Mimi nimeipenda hii.Misingi mizuri ambayo Rais Samia anaiweka, inairudisha nchi kwenye njia nzuri ya ustawi wa kiuchumi. Kama unajua jua zaidi; Rais Samia ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu. Anajua anachokifanya.
Katika watu niliokuwa ninawa'underate' huko nyuma Humu JF, ni wewe, ukijulikana kama 'stroke' na ukiandika vineno viwili/vitatu hivi juu ya chochote ulichojibu.Kila mtu ana mama yake na hamchukii.
Watu wanachokwazwa nacho ni tabia ya kutokuchukua hatua kwa maswala muhimu ya kitaifa. INACTION.
Na kuufanyia kazi ushauri mbaya wa watu waliomzunguza.
Circle yake ni ya watu ambao historia inatueleza matendo yao yako namna gani.
Hatutaki turudi tulikotoka.
Akitaka abadilike. Asipotaka basi hali itabakia kuwa hiyo hiyo na inaweza kuwa mbaya zaidi.
Maana binadamu huwa wanakuwa na levels za toleraance.
Hapana, hachukui hatua kwa maswala muhimu ya kitaifa kwa sababu ya "INACTION", ni by DESIGN, inalengwa iwe hivyo kwa maksudi mazima, kwa sababu 'ACTION' itakuwa ni kinyume na anachonuia kitokee.Watu wanachokwazwa nacho ni tabia ya kutokuchukua hatua kwa maswala muhimu ya kitaifa. INACTION.
Uzi mzuri ila umeuharibu kwenye hitimisho. Mama hachukiwi kwa uanawake wake. Tafuta hoja nyingine. Awali ya yote, je ni kweli anachukiwa? Na kina nani? Kwa kiwango kipi? Juu ya masuala gani? nk.HAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.
Haikuwa vitisho vya uongo. Watu walitekwa na kupotezwa. Machi 19, 2021, taifa likajipatia rais mpya. Samia Suluhu Hassan. Mwanamke mstaarabu. Muungwana.
Mama Samia. Hivyo ndivyo Watanzania wanapenda kumwita. Ameruhusu watu waongee. Nchi huru kabisa. Haki inazingatiwa. Watu wanaongea jamani. Mashallah!
Katika taifa huru, wapo huufanyia dhuluma uhuru wao. Hufanya uhalifu wa uporaji na hata kuingilia uhuru wa wenzao.
Naam, wapo huamua kutekenya mahala ili matokeo yaumize wengi. Si ni sawa na aliyepiga jiwe mzinga wa nyuki, akasababisha wanakijiji waote nundu za kichwa?
Mahali fulani Tanzania leo, yupo anaona wivu kwa nini Watanzania wana furaha na amani leo. Anamsema Samia kwa lugha ya kuudhi, kusudi akasirike awe kama mtangulizi wake. Turudi kule kwa kutekana na kukosa uhuru wa kuongea.
Rais Samia ameikuta nchi inavuja damu. Fedha hakuna. Wizi mkubwa ulikuwa umeshamiri. Unyang'anyi wa mali za watu binafsi kwa kutumia dola.
Nani hajui kama wenye maduka ya kubadilishia fedha walidhulumiwa mitaji na uwekezaji wao wote? Biashara ziliingia wadudu. Uchumi ukawa taabani.
Misingi mizuri ambayo Rais Samia anaiweka, inairudisha nchi kwenye njia nzuri ya ustawi wa kiuchumi. Kama unajua jua zaidi; Rais Samia ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu. Anajua anachokifanya.
Hakuna mtu ambaye hajui hali ya uchumi ni mbaya ulimwenguni. Kila kona ya dunia ni vilio. Anzia Ulaya, Marekani mpaka Urusi palipo na kiini cha matatizo.
Tanzania kweli vilio vipo. Shida inayokuja ni kelele nyingi kuliko kujadili hali halisi.
Nani anajua kuwa Afrika Mashariki yote, ni Tanzania na Uganda hivi sasa ndizo zenye unafuu wa mfumuko wa bei?
