maangamizi š¢Chuki humtesa mchukiaji kama akiamua kuhifadhi tu moyoni ila akiamua kuifanyia kazi (kuitoa moyoni) ni uwezekano wa anayechukiwa na yeye kuathirika
kwa mfano mume anaweza kumchukia anayetoka na mke wake ila asiitoe nje ile chuki yake ila kama akiamua kuitoa nje madhara yanaweza kuathiri hata pande zote za mchukiaji na mchukiwaji
Sawa don't worry šUsicheke na wengine basi humu ndani, right?
Asante sana kwa maoni yako
Nb:Wivu mala nyingi msingi wake ni kujilinganisha,tamaa kujiona unastahili
šš
Limeisha hiloo!Sawa don't worry š
Wivu ni asili ya mwanadamu?Hatulingani akili, utofauti wa mitazamo, mazingira, wivu na ni asili ya mwanadamu.