Chuki dhidi ya Rais Samia ni kwasababu ni mwanamke

Kwani saizi anatimiza majukumu ya nani? Unajua Nchi ina pesa za kugawa au mnaropoka tuu?

Mbona kula Bungeni wabunge wwalishindwa kuja na Suluhu wakaishia kusema serikali serikali ije ije ila hawasemi suluhisho..

Mkicheza vibaya mtakuwa kama Sri Lanka na Zambia afu ndio mtaona moto..

Kamfumuko kaduchu tuu ka bei makelele,Je mngefika hapa ilipo Turkey ingekuaje si mungeenda kuuza Tigo zenu na Figo?[emoji116]

View attachment 2217220
Yani wewe unajipiga dole na kujinusa[emoji23][emoji23][emoji23] zanzibar visima vyao viko wapi!! maana unarukaruka kama kitenesi,tunaongelea nchi ambazo tunafanana nao kiuchumi wewe unatuwekea takwimu za uturuki ,hivi ukiacha akili za kwendea chooni na kuvuka barabara,akili gani zingine ulizonazo!
 
Hata hivo , Mwanamke hapaswi kua Rais ,,Mwanamke hapaswi kua Waziri wa ULINZI , Tena Kwa nchi kama hiii ilojaa wapigaji ??

Basi, angalau awe ni mwanamke mwenye Akili, Uthubutu,Kujiamin, Mzalendo.

Sasa unakua mwanamke wa mipasho pasho, unafiki mwingi,, mbaya zaidi unakua mwanamke ambaye Hauna akili, Unadanganywa kirahisi, sio mfatiliaji, unacheka chekaaa tuu 'Mimi na macho malegevu lkn yanaona'.

KWA HUYU, TUMEPIGWA...HATA IVO BADO HAITOSHI NA HAMPI SABABU YA KUHALALISHA KUSHINDWA KWAKE NA KUJIFICHA KWENYE KIVULI CHA UANAMKE
Easy mzee! Easy. Ni Rais wa JMT huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo si kuwa ni mwanamke bali ni kilaza.
HAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.

Haikuwa vitisho vya uongo. Watu walitekwa na kupotezwa. Machi 19, 2021, taifa likajipatia rais mpya. Samia Suluhu Hassan. Mwanamke mstaarabu. Muungwana.

Mama Samia. Hivyo ndivyo Watanzania wanapenda kumwita. Ameruhusu watu waongee. Nchi huru kabisa. Haki inazingatiwa. Watu wanaongea jamani. Mashallah!

Katika taifa huru, wapo huufanyia dhuluma uhuru wao. Hufanya uhalifu wa uporaji na hata kuingilia uhuru wa wenzao.

Naam, wapo huamua kutekenya mahala ili matokeo yaumize wengi. Si ni sawa na aliyepiga jiwe mzinga wa nyuki, akasababisha wanakijiji waote nundu za kichwa?

Mahali fulani Tanzania leo, yupo anaona wivu kwa nini Watanzania wana furaha na amani leo. Anamsema Samia kwa lugha ya kuudhi, kusudi akasirike awe kama mtangulizi wake. Turudi kule kwa kutekana na kukosa uhuru wa kuongea.

Rais Samia ameikuta nchi inavuja damu. Fedha hakuna. Wizi mkubwa ulikuwa umeshamiri. Unyang'anyi wa mali za watu binafsi kwa kutumia dola.

Nani hajui kama wenye maduka ya kubadilishia fedha walidhulumiwa mitaji na uwekezaji wao wote? Biashara ziliingia wadudu. Uchumi ukawa taabani.

Misingi mizuri ambayo Rais Samia anaiweka, inairudisha nchi kwenye njia nzuri ya ustawi wa kiuchumi. Kama unajua jua zaidi; Rais Samia ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu. Anajua anachokifanya.

Hakuna mtu ambaye hajui hali ya uchumi ni mbaya ulimwenguni. Kila kona ya dunia ni vilio. Anzia Ulaya, Marekani mpaka Urusi palipo na kiini cha matatizo.

Tanzania kweli vilio vipo. Shida inayokuja ni kelele nyingi kuliko kujadili hali halisi.

