Chonde Chonde Serikali tupieni upesi ' Jicho lake Kali ' katika huu ' Usanii ' wa uwekezaji wa GSM, Sevilla na la Liga kwa Klabu ya Yanga

Tuache tuache tuache we simba damu tunakujua huwezi kutusumbua na story zako za kuunga unga

Waulize simba na mo wenu kulikuwa na haja ya kuajiri CEO kutoka south wakati kuna madogo kibao wanaiweza hiyo position

Tuache na yanga yetu
 
GSM anataka au anadhani Sisi Wanayanga wote ni Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) wakati kumbe wenye Akili tupo wengi.
wewe siku zote mbona huwa unajitanabaisha kuwa ni mwana Mbumbumbu SC kindakindaki?
au umetishika na hii mikwara ya Vyura FC nini??
 
Mna
Hapo ID yangu hii ilikuwa ' Hacked ' na Watu wabaya, ila kwa sasa ndiyo ninayo Mimi GENTAMYCINE Mwanayanga ' Kindakindaki ' kabisa Mkuu!!!
[/QUOTMnaMnafiki mkubwa wee sijui unafaidika na nn kwa unafiki wa kujifanya mwana yanga fake
 
Tulia wewe mkuu tunahitaji yanga mpya mimi binafsi sijaona tatizo muacheni GSM afanye manuva kwa manufaa ya klabu na wanachama tumechoka kutembeza mabakuli na kudharauliwa wanajangwani wenzangu ni heri tumshukuru mungu kwa kutufikisha mpaka hapa haina ya kulaumu uongozi wadau
 
Kwani MO keshatoa BIL 20 ALIZOWAAHIDI " TAKO MOKO" FC? Yana waachie yanga pambana na Gabacholi wenu!

Inasemekana ameshatoa kwani ndiyo maana Wachezaji wetu Yanga FC wanaongoza ' Kuwapiga Mizinga ' Wachezaji ' Matajiri ' wa Simba SC Mkuu.
 
Kwanza ww sio Yanga na kama ni mwanchama wa Yanga ww ndio huna iQ
 
Huyu jamaa ni bonge ya jinga fulani, lakini yeye mwenyewe anajiona anauwezo sana, na ukiangalia hizo comment ni kama vile anatumia ID nyinginyingi anajijibu yeye mwenyewe
 
Tuache tuache tuache we simba damu tunakujua huwezi kutusumbua na story zako za kuunga unga

Waulize simba na mo wenu kulikuwa na haja ya kuajiri CEO kutoka south wakati kuna madogo kibao wanaiweza hiyo position

Tuache na yanga yetu

Tanzania ina ' CEO's ' wa Kuendesha mambo mengine tu, ila haina ' CEO's' wa Kuendesha na Kusimamia Mambo ya Mpira. Tuwapongeze Simba SC.
 
wewe siku zote mbona huwa unajitanabaisha kuwa ni mwana Mbumbumbu SC kindakindaki?
au umetishika na hii mikwara ya Vyura FC nini??

Ni lini Mimi GENTAMYCINE nimejitambulisha hapa kuwa ni Mwana Simba SC Mkuu? Hivi kuna JF Member asiyejua kuwa Mimi ni Mwana Yanga SC?
 
Akili yangu ni ndogo kwakuwa nimesema tu ukweli wa ' Kuwashtua ' wana Yanga SC Wenzangu kuwa GSM anaenda ' Kutupiga ' Yanga SC yetu au?
 
Hata mi nimejiuliza huyu jamaa aliyeleta hii habari si mwana simba huyu au ndo muendelezo wa unafiki kama jadi ya waTZ

Ni lini GENTAMYCINE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " amewahi Kujinasibu hapa kuwa ni Mwana Yanga SC?
 
Kwanza ww sio Yanga na kama ni mwanchama wa Yanga ww ndio huna iQ

Futa Kauli yako upesi sana vinginevyo wale ' Waganga ' wote mliowatumia kwa Kuwafunga Simba SC tarehe 8 nawapa Simba SC wawatumie hasa.
 
Huyu jamaa ni bonge ya jinga fulani, lakini yeye mwenyewe anajiona anauwezo sana, na ukiangalia hizo comment ni kama vile anatumia ID nyinginyingi anajijibu yeye mwenyewe

Ungebahatika tu au hata Ukoo wako wote wa Kuume na Kikeni kuwa na angalau hata 5% ya IQ yangu mngeringa na kutamba ila hamjapewa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…