Tanzania mfumuko wa bei ni asilimia 3.8, Uganda 3.2. Ukigusa Kenya ni asilimi 6.29, Rwanda 4.2, Burundi 13%, Sudan Kusini 25%, wageni wetu DRC wao ni 5%. Hizi taarifa Watanzania hawaambiwi.
Lisilofichika ni kwamba Watanzania wengi wanaingizwa kwenye mkumbo wa kulalamika. Hawaambiwi ukweli.
Kwamba katika nchi za Mashariki, Tanzania ndio inaongoza kwa bei ndogo ya mafuta.
Rwanda leo, petroli wananunua lita moja kwa Rwandan Franc 1,893. Fedha hiyo ni Shilingi ya Tanzania 4,320.
Mtanzania ananunua petroli leo kwa Shilingi 3,100. Jirani yake Kenya anauziwa lita moja kwa Shilingi ya Kenya 215. Hiyo ni 4,300 kwa Shilingi ya Tanzania.
Mganda akitaka petroli leo ananunua lita moja kwa Shilingi ya Uganda 5,263, kwa chenji ya noti za BOT ni 3,438.
Isinukuliwe kuwa ni sherehe na nderemo petroli kuuzwa Shilingi 3,100 kisa bei ni nafuu kuliko nchi zote jirani. Usahihi wa hoja ni kuwa manung'uniko yatoke kwa haki. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Mshangao sasa, kuna wanung'unikaji hata hawajui mzunguko wa nchi unavyokwenda. Au wanajua, ila ndio wale wagonjwa kunaosaka umaarufu mitandaoni. Wao bora waongee chochote waonekane. Basi tu waonekane.
Vuta picha, Serikali inasimamiwa na Bunge. Na tayari Bunge kama chombo cha uwakilishi wa wananchi kimeshaitaka Serikali iwasilishe majibu Jumanne (Mei 10), kuhusu hali ya kupanda kwa bei.
Nani anajua Serikali itaibuka na mpango gani wa kushusha bei hiyo Jumanne? Kwa nini watu wasisubiri hii mechi ya Bunge na Serikali halafu mjadala uje kwenye matokeo?
Basi bwana, Rais Samia kawa hana jema kwa kila analofanya. Hata kujitolea kwake kuwa mhusika mkuu wa filamu maalum ya “Tanzania; The Royal Tour”, nako kunabagazwa!
Royal Tour ni tangazo kubwa zaidi la vivutio vya utalii ambalo Tanzania imewahi kufanya.
Mbeba wazo na mtayarishaji mkuu ni Peter Greenberg. Rais Samia kwa kuona ni kitu chenye manufaa kwa nchi, amekipokea. Akakubali kushiriki makala ya kihistoria kutangaza vivutio vya utalii.
Kuna watu wenye ubongo wa ‘mtumba', wanasema eti watalii si huwa wanakuja bila filamu ya Royal Tour? Kwa hiyo, Rais Samia katenda jinai kufanya jambo la kuongeza watalii.
Yapo mataifa yanastawi kiuchumi na yanakua kwa kasi kimaendeleo kwa sababu ya utalii. Unathubutu vipi kumbeza Rais Samia kuhamasisha utalii ili kuzingenezea njia fedha za kigeni zije nchini na kukuza uchumi?
Tunajua na umma wa Watanzania kwa sehemu kubwa unafahamu kuwa Rais Samia anapigwa vita kubwa kwa sababu ni mwanamke. Hata atende jema lipi, chuki za watu kwa rais mwanamke zitaendelea kutokeza.
Ni kama Rais Samia anaendesha basi, halafu kila abiria anajiona ni dereva, kwa hiyo anakosoa bila hata adabu.
Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uwe hutaki mwanamke awe Rais au huupendi Uzanzibari wake. Ni Rais wa Tanzania.
JORDAN MASANJA
Mwathirika wa Tetemeko Kagera.
Mama aungwe mkono,nchi inarudi katika mstariHAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.

Nani kasema uimbe mapambio? Unapomsema uje na kipimo au vigezo linganishi badala ya kuropoka jumla jumla kwa misingi ya chuki binafsi.Kwa hiyo asisemwe na tumuimbie mapambio tu?
Ndio maana alisema walikuwa hawakubaliani na Kwa nafasi ya VP sio ya mtendaji ni ceremonial post kwa Hiyo ulitaka afanye nini cha ziada?Anamlaumu magu kwa kutufikisha hapa,kwani kipindi kile magu alivyokuwa rais yeye samia alikuwa diwani wa kata ya mchamba wima!!?? Mbona kwenye mema ya nchi hii anajinadi kuwa walikuwa pamoja!?ukweli ata wewe unajua samia kiatu hiki ni kikubwa kwake .
Unafanana na Zanzibar wapi? Wewe ndio huelewi, Zanzibar ni dola ndio maana ina Rais wao kwa Hiyo hakuna unachofanana na Zanzibar..Yani wewe unajipiga dole na kujinusa[emoji23][emoji23][emoji23] zanzibar visima vyao viko wapi!! maana unarukaruka kama kitenesi,tunaongelea nchi ambazo tunafanana nao kiuchumi wewe unatuwekea takwimu za uturuki ,hivi ukiacha akili za kwendea chooni na kuvuka barabara,akili gani zingine ulizonazo!
Kwani nilikuwepo? Nilikuwa zangu Zambia huko na nikarudi baada ya kufa..Alivyokuwepo ulifanya nini!!!??? si ungehama nchi au kubadilisha uraia kabisa ,vyeti feki na madawa ya kulevya hamuwezi kumpenda kamwe .
Kwa nyongeza tu, kwa sasa chama kinajua hakina haja ya kushinda uchaguzi ila kupora uchaguzi na kibaya zaidi wanaopitishwa ktk chaguzi hawawajali wananchi bora wafe ila mambo ao yaende kwa kuwa hawajatokana na kura za wananchi, tunakoelekea hawatabagazwa tu bali watapigwa kabisaJuzi tu hapa tuliambiwa Magufuli anachukiwa! Leo tena tunaambiwa Mama Samia anachukiwa! Tushike lipi sasa! Na huo uanawake wake unasababisha vipi hizo chuki?
Binafsi nadhani CCM ndiyo chanzo cha hizi chuki kwa Viongozi wake, kutoka kwa makundi mbalimbali ya Wananchi. Maana ni chama ambacho kimejisahau kupitiliza! Lakini pia kimesahau misingi ya kuanzishwa kwake!
Yaani kutoka kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi; mpaka kuwa chama cha matajiri wenye pesa, na pia koo za watu fulani fulani!
Visingizio as usual,kwa nini wasishinde ikiwa wanavyo vya kuonesha?Kwa nyongeza tu, kwa sasa chama kinajua hakina haja ya kushinda uchaguzi ila kupora uchaguzi na kibaya zaidi wanaopitishwa ktk chaguzi hawawajali wananchi bora wafe ila mambo ao yaende kwa kuwa hawajatokana na kura za wananchi, tunakoelekea hawatabagazwa tu bali watapigwa kabisa
Huyu ana chuki binafsi! Hajui anachoongeaHAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.
Haikuwa vitisho vya uongo. Watu walitekwa na kupotezwa. Machi 19, 2021, taifa likajipatia rais mpya. Samia Suluhu Hassan. Mwanamke mstaarabu. Muungwana.
Mama Samia. Hivyo ndivyo Watanzania wanapenda kumwita. Ameruhusu watu waongee. Nchi huru kabisa. Haki inazingatiwa. Watu wanaongea jamani. Mashallah!
Katika taifa huru, wapo huufanyia dhuluma uhuru wao. Hufanya uhalifu wa uporaji na hata kuingilia uhuru wa wenzao.
Naam, wapo huamua kutekenya mahala ili matokeo yaumize wengi. Si ni sawa na aliyepiga jiwe mzinga wa nyuki, akasababisha wanakijiji waote nundu za kichwa?
Mahali fulani Tanzania leo, yupo anaona wivu kwa nini Watanzania wana furaha na amani leo. Anamsema Samia kwa lugha ya kuudhi, kusudi akasirike awe kama mtangulizi wake. Turudi kule kwa kutekana na kukosa uhuru wa kuongea.