Nani anajua kuwa Afrika Mashariki yote, ni Tanzania na Uganda hivi sasa ndizo zenye unafuu wa mfumuko wa bei?

Tanzania mfumuko wa bei ni asilimia 3.8, Uganda 3.2. Ukigusa Kenya ni asilimi 6.29, Rwanda 4.2, Burundi 13%, Sudan Kusini 25%, wageni wetu DRC wao ni 5%. Hizi taarifa Watanzania hawaambiwi.

Lisilofichika ni kwamba Watanzania wengi wanaingizwa kwenye mkumbo wa kulalamika. Hawaambiwi ukweli.

Kwamba katika nchi za Mashariki, Tanzania ndio inaongoza kwa bei ndogo ya mafuta.

Rwanda leo, petroli wananunua lita moja kwa Rwandan Franc 1,893. Fedha hiyo ni Shilingi ya Tanzania 4,320.

Mtanzania ananunua petroli leo kwa Shilingi 3,100. Jirani yake Kenya anauziwa lita moja kwa Shilingi ya Kenya 215. Hiyo ni 4,300 kwa Shilingi ya Tanzania.

Mganda akitaka petroli leo ananunua lita moja kwa Shilingi ya Uganda 5,263, kwa chenji ya noti za BOT ni 3,438.

Isinukuliwe kuwa ni sherehe na nderemo petroli kuuzwa Shilingi 3,100 kisa bei ni nafuu kuliko nchi zote jirani. Usahihi wa hoja ni kuwa manung'uniko yatoke kwa haki. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Mshangao sasa, kuna wanung'unikaji hata hawajui mzunguko wa nchi unavyokwenda. Au wanajua, ila ndio wale wagonjwa kunaosaka umaarufu mitandaoni. Wao bora waongee chochote waonekane. Basi tu waonekane.

Vuta picha, Serikali inasimamiwa na Bunge. Na tayari Bunge kama chombo cha uwakilishi wa wananchi kimeshaitaka Serikali iwasilishe majibu Jumanne (Mei 10), kuhusu hali ya kupanda kwa bei.

Nani anajua Serikali itaibuka na mpango gani wa kushusha bei hiyo Jumanne? Kwa nini watu wasisubiri hii mechi ya Bunge na Serikali halafu mjadala uje kwenye matokeo?

Basi bwana, Rais Samia kawa hana jema kwa kila analofanya. Hata kujitolea kwake kuwa mhusika mkuu wa filamu maalum ya “Tanzania; The Royal Tour”, nako kunabagazwa!

Royal Tour ni tangazo kubwa zaidi la vivutio vya utalii ambalo Tanzania imewahi kufanya.

Mbeba wazo na mtayarishaji mkuu ni Peter Greenberg. Rais Samia kwa kuona ni kitu chenye manufaa kwa nchi, amekipokea. Akakubali kushiriki makala ya kihistoria kutangaza vivutio vya utalii.

Kuna watu wenye ubongo wa ‘mtumba', wanasema eti watalii si huwa wanakuja bila filamu ya Royal Tour? Kwa hiyo, Rais Samia katenda jinai kufanya jambo la kuongeza watalii.

Yapo mataifa yanastawi kiuchumi na yanakua kwa kasi kimaendeleo kwa sababu ya utalii. Unathubutu vipi kumbeza Rais Samia kuhamasisha utalii ili kuzingenezea njia fedha za kigeni zije nchini na kukuza uchumi?

Tunajua na umma wa Watanzania kwa sehemu kubwa unafahamu kuwa Rais Samia anapigwa vita kubwa kwa sababu ni mwanamke. Hata atende jema lipi, chuki za watu kwa rais mwanamke zitaendelea kutokeza.

Ni kama Rais Samia anaendesha basi, halafu kila abiria anajiona ni dereva, kwa hiyo anakosoa bila hata adabu.

Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uwe hutaki mwanamke awe Rais au huupendi Uzanzibari wake. Ni Rais wa Tanzania.

JORDAN MASANJA
Mwathirika wa Tetemeko Kagera.
 
