Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

[emoji3] [emoji3] unajua vijana wamebaki kubishana kushindanisha vyuo tu wakat wengi wao wapo kitaa bando wakitumwa na mzee chenji ikibaki wanunua vocha, ndo mana nimewambia watumie maarifa waliyoyapata.
Ni kweli Mkuu, japokuwa hiyo ni mada nyingine yenye uwanja mpana.
 
Hujawahi kufikiri kwani hata kufikiri unajua wewe?

Ulichoandika hapo juu ni logical non sequitur.

Unaelewa ni nini hiyo?




Sijui ulichoandika hapo.
Unadhani nipo kwenye usaili hapa? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .

Huruma ikuangukie tuu.
 
Ile ndio inaitwa chuo kikuu ya taifa bhana.

Karibuni watu wa Teofilo Kisanji najua mtatoa povu kama ndoo nzima[emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Wengine wapite tuu kimya kimya.
 
Kila umri ni utoto Mkuu. Philosophical point of view.
 

Siku ukibahatika kwenda Ulaya au US wakati wa summer sijui utafanyaje utashinda unajifungia ndani. Nguo za wengine zinaku athiri vipi?
 
Siku ukibahatika kwenda Ulaya au US wakati wa summer sijui utafanyaje utashinda unajifungia ndani. Nguo za wengine zinaku athiri vipi?
Wao Masters ndio huchukulia hapo Udsm. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mbona unaongea kama division 1 ziko UDSM pekee. Wengi wenu mnategemea kuajiriwa, na waajiri wameshajua hizo lugha zenu ndio maana wanawaacha kwenye ajira, maana wanawajua badala ya kupiga kazi unashinda unawaambia wenzio nimesoma UDSM. Msiwaponze wahitimu wengine.
 
Umekwepa maswali madogo tu, umefanya logical non sequitur,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…