Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,537
- 19,292
Chuki kupona ni kuacha kuchukia unachokichukia kwa ninavyoona mimi huenda wanasaikolojia wa Jf Watatupa mbinu zaidiKweli kabisa chuki ikitolewa njee inaleta maangamizi 😢
Swali ni vipi mwenye chuki atapona hilo gonjwa hatari?
Kuna watu wenye chuki hata humu huenda wakapona
Tuendelee kujifunza
Na vipi umegundua kuna mtu anakuchukia au ?