Kumsema sio shida ila hamchukii bali anamlaumu kwa kutufikisha hapa [emoji116]

View attachment 2217224
Anamlaumu magu kwa kutufikisha hapa,kwani kipindi kile magu alivyokuwa rais yeye samia alikuwa diwani wa kata ya mchamba wima!!?? Mbona kwenye mema ya nchi hii anajinadi kuwa walikuwa pamoja!?ukweli ata wewe unajua samia kiatu hiki ni kikubwa kwake .
 
Huo ni ujuhanaiti yaani asisemwe asikosorewe kwa sababu ni rais mwenye jinsiia ya kike akipopolewa mawe mnakimbilia jikoni kusingizia uanamke. Sisi hatuoni mwanamke wala jinsia bali tunaona rais.

Wakati anakosokewa JPM mlikimbilia kusema anaonewa kwa sababu ya kabila lake. Msituchoshe as long as ni Rais kukosolewa anapokosea Suna.
 
Sukuma gang naona unapata tabu ile mbaya, naona unataka kumaanisha Magufuli alikuwa mtu sahihi na alioongoza vizuri, hivyo huyu mama aongoze kama dhalimu. Futa kichwani kwako, huyu mama tunamkosoa kwa mapungufu yake na hatujali uanamke wake. Ila kama ni kipimo uongozi yeye na Magufuli, yeye ana afadhali kuliko Magufuli japo sio kwa ubora fullstop
Hujanielewa.
 
HAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.

Haikuwa vitisho vya uongo. Watu walitekwa na kupotezwa. Machi 19, 2021, taifa likajipatia rais mpya. Samia Suluhu Hassan. Mwanamke mstaarabu. Muungwana.

Mama Samia. Hivyo ndivyo Watanzania wanapenda kumwita. Ameruhusu watu waongee. Nchi huru kabisa. Haki inazingatiwa. Watu wanaongea jamani. Mashallah!

Katika taifa huru, wapo huufanyia dhuluma uhuru wao. Hufanya uhalifu wa uporaji na hata kuingilia uhuru wa wenzao.

Naam, wapo huamua kutekenya mahala ili matokeo yaumize wengi. Si ni sawa na aliyepiga jiwe mzinga wa nyuki, akasababisha wanakijiji waote nundu za kichwa?

Mahali fulani Tanzania leo, yupo anaona wivu kwa nini Watanzania wana furaha na amani leo. Anamsema Samia kwa lugha ya kuudhi, kusudi akasirike awe kama mtangulizi wake. Turudi kule kwa kutekana na kukosa uhuru wa kuongea.

Rais Samia ameikuta nchi inavuja damu. Fedha hakuna. Wizi mkubwa ulikuwa umeshamiri. Unyang'anyi wa mali za watu binafsi kwa kutumia dola.

Nani hajui kama wenye maduka ya kubadilishia fedha walidhulumiwa mitaji na uwekezaji wao wote? Biashara ziliingia wadudu. Uchumi ukawa taabani.

Misingi mizuri ambayo Rais Samia anaiweka, inairudisha nchi kwenye njia nzuri ya ustawi wa kiuchumi. Kama unajua jua zaidi; Rais Samia ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu. Anajua anachokifanya.

Hakuna mtu ambaye hajui hali ya uchumi ni mbaya ulimwenguni. Kila kona ya dunia ni vilio. Anzia Ulaya, Marekani mpaka Urusi palipo na kiini cha matatizo.

Tanzania kweli vilio vipo. Shida inayokuja ni kelele nyingi kuliko kujadili hali halisi.

Nani anajua kuwa Afrika Mashariki yote, ni Tanzania na Uganda hivi sasa ndizo zenye unafuu wa mfumuko wa bei?

Tanzania mfumuko wa bei ni asilimia 3.8, Uganda 3.2. Ukigusa Kenya ni asilimi 6.29, Rwanda 4.2, Burundi 13%, Sudan Kusini 25%, wageni wetu DRC wao ni 5%. Hizi taarifa Watanzania hawaambiwi.

Lisilofichika ni kwamba Watanzania wengi wanaingizwa kwenye mkumbo wa kulalamika. Hawaambiwi ukweli.

