mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
wanasemaga mapacha na tunaushauri,comments na quote zinazofanana cc MunkariKhaa!
Kumbe Mashaxizo na Mwekundu wanagundu ee?
Haki ya Mungu ma ticha nimecheka sana!
Nimeona sehem nyingi nikitajwa na Mwekundu!
Hahahahahaaaa!
...
Mimi kwako ile ya kunywa nanii pamoja! Nashangaa hakutuwekea!!!