Nani jina.Namkumbuka m SDA mmoja msomi wa PhD alianza kukichambua kitabu cha Ufunuo.
Akaichambua mpaka kofia ya Papa.
Yule bwana alikufa, haya mambo haitakiwi kuingia ndani sana.
Nani jina.Namkumbuka m SDA mmoja msomi wa PhD alianza kukichambua kitabu cha Ufunuo.
Akaichambua mpaka kofia ya Papa.
Yule bwana alikufa, haya mambo haitakiwi kuingia ndani sana.
Kwani hakutakiwa kufa?Namkumbuka m SDA mmoja msomi wa PhD alianza kukichambua kitabu cha Ufunuo.
Akaichambua mpaka kofia ya Papa.
Yule bwana alikufa, haya mambo haitakiwi kuingia ndani sana.
Nilijuaga uko kwenye mambo ya kishirikina kumbe ni mpentecoste?Papa sie mnyama wala 666,
666 ni mfumo wa kiuchumi ambao Ili uuze au ununue ni lazima uufate. Zipo codes sita na kila codes inawakilisha mfumo fulani unaotawala Dunia.
Kuna 111,333,555,666,777,999
555 usimamia maendeleo yote ya sayansi na technology
666 uchumi wa Dunia
999 mfumo wa siasa ya Dunia nzima.
Chanjo ya corona sio 666,bali ni one two one two test ya 666 hawa dark siders walikuwa wanatest kupima reaction, thus walileta corona wakaipromote Sana kupitia black media zao kuu ulimwenguni, na ndio waliyoindoa baada ya mission yao kukamilika.
All weatherNilijuaga uko kwenye mambo ya kishirikina kumbe ni mpentecoste?
Umejuaje kama ni queen of the Coast?Bikira Maria alipokufa alipalizwa mbinguni, na hajawahi popote kurudi tena duniani Ili awe msaada kwa mwanadamu yeye alitumika kama daraja tu. Anaetokea watu kwa mfano wa bikira Maria ni jini anaeitwa Malkia wa Pwani, Queen of Coast, ndie aliyewatokea watoto wa Fatimah na kuwapa rozali, ndie aliyemtokea mtoto Yunis wa Mara anaeponya watu KWA maji na ndie anaewatokea watu na kuwapa maagizo.
Hakuna jina jingine lipaswalo kuabudiwa isipokuwa Yesu Kristo.
Huwezi ukafukuza pepo kwa jina la Maria.
Yaani uko kotekote mkuu?All weather
Kiimani siyo muhimu,hebu fafanua MkuuBikira Maria ni muhimu kihistoria na sio kiimani.
Hakuna tulipoagizwa kumuomba Bikira Maria, au kumtumia popote kiimani.
Atuombi kupitia kwake hana msamaha bali tunampa heshima yake kama bahasha iliyobeba baruaKiimani siyo muhimu,hebu fafanua Mkuu
Very shit, Mama wa Mungu akuombee kwa Mwanae hivi inamake sense hii sentens au unaugua?Mbona wewe unaendaga kwa Mchungaji wako na Kusema akuombee?.Kuna Shida gani mimi nikimuomba Mama wa Mungu aniombee kwa mwanae?.
Hapo sasa, Makolo wengi tzKwani hakutakiwa kufa?
Duh!uelewa wako ndo uko chini kiasi hiki!!!Mimba ni nini? Imani ni nn? Utofauti wa utungaji wa mimba kiimani na hizi mimba tunazozijua ni upi?
Uelewa ni nn kiimani? Unapimaje uelewa linapokuja suala la imani za dini? Wewe uelewa wako ni mkubwa kwa kiwango gani?Duh!uelewa wako ndo uko chini kiasi hiki!!!