Chuki kwa waume zenu kipindi cha ujauzito

Kwani ni wote wako hivi??..

Sio wote ila, ujue haina formula hiyo kila mtu na inavomjia
ujauzito mwingine anaeza kukupenda hadi ukaogopa mwingine anakutimua hataki kukuona
vumilia tu mbona ni muda mfupi
 
Wanaharibu mood za watu hawa sumtyms..Mi wife nae ni mjamzito..Basi karibu deile tunagombana... Jana ameingia home akanikuta nacheki mpira..Kabla hata ajakaa akatoa pesa kwenye pochi yake akanambia "baby naomba ukanichukulie msosi na vocha"..Mi nikamind kimoyomoyo..Mtu ametoka nje,amevipita vibanda kama 10000 huko lakini hajanunua vitu vyake zen anakuja kusumbua watu hapa..

Nikaona isiwe tabu..Nikamwambia poa..Sikuchukua hela yake..Nikaenda fasta kumnunulia nikarudi...Ule msosi kaugusa kidogo akasema haupandi..Akaniomba nikamchukulie mwingine..Nikamwambia avumilie kidogo basi game ikiisha ntaenda..Mtu haelewi anadai njaa inamuuma hawezi kuvumilia..

Mi Nikatoka home nikaenda kukaa bar ya karibu nikaendelea kucheki mpira..Afta one hr baada ya game kuisha nikarudi home na msosi mkononi..Basi hilo zogo lake sasa..Mwanamke aliongea mpka usiku muda wa kulala..Asubuhi pia kaamka na gubu lile la jana basi tafrani tupu

Nimeamua nisitishe zoezi la kugawa mimba aisee..Huyu nadhani ndo atakuwa mtt wangu wa mwisho

Hahaha umetisha bro. Mikasa yako huwa burudani tu. Heaven Sent hebu pita hapa, ujifunze not to disturb a man during his game-time.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah

Walahi umepinda wewe

Kwa period, biologically mtu hua na hacra ghafla. Mi mwenyewe cjaelewa ila nkiwa period Huwa Nina hasira sana. Naweza kosana hata na dada zangu. Ndo ilivo.

Sasa kama hiyo ni period ukiwa na mimba inakuaje?? Au ndo utawahamisha na nyumba kabisa
 
Hahaha umetisha bro. Mikasa yako huwa burudani tu. Heaven Sent hebu pita hapa, ujifunze not to disturb a man during his game-time.

Hahhahah babes Humjui tu baba angu wa imani Kaboom, ana undugu na shigongo. Sipati picha ntakavyozidisha na madeko knowing that I'm having a gentleman by my side... lucky me. Ila naomba sana mimba isitusumbue
 
Last edited by a moderator:
Hahhahah babes Humjui tu baba angu wa imani Kaboom, ana undugu na shigongo. Sipati picha ntakavyozidisha na madeko knowing that I'm having a gentleman by my side... lucky me. Ila naomba sana mimba isitusumbue

Kaboom nishamuelewa. Nilitaka tu upate ujumbe kuwa men are connected to their game-times. You can be dramatic all you want, any other time but not that time please. Lemme have that one. I'm the lucky one in this, cuz i got a Missus who's understanding.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii hali inawatokea wanawake wa pande zote duniani...wazungu,wachina,wahindi n.k au ni wanawake wa bongo tu?
 
Kaboom nishamuelewa. Nilitaka tu upate ujumbe kuwa men are connected to their game-times. You can be dramatic all you want, any other time but not that time please. Lemme have that one. I'm the lucky one in this, cuz i got a Missus who's understanding.
Roger that swts, i'm gonna let u have your moment[emoji460] [emoji460] [emoji460]
 
Last edited by a moderator:
Sio makusudi bana....

Kichefuchefu...kichwa kuuma...uchovu.....kusikia harufu mbaya......ukijumlisha na mateke unayopigwa kwa tumbo tusamehe bure

teh teh..Mnashida sana nyie..Saa nyingine mnafanya makusudi nadhani
 
Habari wanajamii wenzangu,

Leo naomba kufaham juu ya hii tabia ya wanawake kuwachukia waume zao hususan wakiwa wajawazito chanzo chake ni nini? Maana imekuwa ni shida hadi inafikia hatua ya mwanaume kutamani kuhama nyumba yake mwenyewe japo sio kwa wanawake au wanaume wote wenye kasumba hii.

Mimi mke wangu hata akiwa periods mara nyingi ugomvi hutokea ila akimaliza tuu upendo kama kawaida japo kwangu sio tatizo kwa kuwa naelewa ni kitu kisichozuilika kutokea.

Naomba kujuzwa kwa wenye uelewa kwaanini hutokea?

Karibuni kwenye jamvi

Hiyo tisa kumi ni ile wewe ndo unamchukia akiwa mjamzito! Hadi hatua anafukuzwa!
Akijifungua yameisha
 
Sio makusudi bana....

Kichefuchefu...kichwa kuuma...uchovu.....kusikia harufu mbaya......ukijumlisha na mateke unayopigwa kwa tumbo tusamehe bure
Kwa alichofanya huyo mwanmke sio makusudi kweli??..Wengine wanadeka bana
 
Back
Top Bottom