Kwamba katika nchi za Mashariki, Tanzania ndio inaongoza kwa bei ndogo ya mafuta.

Rwanda leo, petroli wananunua lita moja kwa Rwandan Franc 1,893. Fedha hiyo ni Shilingi ya Tanzania 4,320.

Mtanzania ananunua petroli leo kwa Shilingi 3,100. Jirani yake Kenya anauziwa lita moja kwa Shilingi ya Kenya 215. Hiyo ni 4,300 kwa Shilingi ya Tanzania.

Mganda akitaka petroli leo ananunua lita moja kwa Shilingi ya Uganda 5,263, kwa chenji ya noti za BOT ni 3,438.

Isinukuliwe kuwa ni sherehe na nderemo petroli kuuzwa Shilingi 3,100 kisa bei ni nafuu kuliko nchi zote jirani. Usahihi wa hoja ni kuwa manung'uniko yatoke kwa haki. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Mshangao sasa, kuna wanung'unikaji hata hawajui mzunguko wa nchi unavyokwenda. Au wanajua, ila ndio wale wagonjwa kunaosaka umaarufu mitandaoni. Wao bora waongee chochote waonekane. Basi tu waonekane.

Vuta picha, Serikali inasimamiwa na Bunge. Na tayari Bunge kama chombo cha uwakilishi wa wananchi kimeshaitaka Serikali iwasilishe majibu Jumanne (Mei 10), kuhusu hali ya kupanda kwa bei.

Nani anajua Serikali itaibuka na mpango gani wa kushusha bei hiyo Jumanne? Kwa nini watu wasisubiri hii mechi ya Bunge na Serikali halafu mjadala uje kwenye matokeo?

Basi bwana, Rais Samia kawa hana jema kwa kila analofanya. Hata kujitolea kwake kuwa mhusika mkuu wa filamu maalum ya “Tanzania; The Royal Tour”, nako kunabagazwa!

Royal Tour ni tangazo kubwa zaidi la vivutio vya utalii ambalo Tanzania imewahi kufanya.

Mbeba wazo na mtayarishaji mkuu ni Peter Greenberg. Rais Samia kwa kuona ni kitu chenye manufaa kwa nchi, amekipokea. Akakubali kushiriki makala ya kihistoria kutangaza vivutio vya utalii.

Kuna watu wenye ubongo wa ‘mtumba', wanasema eti watalii si huwa wanakuja bila filamu ya Royal Tour? Kwa hiyo, Rais Samia katenda jinai kufanya jambo la kuongeza watalii.

Yapo mataifa yanastawi kiuchumi na yanakua kwa kasi kimaendeleo kwa sababu ya utalii. Unathubutu vipi kumbeza Rais Samia kuhamasisha utalii ili kuzingenezea njia fedha za kigeni zije nchini na kukuza uchumi?

Tunajua na umma wa Watanzania kwa sehemu kubwa unafahamu kuwa Rais Samia anapigwa vita kubwa kwa sababu ni mwanamke. Hata atende jema lipi, chuki za watu kwa rais mwanamke zitaendelea kutokeza.

Ni kama Rais Samia anaendesha basi, halafu kila abiria anajiona ni dereva, kwa hiyo anakosoa bila hata adabu.

Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uwe hutaki mwanamke awe Rais au huupendi Uzanzibari wake. Ni Rais wa Tanzania.

JORDAN MASANJA
Mwathirika wa Tetemeko Kagera.
Punguani wanajua kuleta hoja za kipuuzi sana. Ukiwa na kiongozi dhaifu, asiyeweza kuongoza na kutatua changamoto za watu wake wa nini kiongozi huyo?. Watanzania wamechoka mipasho, na wala hawana huo muda wa kukunana vizuri, wao wanataka kazi tu.
 
Hata hivo , Mwanamke hapaswi kua Rais ,,Mwanamke hapaswi kua Waziri wa ULINZI , Tena Kwa nchi kama hiii ilojaa wapigaji ??

Angalau awe ni mwanamke mwenye Akili, Uthubutu,Kujiamin, Mzalendo.

Sasa unakua mwanamke wa mipasho pasho, unafiki mwingi, Unadanganywa kirahisi, sio mfatiliaji, unacheka chekaaa tuu 'Mimi na macho malegevu lkn yanaona'.

