mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Habari wanajamii wenzangu,
Leo naomba kufaham juu ya hii tabia ya wanawake kuwachukia waume zao hususan wakiwa wajawazito chanzo chake ni nini? Maana imekuwa ni shida hadi inafikia hatua ya mwanaume kutamani kuhama nyumba yake mwenyewe japo sio kwa wanawake au wanaume wote wenye kasumba hii.
Mimi mke wangu hata akiwa periods mara nyingi ugomvi hutokea ila akimaliza tuu upendo kama kawaida japo kwangu sio tatizo kwa kuwa naelewa ni kitu kisichozuilika kutokea.
Naomba kujuzwa kwa wenye uelewa kwaanini hutokea?
Karibuni kwenye jamvi