Choose a dedication to your beloved jf member...!!!

1. I 1 u Mrembo by Nature na dada Mamndenyi na christine ibrahim na dada neggirl ...ngawakumisi mcho!

2. I 2 u Kaizer, unaniharibia plans zangu kwa tinna cute

3. I 3 u mshabiki wa siasa kwa mrengo wa chama badala ya utendaji kazi (infact yeyote anayemshabikia yeyote -kisiasa or otherwise- kwa sababu ya mrengo nam-number 3 sana!

4. I 4 u mwallu sema utawa unaninyima nafasi ya kuwa nawe! I swear ningekupata saccos zote navunja.

5. I 5 u Heaven on Earth, mimi49, Mtambuzi, Nicas Mtei, gfsonwin, Paloma, beibe nasty

6. I 6 u mimisa, nikiongea na wewe naishia kuku namba-1 zaidi.

7. I 7 u @jf members wote kwa kweli..leka kapsa!

8. I 8 u Smile (classmate), The Boss (no homo) watu8 (i can't believe hadi leo bro) Kaizer (so that I number-2 u myself) lara 1 (the lunch date!) babu Dark City

9. I 9 u MH! Mentor

10. I 10 u kiongozi yeyote (esp uliyeko JF) ambaye unajua unalotakiwa kufanya na hulifanyi (JESHI SLAP!)

11. I 11 u tinna cute darling hadi babu Asprin apate la kusema!

12. I 12 u bro mwekundu na Mashaxizo, Nataka kuoa bana!!!!

Khaa!
Kumbe Mashaxizo na Mwekundu wanagundu ee?
Haki ya Mungu ma ticha nimecheka sana!
Nimeona sehem nyingi nikitajwa na Mwekundu!
Hahahahahaaaa!
...
Mimi kwako ile ya kunywa nanii pamoja! Nashangaa hakutuwekea!!!
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha nimependa hapo tu penye lunch date
 
Kaka mkubwa vijiwe vyetu vipo karibu lakini sijui kwa nini hilo halitokei...😕

Ngoja nifukunyue namba yako nikupigie tukutane central police...

Khaa!
Kumbe Mashaxizo na Mwekundu wanagundu ee?
Haki ya Mungu ma ticha nimecheka sana!
Nimeona sehem nyingi nikitajwa na Mwekundu!
Hahahahahaaaa!
...
Mimi kwako ile ya kunywa nanii pamoja! Nashangaa hakutuwekea!!!

Sio gundu..ni vile nyie kila siku mnafurahia kuwa single..mi nmechoka na kila siku mama ananiuliza wajukuu lini!

Apo unaongelea jani au mbege!??

ha ha ha nimependa hapo tu enye lunch date

Shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh #kimyaKimya mkuu!!!
 
Sio gundu..ni vile nyie kila siku mnafurahia kuwa single..mi nmechoka na kila siku mama ananiuliza wajukuu lini!

Apo unaongelea jani au mbege!??

Akuna kitu kitamu kama mbege duniani! Hata Manka simtaki tena!
...
Tena mbege la mujini!
Naddhani unalijua!
 
Back
Top Bottom