Chuki kwa waume zenu kipindi cha ujauzito

Chuki kwa waume zenu kipindi cha ujauzito

Wanaharibu mood za watu hawa sumtyms..Mi wife nae ni mjamzito..Basi karibu deile tunagombana... Jana ameingia home akanikuta nacheki mpira..Kabla hata ajakaa akatoa pesa kwenye pochi yake akanambia "baby naomba ukanichukulie msosi na vocha"..Mi nikamind kimoyomoyo..Mtu ametoka nje,amevipita vibanda kama 10000 huko lakini hajanunua vitu vyake zen anakuja kusumbua watu hapa..

Nikaona isiwe tabu..Nikamwambia poa..Sikuchukua hela yake..Nikaenda fasta kumnunulia nikarudi...Ule msosi kaugusa kidogo akasema haupandi..Akaniomba nikamchukulie mwingine..Nikamwambia avumilie kidogo basi game ikiisha ntaenda..Mtu haelewi anadai njaa inamuuma hawezi kuvumilia..

Mi Nikatoka home nikaenda kukaa bar ya karibu nikaendelea kucheki mpira..Afta one hr baada ya game kuisha nikarudi home na msosi mkononi..Basi hilo zogo lake sasa..Mwanamke aliongea mpka usiku muda wa kulala..Asubuhi pia kaamka na gubu lile la jana basi tafrani tupu

Nimeamua nisitishe zoezi la kugawa mimba aisee..Huyu nadhani ndo atakuwa mtt wangu wa mwisho

mbavuuuuuu!
 
kujidekeza tu hakuna lolote..me mwanamke akijifanya kunichukia kwa kisingizio cha mimba..na me namchunia tu na ikiwezekana na kumtwanga makofi juu
 
mimba ikikuchukia na mama kufikia hatua kuchukia tendo la ndoa au kukosa hamu mimba inapofikia third trimester huyo ni mtoto wa kiume ikikupenda sana na mwanamke kupenda sana tendo la ndoa ni mtoto wa kike. utafiti wangu mwenyewe

we ni nomaaa!
 
Rudi shule kasome tena Biology. Hasa sub-topic ya hormones. Then utaelewa kinachoongelewa hapa.

Hiyo topic ndio inafundisha mwanamke kumchukia mume wake kipindi cha mimba?

Udanganyifu wa wazi wazi hivyo siwezi kuukubali,mwanamke akinichukia tu baada ya kupata mimba najua huyo mtoto alieko tumboni sio wangu na hanitaki.
 
mimba ikiwa chini ya miezi minne na ukiwa unamchumia msababishaji basi ujue kuna tatizo...ila ikiwa ni zaid ya miezi minne hapo ni kawaida...
lakini kuna wanawake wengine huwa wanajiendekeza tu... hujiona kama wamekuwa something special not to be disturbed

Wala cvyo kama unavyofikiri mjamzito akimchukia m2 anamchukia kwely if u ar a woman utakuja kuelewa nnachomaanisha ila ndo ivyo kuna baadh ya v2 n kujiendekeza
 
Wala cvyo kama unavyofikiri mjamzito akimchukia m2 anamchukia kwely if u ar a woman utakuja kuelewa nnachomaanisha ila ndo ivyo kuna baadh ya v2 n kujiendekeza

niambie mfano wa hivyo vitu vya kujiendekeza kama na hii ya kuchukia mwanaume si moja wapo...
hii kitu najua ni influence za hormone... lakini wanawake wengi huzidisha, I'm a man but nafahamu hilo maana nimesoma haya mambo...
 
Back
Top Bottom