Rais Samia ameikuta nchi inavuja damu. Fedha hakuna. Wizi mkubwa ulikuwa umeshamiri. Unyang'anyi wa mali za watu binafsi kwa kutumia dola.
Nani hajui kama wenye maduka ya kubadilishia fedha walidhulumiwa mitaji na uwekezaji wao wote? Biashara ziliingia wadudu. Uchumi ukawa taabani.
Misingi mizuri ambayo Rais Samia anaiweka, inairudisha nchi kwenye njia nzuri ya ustawi wa kiuchumi. Kama unajua jua zaidi; Rais Samia ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu. Anajua anachokifanya.
Hakuna mtu ambaye hajui hali ya uchumi ni mbaya ulimwenguni. Kila kona ya dunia ni vilio. Anzia Ulaya, Marekani mpaka Urusi palipo na kiini cha matatizo.
Tanzania kweli vilio vipo. Shida inayokuja ni kelele nyingi kuliko kujadili hali halisi.
Nani anajua kuwa Afrika Mashariki yote, ni Tanzania na Uganda hivi sasa ndizo zenye unafuu wa mfumuko wa bei?
Tanzania mfumuko wa bei ni asilimia 3.8, Uganda 3.2. Ukigusa Kenya ni asilimi 6.29, Rwanda 4.2, Burundi 13%, Sudan Kusini 25%, wageni wetu DRC wao ni 5%. Hizi taarifa Watanzania hawaambiwi.
Lisilofichika ni kwamba Watanzania wengi wanaingizwa kwenye mkumbo wa kulalamika. Hawaambiwi ukweli.
Kwamba katika nchi za Mashariki, Tanzania ndio inaongoza kwa bei ndogo ya mafuta.
Rwanda leo, petroli wananunua lita moja kwa Rwandan Franc 1,893. Fedha hiyo ni Shilingi ya Tanzania 4,320.
Mtanzania ananunua petroli leo kwa Shilingi 3,100. Jirani yake Kenya anauziwa lita moja kwa Shilingi ya Kenya 215. Hiyo ni 4,300 kwa Shilingi ya Tanzania.
Mganda akitaka petroli leo ananunua lita moja kwa Shilingi ya Uganda 5,263, kwa chenji ya noti za BOT ni 3,438.
Isinukuliwe kuwa ni sherehe na nderemo petroli kuuzwa Shilingi 3,100 kisa bei ni nafuu kuliko nchi zote jirani. Usahihi wa hoja ni kuwa manung'uniko yatoke kwa haki. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Mshangao sasa, kuna wanung'unikaji hata hawajui mzunguko wa nchi unavyokwenda. Au wanajua, ila ndio wale wagonjwa kunaosaka umaarufu mitandaoni. Wao bora waongee chochote waonekane. Basi tu waonekane.
Vuta picha, Serikali inasimamiwa na Bunge. Na tayari Bunge kama chombo cha uwakilishi wa wananchi kimeshaitaka Serikali iwasilishe majibu Jumanne (Mei 10), kuhusu hali ya kupanda kwa bei.
Nani anajua Serikali itaibuka na mpango gani wa kushusha bei hiyo Jumanne? Kwa nini watu wasisubiri hii mechi ya Bunge na Serikali halafu mjadala uje kwenye matokeo?
Basi bwana, Rais Samia kawa hana jema kwa kila analofanya. Hata kujitolea kwake kuwa mhusika mkuu wa filamu maalum ya “Tanzania; The Royal Tour”, nako kunabagazwa!
Royal Tour ni tangazo kubwa zaidi la vivutio vya utalii ambalo Tanzania imewahi kufanya.
Mbeba wazo na mtayarishaji mkuu ni Peter Greenberg. Rais Samia kwa kuona ni kitu chenye manufaa kwa nchi, amekipokea. Akakubali kushiriki makala ya kihistoria kutangaza vivutio vya utalii.
Kuna watu wenye ubongo wa ‘mtumba', wanasema eti watalii si huwa wanakuja bila filamu ya Royal Tour? Kwa hiyo, Rais Samia katenda jinai kufanya jambo la kuongeza watalii.