KWA HUYU, TUMEPIGWA...HATA IVO BADO HAITOSHI NA HAIMPI SABABU YA KUHALALISHA KUSHINDWA KWAKE NA KUJIFICHA KWENYE KIVULI CHA UANAMKE
Na utaendelea kupigika tu, hadi hapo atakapomaliza muda wa kuiongoza nchi hii
 
Hilo swali muulize mwenye ubongo.Uhuru mlionao kumsema huyu mama si sawa na mlivyofyata mkund kipindi cha magu.Teh
Ww ni mpumbavu
Humu Kuna mtu aliufyata? Alafu sijui kwa nn walimu wote hamna akili
 
HAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.

Haikuwa vitisho vya uongo. Watu walitekwa na kupotezwa. Machi 19, 2021, taifa likajipatia rais mpya. Samia Suluhu Hassan. Mwanamke mstaarabu. Muungwana.

Mama Samia. Hivyo ndivyo Watanzania wanapenda kumwita. Ameruhusu watu waongee. Nchi huru kabisa. Haki inazingatiwa. Watu wanaongea jamani. Mashallah!

Katika taifa huru, wapo huufanyia dhuluma uhuru wao. Hufanya uhalifu wa uporaji na hata kuingilia uhuru wa wenzao.

Naam, wapo huamua kutekenya mahala ili matokeo yaumize wengi. Si ni sawa na aliyepiga jiwe mzinga wa nyuki, akasababisha wanakijiji waote nundu za kichwa?

Mahali fulani Tanzania leo, yupo anaona wivu kwa nini Watanzania wana furaha na amani leo. Anamsema Samia kwa lugha ya kuudhi, kusudi akasirike awe kama mtangulizi wake. Turudi kule kwa kutekana na kukosa uhuru wa kuongea.

Rais Samia ameikuta nchi inavuja damu. Fedha hakuna. Wizi mkubwa ulikuwa umeshamiri. Unyang'anyi wa mali za watu binafsi kwa kutumia dola.

Nani hajui kama wenye maduka ya kubadilishia fedha walidhulumiwa mitaji na uwekezaji wao wote? Biashara ziliingia wadudu. Uchumi ukawa taabani.

Misingi mizuri ambayo Rais Samia anaiweka, inairudisha nchi kwenye njia nzuri ya ustawi wa kiuchumi. Kama unajua jua zaidi; Rais Samia ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu. Anajua anachokifanya.

Hakuna mtu ambaye hajui hali ya uchumi ni mbaya ulimwenguni. Kila kona ya dunia ni vilio. Anzia Ulaya, Marekani mpaka Urusi palipo na kiini cha matatizo.

Tanzania kweli vilio vipo. Shida inayokuja ni kelele nyingi kuliko kujadili hali halisi.

Nani anajua kuwa Afrika Mashariki yote, ni Tanzania na Uganda hivi sasa ndizo zenye unafuu wa mfumuko wa bei?

Tanzania mfumuko wa bei ni asilimia 3.8, Uganda 3.2. Ukigusa Kenya ni asilimi 6.29, Rwanda 4.2, Burundi 13%, Sudan Kusini 25%, wageni wetu DRC wao ni 5%. Hizi taarifa Watanzania hawaambiwi.

Lisilofichika ni kwamba Watanzania wengi wanaingizwa kwenye mkumbo wa kulalamika. Hawaambiwi ukweli.

Kwamba katika nchi za Mashariki, Tanzania ndio inaongoza kwa bei ndogo ya mafuta.

Rwanda leo, petroli wananunua lita moja kwa Rwandan Franc 1,893. Fedha hiyo ni Shilingi ya Tanzania 4,320.

Mtanzania ananunua petroli leo kwa Shilingi 3,100. Jirani yake Kenya anauziwa lita moja kwa Shilingi ya Kenya 215. Hiyo ni 4,300 kwa Shilingi ya Tanzania.

Mganda akitaka petroli leo ananunua lita moja kwa Shilingi ya Uganda 5,263, kwa chenji ya noti za BOT ni 3,438.

