Chuki dhidi ya Rais Samia ni kwasababu ni mwanamke

Chuki dhidi ya Rais Samia ni kwasababu ni mwanamke

Anachukiwa kwa kukubali ccm ambacho ni chama cha wakulima na wafanyakazi kibinafsishwe na kuwa mali za koo za Kikwete, Makamba, Nauye na Kinana!
Na wanajisifu kuwa wao ndio wenye chama!
Chama ni chao na nchi ni yao ngoja tuone mwisho wake.
 
Hakuna cha muhanga,sue wengine huwa tunaenda field kazini,kwa mfano tunazunguka Vijijini kupeleka miradi ya maji Kwa pesa za uviko,sasa huwa tunawauliza wanavijiji kwamba yule mlikuwa mnamuita jembe mbona hatuoni aliwafanyia nini ikiwa sasa ndio mnaona hata Maji?

Watakwambia huyu mama hamna,unashindwa kuelewa gage yao hasa ya uongozi ni nini hupati jibu..

Kumbe unatakiwa usimsaidie maskini, Mwendazake aliwajulia kwa ujinga wao ndio maana alikuwa anawaigizia sijui kula mahindi mara kununua jogoo wanashangilia [emoji23][emoji23]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom