Mtu smart, rais, atashindwaje kujibu swali la kwa nini nchi yako masikini?Unajua nini maana ya Siasa Mkuu?
Watu uliowataja hamulingani kwa lolote labda tu kwa kuvuta pumzi na kwenda chooni.
Kikwete na JPM si kama unavyowachukulia. Ni watu Smart kuliko unavyoona. Ni kwa vile unaleta hisia katika suala la siasa.
Siasa ni mchezo wa kupanga matukio ili yalete maana kwa wananchi.
Unaposikia mtu anasema MTU yupo Udsm hajui kuandika insha, nini kinakuja akilini mwakoKwani wapi nimesema hawawezi kuandika insha ya muandishi wa habari?
Hujajibu swali.Unaposikia mtu anasema MTU yupo Udsm hajui kuandika insha, nini kinakuja akilini mwako
Swali hujibiwa kutegemea na mambo kadhaa. Mojawapo ni lengo la muulizaji. Ikiwa hakuna manufaa ya kujibu swali ni bora usilijibu. Wenye akili hili wanalijua na kulitumia. Hata Yesu alitumia mbinu hii.Mtu smart, rais, atashindwaje kujibu swali la kwa nini nchi yako masikini?
Mtu smart, rais, atajiaibishaje kwa kusema mawaziri wake aliowateua yeye mwenyewe ni wapumbavu na hivyo kujiita yeye mwenyewe mpumbavu kwa kuwateua wapumbavu kuwa mawaziri?
Nimesoma hapo Udsm haswaa.Hujajibu swali.
Kwani wapi nimesema hawawezi kuandika insha ya muandishi wa habari?
Wewe umesoma UDSM?
Nakumbuka mwaka 2006 ,nimehitimu six nikawa nimeenda kumtembelea ndugu yangu na kadivision kangu ya point 4 ,duuu kufika mliman kupiga misele nakutana na wadada wamevaa vibaya maungo yao yanaonekana.Nikamwambia broo niliyekuwa nae tunapiga misele nikamwambia hiki chuo siombi na sikitaki kabisaaa ,kisa tu yale mavazi ya wale wadada.....Huyooo nikaenda Sua....Mkuu mwenyewe kasoma kwa kuungaunga tu.. afu kusema UDSM ndio kimbilio la waliofaulu vizuri ni uongo tena wa kipumbavu kabisa.. nina jamaa zangu wana Div 3 na wapo hapo pia wengine ni diploma holders na wako hapo.. Sio kila mtu anapenda kusoma UDSM wengi hawapendi tena sana tu... UDSM ni chuo cha kawaida sana katka ishu nzima ya utoaji wa wahitimu walio smart...
Chamsingi wasikate tamaa udsm ipo wataenda hata kuunga bando la chuo. Hayo tu [emoji1492][emoji1492]
nimesoma udsm hakuna nisilojua kuhusu hicho chuoKuna kitu hukijui ndio maana unaongea kama asiyejua
Ha ha ha umenikumbusha chuo changu, duh hapo hawapokei waliofail sema hapo nyuma tcu ilitaka kikihatibuHabari Wakubwa.
Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.
Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.
Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.
Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.
Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.
Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.
Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.
Hakuna aliyekutuma ufeli. Kama unataka kusoma Udsm sharti upige msuli upate angalau kadivisheni one.
Kila mtu apambane na hali yake.
Udsm hoyeeeeee!
Ndio maana. Hongera sana.nimesoma udsm hakuna nisilojua kuhusu hicho chuo
Ujinga huu wa kukwepa maswali ndio unaosababisha tuwe masikini mpaka leo,na wewe unautetea.Swali hujibiwa kutegemea na mambo kadhaa. Mojawapo ni lengo la muulizaji. Ikiwa hakuna manufaa ya kujibu swali ni bora usilijibu. Wenye akili hili wanalijua na kulitumia. Hata Yesu alitumia mbinu hii.
JPM aliongea akiwa na dhamira mbalimbali. Na si kama alijibu kwa kuongozwa na ujinga.
Ujinga ni pale unapotaka kiongozi ajibu utakavyo
Ni kweli Mkuu. Ila naona sasa mambo yanaenda sawa.Ha ha ha umenikumbusha chuo changu, duh hapo hawapokei waliofail sema hapo nyuma tcu ilitaka kikihatibu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hizi ni kelele usome sant. Nani sjui Ud sjui udom sijui wap mhimu ni kuweza kutumia elimu uliyoipata ipasavyo unaweza soma chuo kikbwa lakin ukashindwa kuhaulisha maarifa , elimu yako onesha katika maendeleo yako na sio kelele wakat mnajaza vyoo vya watu tu.
Majibu yako yanakuonyesha umesoma UDSM.Nimesoma hapo Udsm haswaa.
Wakati mwingine swali ni jibu au hukufundishwa na hilo?
[emoji3] [emoji3] unajua vijana wamebaki kubishana kushindanisha vyuo tu wakat wengi wao wapo kitaa bando wakitumwa na mzee chenji ikibaki wanunua vocha, ndo mana nimewambia watumie maarifa waliyoyapata.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu mbona unaongea kwa uchungu sana?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ujinga huu wa kukwepa maswali ndio unaosababisha tuwe masikini mpaka leo,na wewe unautetea.
Na wewe unayo tabia hii.
Wewe umezaliwana kukulia chooni, ushazoea harufu ya mavi, akijamtu anayejua tofauti ya harufu ya mavi na hewa safi akakwambia hapakwako pananuka mavi huwezi kuelewa,utapinga na kuona unatukanwa.
Ndicho kinachoendelea hapa.
Hao kina JK na JPM wame/ wanaendesha nchi kwa ujinga kabisa, hayo partly ni matokeo ya elimu mbovu ya UDSM.
Na wewe unawatetea.
Wewe ni muhitimu wa UDSM?
Hyo division two 13 ya nchi gani.Achen ulimbukeni wa kishamba, et UDSM vipanga so what?Ujinga huu ndo unatufanya tuendelee kua maboya .Yaani majitu yanalingia jina la chuo badala ya kudemonstrate competently in actual life.This is purely childish argumentNimevutiwa na bandiko lako na hasa kuhusu kuomba kudahiriwa UDSM na kukosa nafasi mwaka huu, Hii inanihusu kwa kuwa nina wangu wa karibu ambaye mkasa huu umemkumba pamoja na kuniaminisha huko nyuma kuwa lazima aingie UDSM kwa kuwa ana Division two points 13.
Tangu mwanzo nilikuwa nahisi kuwa ufaulu huo wa Division two points 10-13 niliutilia shaka na kutoamini kama chuo pekee hapa nchini kimeamua kushusha hadhi yake ya zamani na kudahiri chini ya kiwango chake cha awali. Naungana na wewe kuwapa pole hao wawili pamoja na wangu wa karibu ila wasikate tamaa wajipange kwingine.
Hujawahi kufikiri kwani hata kufikiri unajua wewe?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwa hiyo Umasikini wa Tz umesababishwa na wasomi wa Udsm?
Looh! Hii Kali na sijawahi kuifikiri.
Mkuu Embu tulia kidogo akili ikae sawa.
Kikwete sio Mjinga Mkuu ashindwe kujibu swali kama lile. Kimya ni jibu la hekima kuliko majibu yasiyo na faida.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Majibu yako yanakuonyesha umesoma UDSM.
Una utapiamlo wa fikra. Unakwepa maswali. Unatetea ujinga.