Chuki dhidi ya Bikira Maria inawapofusha Wasabato na kudai Mwanamke wa Ufunuo anasimama badala ya Kanisa lao

Hilo ni fumbo la Imani,na ni Hekima ya Mungu Binadamu huwezi kuelewa hadi Mungu mwenyewe akuangazie.
Maneno kama haya ndo yanayofanya muonekane wasanii, mtu anahitaji majibu ya maswali yake halafu wewe unamuambia binadamu huwezi kuelewa mpaka Mungu mwenyewe akuangazie.
 
Kwa mujibu wa imani ya wakatoliki Maria hakuzaa tena na wala hakujamiiana na Yosefu! Kwa hiyo baada ya Maria kumzaa yesu hakuzaa tena na alibaki na bikra yake ! Maana kama Mimba iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu maana bikra haikuondolewa na pia wakati wa kuzaa ikuwa ni kwa uwezo wa roho mtakatifu hivyo maria ni Bikra daima! Haya mambo huwezi kuyajua kama huna imani !
👀
 
Imani Imani Imani
 
Unajua bikira ninini?
 
Aliyekwambia Wakatoliki ”wanamuabudu” Mama Maria ni nani?

Hawamuabudu bali ”wanamuheshimu” nadhani wewe mswahili mwenzangu hayo maneno unaiona tofauti yake
Kumheshim ndo wamtukuze kias iko na kuomba kupitia yeye badala ya Yesu mwenyew?
 
Dhambi ya ubaguzi ukimaliza kuwabagua wageni huwa inarudi mnaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe ndani nyumba
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimerudi kwenu Wakuu

Iko namna hii,

Inajua kwanini Wasabato wanadai y Mwanamke anayetajwa kwenye Ufunuo 12 anasimama badala ya Kanisa lao la Waadventista Wasabato (SDA)?

Ipo sababu kubwa ya msingi ya chuki hiyo dhidi ya Bikira Maria aliye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo

Ndiyo Msabato mueleze chochote atakuelewa ila usithubutu kumpa sifa yeyote Bikira Maria nakuthibitishia ndugu yangu mtagombana

Chuki hiyo inawapofusha wengi wao na kuamua kutafsiri kwa njia potofu fungu hilo ambalo liko wazi kabisa na wala halihitaji kufunga siku arobaini Ili kulielewa.

Kwao Bikira Maria hana thamani zaidi ya kumfananisha na Bahasha ambayo kawaida ikitumiwa hutupwa jalalani

Tukirudi kwenye mada hebu waulize kuwa kama kweli huyo mwanamke ni Kanisa je Mtoto aliyezaliwa ni nani?? Baadhi yao watakujibu kuwa huyo Mtoto ni Yesu Kristo!

Waulize tena pia kipi kilitangulia kati ya Kanisa na huyo Mtoto?

Yaani Mwanamke ni Kanisa lakini Mtoto aliyezaliwa ni Yesu Kristo!! Ajabu kubwa kabisa

Karibuni tujadili kwa heshima na staha

Jumapili njema

UFUNUO 12

12:1 Kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. Palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!

2 Alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

3 Ishara nyingine ikatokea mbinguni: joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji.

4 Joka hilo liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa duniani. Nalo lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.

5 Kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Lakini mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa Mungu na kwenye kiti chake cha enzi

View attachment 2530598
wasabato ni wayahudi na waislamu zaidi kuliko kuwa wakristo
 
Sawa ila weka maandishi yanayosema Maria alikufa
Ndugu yangu, msipende kupotoshwa na Viongozi wa dini kwa maslai yao, Elimu ya Dini ni pana sana,Siyo lazima uisome kupitia tu viongozi wako, ukitaka kuielewa nende mbali zaidi,Mambo muhimu yote yameandikwa kwenye vitabu, sasa kungekuwa hakuna maana kama wangeandika kwamba bikira maria alikufa na kuzikwa,
UUba

Unajua maana ya dogma?
Sijui,maana yake nini?
 
Unavosema" utuombee sisi wakosefu..." Hiyo si ibada?
Yaani Maria, akuombee mbele ya nani kwanza wakati ni jukumu lako kumuomba Mungu aliye Mtakatifu mno akusamehe dhambi zako.
Mbona wewe unaendaga kwa Mchungaji wako na Kusema akuombee?.Kuna Shida gani mimi nikimuomba Mama wa Mungu aniombee kwa mwanae?.
 
Maneno kama haya ndo yanayofanya muonekane wasanii, mtu anahitaji majibu ya maswali yake halafu wewe unamuambia binadamu huwezi kuelewa mpaka Mungu mwenyewe akuangazie.
Ndio hivyo mkuu.Kuna mambo ili kuyaelewa yanahitaji zaidi macho ya rohoni,na ukidadisi sana huwezi kupata chochote zaidi ya laana.Ktk Biblia hata Zakaria alipohoji sana Kuhusu Mkewe kupata Mtoto ktk Umri wa uzee alipigwa Ububu,soma Lk.1:5-20,Huo mstari wa ishirini uusome kwa umakini utaelewa nilichokisema hapo.Hata Mke wa Luthu aligeuka nguzo ya chumvi kwasababu ya kukiuka maagizo ambayo msingi wake ni Imani vilevile,Soma Mwa.19:17,26,Hata Musa na Haruni hawakuweza kuingia nchi ya ahadi kwasababu ya Imani,Musa alipiga mwamba mara mbili badala ya mara moja.Kwa hiyo mambo ya Imani ukiyadadisi sana utaishia pabaya.
 
Dogma ni kitu cha kweli yaani ni ukweli usiopingika popote
Ndugu yangu, msipende kupotoshwa na Viongozi wa dini kwa maslai yao, Elimu ya Dini ni pana sana,Siyo lazima uisome kupitia tu viongozi wako, ukitaka kuielewa nende mbali zaidi,Mambo muhimu yote yameandikwa kwenye vitabu, sasa kungekuwa hakuna maana kama wangeandika kwamba bikira maria alikufa na kuzikwa,

Sijui,maana yake nini?
 
Bikira Maria alitumika kama daraja pale Mungu ambae ni roho alipouchukua mwili Ili azaliwe kwa mfano wa Mwanadamu Ili alete ukombozi kwa wanadamu walioteswa na shetani.
 
Bikira Maria alipokufa alipalizwa mbinguni, na hajawahi popote kurudi tena duniani Ili awe msaada kwa mwanadamu yeye alitumika kama daraja tu. Anaetokea watu kwa mfano wa bikira Maria ni jini anaeitwa Malkia wa Pwani, Queen of Coast, ndie aliyewatokea watoto wa Fatimah na kuwapa rozali, ndie aliyemtokea mtoto Yunis wa Mara anaeponya watu KWA maji na ndie anaewatokea watu na kuwapa maagizo.
Hakuna jina jingine lipaswalo kuabudiwa isipokuwa Yesu Kristo.
Huwezi ukafukuza pepo kwa jina la Maria.
 
Back
Top Bottom