Chuki kwa waume zenu kipindi cha ujauzito

Chuki kwa waume zenu kipindi cha ujauzito

Mm mwenyew apa nnayo yangu namchukiaje huyu mwanaume mpaka natamani asafiri 2 kla cku
 
Basi kama hujawahi kubeba wala hutegemei kuibeba heri unyamaze kuliko kubishia usichokijua na hautokaa ukijue

sibishani nawe ila vitu vingine mnajiendekeza tuseme tu ukweli yani mnaboa
 
sidhani kama kuna wanaofanya makusudi. Wakati wa ujauzito kunatokea mabadiliko makubwa. nakumbuka nlikuwa sensitive sana na utando wa buibui. Kila nikikaa kwenye kochi nikiangalia juu naona umejitokeza. Nikiona namwita house maid aje kutoa. Akija anatoa machooo lakini haoni. naamua kumnyang'ang'anya ufagio kwa hasira huku nikimsema vibaya, natoa mwenyewe. Baada ya kujifungua sikuwa najali kuhusu utando wa buibui. Baadae nilikuja kuhisi hata ule niliokuwa nauona haukuwa halisi maana haiwezekani mahali kila siku patolewe utando wa buibui na buibui kila siku alete utando wake. Pia kuna mtoto wa miaka mitatu nilikuwa nampenda sana. Ilikuwa akiniringia naumia moyo eti naona ananifanyia makusudi kumbe ni mtoto tu.

Siku moja nikaenda hotelini nikaagiza chakula. Nikala vijiko viwili nikahisi mboga imechacha. Wakanibadilishia. Ya pili hivyo hivyo nikawaambia imechacha. Mhudumu akanibishia na tukabadilishana maneno sana. Supervisor akaingilia akasema niletewe aina nyingine. Nayo nikala kidogo nikahisi imechacha. Hapo nikahisi mi ndo mwenye matatizo. Nikalipa nikaondoka kwa aibu.

kitu kingine jamani genye!! uuuuwi sitaki hata kukumbuka. nusura niwe kichaa maana hata baba wa mtoto mwenyewe hakuwepo kwenye picha, tulishaachana kabla hata sijajua nina ujauzito. Angekuwepo nahisi angekimbia nyumba na boxer mkononi! Namshukuru Mungu kipindi kilipita salama, ni miaka 8 sasa.[/QUOTE
Nimependa comment yako,tafadhali hapo kwenye genye patengenezee paragraph mbili zaid!
 
Mm mwenyew apa nnayo yangu namchukiaje huyu mwanaume mpaka natamani asafiri 2 kla cku

mimba ikiwa chini ya miezi minne na ukiwa unamchumia msababishaji basi ujue kuna tatizo...ila ikiwa ni zaid ya miezi minne hapo ni kawaida...
lakini kuna wanawake wengine huwa wanajiendekeza tu... hujiona kama wamekuwa something special not to be disturbed
 
mimi wangu alikuwa anapenda harufu ya jasho ya shati langu au fulana nikirudi halijalowa jasho atanilazimisha nikimbie lijae jasho then anashinda na lo siku ya pili kwa kulinusa na kulivaa. Ila cha ajabu akishika mimba badala ya kutapika yeye mimi ndio hutapika na kula ndimu kwa miezi mitatu sijui hii ni sayansi gani
 
sidhani kama kuna wanaofanya makusudi. Wakati wa ujauzito kunatokea mabadiliko makubwa. nakumbuka nlikuwa sensitive sana na utando wa buibui. Kila nikikaa kwenye kochi nikiangalia juu naona umejitokeza. Nikiona namwita house maid aje kutoa. Akija anatoa machooo lakini haoni. naamua kumnyang'ang'anya ufagio kwa hasira huku nikimsema vibaya, natoa mwenyewe. Baada ya kujifungua sikuwa najali kuhusu utando wa buibui. Baadae nilikuja kuhisi hata ule niliokuwa nauona haukuwa halisi maana haiwezekani mahali kila siku patolewe utando wa buibui na buibui kila siku alete utando wake. Pia kuna mtoto wa miaka mitatu nilikuwa nampenda sana. Ilikuwa akiniringia naumia moyo eti naona ananifanyia makusudi kumbe ni mtoto tu.

Siku moja nikaenda hotelini nikaagiza chakula. Nikala vijiko viwili nikahisi mboga imechacha. Wakanibadilishia. Ya pili hivyo hivyo nikawaambia imechacha. Mhudumu akanibishia na tukabadilishana maneno sana. Supervisor akaingilia akasema niletewe aina nyingine. Nayo nikala kidogo nikahisi imechacha. Hapo nikahisi mi ndo mwenye matatizo. Nikalipa nikaondoka kwa aibu.

kitu kingine jamani genye!! uuuuwi sitaki hata kukumbuka. nusura niwe kichaa maana hata baba wa mtoto mwenyewe hakuwepo kwenye picha, tulishaachana kabla hata sijajua nina ujauzito. Angekuwepo nahisi angekimbia nyumba na boxer mkononi! Namshukuru Mungu kipindi kilipita salama, ni miaka 8 sasa.

asante kwa ushuhuda
 
Hiyo ni makusudi tu.

Pili ni ishara kwamba huyo mtoto alie tumboni sio wa kwako, hakutaki.

Mtoto akianza kukukataa toka tumboni ujue huyo sio wako.

Wanawake wajanja wanajua mtoto akiwa sio wako wanasingizia mimba sijui nini ila sio kweli.

Alafu hayo mambo yako africa tu, wazungu kipindi cha ujauzito ndio mapenzi huwa yanaongezeka kwa waume zao maana mtoto ni wa baba kweli.

Huu ujinga mimi sitaukubali.

Rudi shule kasome tena Biology. Hasa sub-topic ya hormones. Then utaelewa kinachoongelewa hapa.
 
mimi wangu alikuwa anapenda harufu ya jasho ya shati langu au fulana nikirudi halijalowa jasho atanilazimisha nikimbie lijae jasho then anashinda na lo siku ya pili kwa kulinusa na kulivaa. Ila cha ajabu akishika mimba badala ya kutapika yeye mimi ndio hutapika na kula ndimu kwa miezi mitatu sijui hii ni sayansi gani

yaaan hapo ndo huwa nashindwa kuelewa mimba ashike yy but mm nipate shida tena nyingi
 
samahani nilikuwan kazi kidogo but nimerejea asante kwa waliochangia mawazo yao nimejifunza kitu
 
mimba ikikuchukia na mama kufikia hatua kuchukia tendo la ndoa au kukosa hamu mimba inapofikia third trimester huyo ni mtoto wa kiume ikikupenda sana na mwanamke kupenda sana tendo la ndoa ni mtoto wa kike. utafiti wangu mwenyewe

dah, mimi opposite. mimba ya kwanza kidume wife alikuwa ananipa unyumba vzr. sasa mimba hii girl dah unapewa kwa manati na malalamiko kibao
 
Back
Top Bottom