Yapo mataifa yanastawi kiuchumi na yanakua kwa kasi kimaendeleo kwa sababu ya utalii. Unathubutu vipi kumbeza Rais Samia kuhamasisha utalii ili kuzingenezea njia fedha za kigeni zije nchini na kukuza uchumi?
Tunajua na umma wa Watanzania kwa sehemu kubwa unafahamu kuwa Rais Samia anapigwa vita kubwa kwa sababu ni mwanamke. Hata atende jema lipi, chuki za watu kwa rais mwanamke zitaendelea kutokeza.
Ni kama Rais Samia anaendesha basi, halafu kila abiria anajiona ni dereva, kwa hiyo anakosoa bila hata adabu.
Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uwe hutaki mwanamke awe Rais au huupendi Uzanzibari wake. Ni Rais wa Tanzania.
JORDAN MASANJA
Mwathirika wa Tetemeko Kagera.
Mwendazake aliongeza shilingi ngapi?Au yeye alikuwa anaishi dunia ipi?Acheni chuki za kijinga.Mama ni bora mara 100 zaidi ya mungu wenu mwendazakeDunia nzima nchi zimepandisha Mishahara kujaribu kusaidia wananchi wao kupambana na inflation iliyopo, yeye mguu na njia USA for 2 weeks na watu zaidi ya 100, yuko busy kufungua cinema kwenye nchi ambayo watu wanataabika na wanataka solutions za matatizo yao lkn anazidi kuongeza Gharama serikali kwa safari zisizo na tija, yes ni incompetent!
Kama anaboa asisemwe kisa mwanamke, mbona wizi ndo umeshamiri kwa sasa na madudu mengi tuHAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.
Haikuwa vitisho vya uongo. Watu walitekwa na kupotezwa. Machi 19, 2021, taifa likajipatia rais mpya. Samia Suluhu Hassan. Mwanamke mstaarabu. Muungwana.
Mama Samia. Hivyo ndivyo Watanzania wanapenda kumwita. Ameruhusu watu waongee. Nchi huru kabisa. Haki inazingatiwa. Watu wanaongea jamani. Mashallah!
Katika taifa huru, wapo huufanyia dhuluma uhuru wao. Hufanya uhalifu wa uporaji na hata kuingilia uhuru wa wenzao.
Naam, wapo huamua kutekenya mahala ili matokeo yaumize wengi. Si ni sawa na aliyepiga jiwe mzinga wa nyuki, akasababisha wanakijiji waote nundu za kichwa?
Mahali fulani Tanzania leo, yupo anaona wivu kwa nini Watanzania wana furaha na amani leo. Anamsema Samia kwa lugha ya kuudhi, kusudi akasirike awe kama mtangulizi wake. Turudi kule kwa kutekana na kukosa uhuru wa kuongea.
Rais Samia ameikuta nchi inavuja damu. Fedha hakuna. Wizi mkubwa ulikuwa umeshamiri. Unyang'anyi wa mali za watu binafsi kwa kutumia dola.
Nani hajui kama wenye maduka ya kubadilishia fedha walidhulumiwa mitaji na uwekezaji wao wote? Biashara ziliingia wadudu. Uchumi ukawa taabani.
Misingi mizuri ambayo Rais Samia anaiweka, inairudisha nchi kwenye njia nzuri ya ustawi wa kiuchumi. Kama unajua jua zaidi; Rais Samia ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu. Anajua anachokifanya.
Hakuna mtu ambaye hajui hali ya uchumi ni mbaya ulimwenguni. Kila kona ya dunia ni vilio. Anzia Ulaya, Marekani mpaka Urusi palipo na kiini cha matatizo.
Tanzania kweli vilio vipo. Shida inayokuja ni kelele nyingi kuliko kujadili hali halisi.
Nani anajua kuwa Afrika Mashariki yote, ni Tanzania na Uganda hivi sasa ndizo zenye unafuu wa mfumuko wa bei?
