he he he pole kwa kukushtua, tuwaombee isitokee!!!
namkumbuka....mkinipa uhazini nitanunua vifaa vya digitali.
naona kwaya bado haina mwalimu wa dance routines,
hivyo mimi nitakua choreographer,hapo ni viuno vya kufa mtu,
wanakwaya tutashake na kuvibrate hapana masihara.
asante@smiling saintNimefurahi kumuona queenkami