Isinukuliwe kuwa ni sherehe na nderemo petroli kuuzwa Shilingi 3,100 kisa bei ni nafuu kuliko nchi zote jirani. Usahihi wa hoja ni kuwa manung'uniko yatoke kwa haki. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Mshangao sasa, kuna wanung'unikaji hata hawajui mzunguko wa nchi unavyokwenda. Au wanajua, ila ndio wale wagonjwa kunaosaka umaarufu mitandaoni. Wao bora waongee chochote waonekane. Basi tu waonekane.

Vuta picha, Serikali inasimamiwa na Bunge. Na tayari Bunge kama chombo cha uwakilishi wa wananchi kimeshaitaka Serikali iwasilishe majibu Jumanne (Mei 10), kuhusu hali ya kupanda kwa bei.

Nani anajua Serikali itaibuka na mpango gani wa kushusha bei hiyo Jumanne? Kwa nini watu wasisubiri hii mechi ya Bunge na Serikali halafu mjadala uje kwenye matokeo?

Basi bwana, Rais Samia kawa hana jema kwa kila analofanya. Hata kujitolea kwake kuwa mhusika mkuu wa filamu maalum ya “Tanzania; The Royal Tour”, nako kunabagazwa!

Royal Tour ni tangazo kubwa zaidi la vivutio vya utalii ambalo Tanzania imewahi kufanya.

Mbeba wazo na mtayarishaji mkuu ni Peter Greenberg. Rais Samia kwa kuona ni kitu chenye manufaa kwa nchi, amekipokea. Akakubali kushiriki makala ya kihistoria kutangaza vivutio vya utalii.

Kuna watu wenye ubongo wa ‘mtumba', wanasema eti watalii si huwa wanakuja bila filamu ya Royal Tour? Kwa hiyo, Rais Samia katenda jinai kufanya jambo la kuongeza watalii.

Yapo mataifa yanastawi kiuchumi na yanakua kwa kasi kimaendeleo kwa sababu ya utalii. Unathubutu vipi kumbeza Rais Samia kuhamasisha utalii ili kuzingenezea njia fedha za kigeni zije nchini na kukuza uchumi?

Tunajua na umma wa Watanzania kwa sehemu kubwa unafahamu kuwa Rais Samia anapigwa vita kubwa kwa sababu ni mwanamke. Hata atende jema lipi, chuki za watu kwa rais mwanamke zitaendelea kutokeza.

Ni kama Rais Samia anaendesha basi, halafu kila abiria anajiona ni dereva, kwa hiyo anakosoa bila hata adabu.

Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uwe hutaki mwanamke awe Rais au huupendi Uzanzibari wake. Ni Rais wa Tanzania.

JORDAN MASANJA
Mwathirika wa Tetemeko Kagera.
Hata yeye mwenyewe asmeshindws kutofautisha u - Rais wake na jinsia yake...mara nyingi anapenda sana kuhusisha U Rais wake na yeye kuwa mwanamke...mfn; kusema yeye ni Mama/Mlezi/Mwanamke ambaye ni Rais nk. haya yote yanaonesha inferiority aliyonayo....anatakiwa ajiamini kuwa she is a president and not Madam President
 
Unajuaje ni chuki na si tofauti za kisiasa/ kifalsafa tu?

Mbona hata Magufuli alisemwa sana na hakuwa mwanamke?
Kuna ushahidi wa wazi utawala wa Magufuli ulikuwa ni wa kikatili, mauwaji na roho mbaya.

Ni kama Nduli Idd Amin alikuwaga na killing mashine yake Maliyamungu huyu naye alikuwa na Ole Sabaya na Makinda kusimamia oparesheni jaza viroba tupa.
 
Mnataka Rais Samia afanye nini mpate kuona kuwa anafanyakazi Kwa ufanisi?
 
Ninapowaona watu wengi sana bado wanaweza kuwa na hela ya kuweka bundle kwenye Simu janja naona mambo bado haja kuwa magumu kiasi hicho bana.

Hivi kama hali ingekuwa ngumi ungeweza kununua bando uwe online 24/7 ?

Tuhimizane kufanya kazi Kwa bidii.
 
Back
Top Bottom