Tanzania mfumuko wa bei ni asilimia 3.8, Uganda 3.2. Ukigusa Kenya ni asilimi 6.29, Rwanda 4.2, Burundi 13%, Sudan Kusini 25%, wageni wetu DRC wao ni 5%. Hizi taarifa Watanzania hawaambiwi.
Lisilofichika ni kwamba Watanzania wengi wanaingizwa kwenye mkumbo wa kulalamika. Hawaambiwi ukweli.
Kwamba katika nchi za Mashariki, Tanzania ndio inaongoza kwa bei ndogo ya mafuta.
Rwanda leo, petroli wananunua lita moja kwa Rwandan Franc 1,893. Fedha hiyo ni Shilingi ya Tanzania 4,320.
Mtanzania ananunua petroli leo kwa Shilingi 3,100. Jirani yake Kenya anauziwa lita moja kwa Shilingi ya Kenya 215. Hiyo ni 4,300 kwa Shilingi ya Tanzania.
Mganda akitaka petroli leo ananunua lita moja kwa Shilingi ya Uganda 5,263, kwa chenji ya noti za BOT ni 3,438.
Isinukuliwe kuwa ni sherehe na nderemo petroli kuuzwa Shilingi 3,100 kisa bei ni nafuu kuliko nchi zote jirani. Usahihi wa hoja ni kuwa manung'uniko yatoke kwa haki. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Mshangao sasa, kuna wanung'unikaji hata hawajui mzunguko wa nchi unavyokwenda. Au wanajua, ila ndio wale wagonjwa kunaosaka umaarufu mitandaoni. Wao bora waongee chochote waonekane. Basi tu waonekane.
Vuta picha, Serikali inasimamiwa na Bunge. Na tayari Bunge kama chombo cha uwakilishi wa wananchi kimeshaitaka Serikali iwasilishe majibu Jumanne (Mei 10), kuhusu hali ya kupanda kwa bei.
Nani anajua Serikali itaibuka na mpango gani wa kushusha bei hiyo Jumanne? Kwa nini watu wasisubiri hii mechi ya Bunge na Serikali halafu mjadala uje kwenye matokeo?
Basi bwana, Rais Samia kawa hana jema kwa kila analofanya. Hata kujitolea kwake kuwa mhusika mkuu wa filamu maalum ya “Tanzania; The Royal Tour”, nako kunabagazwa!
Royal Tour ni tangazo kubwa zaidi la vivutio vya utalii ambalo Tanzania imewahi kufanya.
Mbeba wazo na mtayarishaji mkuu ni Peter Greenberg. Rais Samia kwa kuona ni kitu chenye manufaa kwa nchi, amekipokea. Akakubali kushiriki makala ya kihistoria kutangaza vivutio vya utalii.
Kuna watu wenye ubongo wa ‘mtumba', wanasema eti watalii si huwa wanakuja bila filamu ya Royal Tour? Kwa hiyo, Rais Samia katenda jinai kufanya jambo la kuongeza watalii.
Yapo mataifa yanastawi kiuchumi na yanakua kwa kasi kimaendeleo kwa sababu ya utalii. Unathubutu vipi kumbeza Rais Samia kuhamasisha utalii ili kuzingenezea njia fedha za kigeni zije nchini na kukuza uchumi?
Tunajua na umma wa Watanzania kwa sehemu kubwa unafahamu kuwa Rais Samia anapigwa vita kubwa kwa sababu ni mwanamke. Hata atende jema lipi, chuki za watu kwa rais mwanamke zitaendelea kutokeza.
Ni kama Rais Samia anaendesha basi, halafu kila abiria anajiona ni dereva, kwa hiyo anakosoa bila hata adabu.
Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uwe hutaki mwanamke awe Rais au huupendi Uzanzibari wake. Ni Rais wa Tanzania.
JORDAN MASANJA
Mwathirika wa Tetemeko Kagera.
Na punguani alipobomoa nyumba kwenye barabara za taifa akawa shetani.Na Critics wengi ni wale Wafuasi wa Punguwani wanaoamini kuwa unaweza kufanya Biashara kwenye Barabara za Taifa na ukaachwa tu uvunje sheria.
Mnamuwekea INFERIORITY COMPLEX.. usikute yeye hana hiyoHAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.