Chuki dhidi ya Bikira Maria inawapofusha Wasabato na kudai Mwanamke wa Ufunuo anasimama badala ya Kanisa lao

Papa sie mnyama wala 666,
666 ni mfumo wa kiuchumi ambao Ili uuze au ununue ni lazima uufate. Zipo codes sita na kila codes inawakilisha mfumo fulani unaotawala Dunia.
Kuna 111,333,555,666,777,999

555 usimamia maendeleo yote ya sayansi na technology
666 uchumi wa Dunia
999 mfumo wa siasa ya Dunia nzima.

Chanjo ya corona sio 666,bali ni one two one two test ya 666 hawa dark siders walikuwa wanatest kupima reaction, thus walileta corona wakaipromote Sana kupitia black media zao kuu ulimwenguni, na ndio waliyoindoa baada ya mission yao kukamilika.
 
Unajua mara nyingi Viongozi wa Dini wanapotaka kuwapotosha Waumini wao Mara nyingi huwa wanawatisha na kuwapa wigo wa sijui fumbo la imani,hamna kitu kama hicho.Mungu amempa uwezo mwanadamu wa kujifunza na kuhoji kuhusu masuala yote ya Imani ili apate kujua,na hakumuwekea mipaka mwanadamu,ndiyo maana amatume mitume tofautitofauti,ila akili zetu hazina uwezo wa kuhoji,kabla ya Mungu kulikuwa na nini?au Mungu alitoka wapi?hapana ila akili zetu zinaanzia kuhoji pale tunaposema Mungu alikuwepo peke yake,na kitu cha kwanza kuumba kilikuwa kalamu
 
Papa sie mnyama wala 666,
666 ni mfumo wa kiuchumi ambao Ili uuze au ununue ni lazima uufate. Zipo codes sita na kila codes inawakilisha mfumo fulani unaotawala Dunia.
Kuna 111,333,555,666,777,999

555 usimamia maendeleo yote ya sayansi na technology
666 uchumi wa Dunia
999 mfumo wa siasa ya Dunia nzima.

Chanjo ya corona sio 666,bali ni one two one two test ya 666 hawa dark siders walikuwa wanatest kupima reaction, thus walileta corona wakaipromote Sana kupitia black media zao kuu ulimwenguni, na ndio waliyoindoa baada ya mission yao kukamilika.
Nilijuaga uko kwenye mambo ya kishirikina kumbe ni mpentecoste?
 
Bikira Maria alipokufa alipalizwa mbinguni, na hajawahi popote kurudi tena duniani Ili awe msaada kwa mwanadamu yeye alitumika kama daraja tu. Anaetokea watu kwa mfano wa bikira Maria ni jini anaeitwa Malkia wa Pwani, Queen of Coast, ndie aliyewatokea watoto wa Fatimah na kuwapa rozali, ndie aliyemtokea mtoto Yunis wa Mara anaeponya watu KWA maji na ndie anaewatokea watu na kuwapa maagizo.
Hakuna jina jingine lipaswalo kuabudiwa isipokuwa Yesu Kristo.
Huwezi ukafukuza pepo kwa jina la Maria.
Umejuaje kama ni queen of the Coast?
 
Kwani WaSabato wana shida gani na Wakatoliki!? Naona kama wanapoteza muda sana kupambana nao!

Inanikumbusha wale wajinga miaka ya 90's waliokuwa wanabeba mabango ya "Yesu Sio Mungu". Ukiuliza wao ilikuwa inawahusu nini! Hupati jibu.
 
Waislamu wanasema hivi kumhusu Mariam mama ya yesu. Nafikiria kubadili maoni yangu kuhusu Mariam. Ni mwanamke wa tofauti kuliko nilivyokuwa namchukulia
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom