Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Vin Diesel upo wapi na mkeo nyumba kubwa Mamndenyi ? Leteni mawazo yenu hapa.
Last edited by a moderator:
Vin Diesel upo wapi na mkeo nyumba kubwa Mamndenyi ? Leteni mawazo yenu hapa.
...hahahahaha tena za kisasa zina toilet ndani hakuna kuchimba dawa njiani...kisha tuna i pimp kwa kuweka min counter ...Ngoja tuone wafadhili inakuwaje!
Vin Diesel upo wapi na mkeo nyumba kubwa Mamndenyi ? Leteni mawazo yenu hapa.
Paloma hantaki!
Mamndenyi nimemtuma shamba.....huku nyuma nikafanya fungate jipyaaaaa:becky:Vin Diesel hajielewi elewi ujue, mara Mamndenyi simtambui, mara nimemtuma shamba , alimradi kizungumkuti
Nasi tujipange
Mhmm bishosti hupo?kimya naomba uwe mratibu!
Bishanga nakuangalia kwa wasiwasi unless you give us a Dash 8 or a Bombadier!! hapo ntakuachia kiiiila kitu!!!Come on Paloma,unamwonaje bishanga,ni wa kuparamia mabasi? Ka vipi niwachangie mnunue ka charter plane? Seneca two au twin otter? Au atr ndogo?
Vin Diesel you are not seroius!!! At all!!!paloma nipo nae mie.....huwezi mpata....
nipo broda KakaKiiza, mie niwe treasurer banaa...michongo yooote ya wafadhili niiratibu mie!!!Kaonyesha msisitizo zaidiMhm unapenda kitengo! Bishanga nakuangalia kwa wasiwasi unless you give us a Dash 8 or a Bombadier!! hapo ntakuachia kiiiila kitu!!! Vin Diesel you are not seroius!!! At all!!!
nipo broda KakaKiiza, mie niwe treasurer banaa...michongo yooote ya wafadhili niiratibu mie!!!
Bishanga nakuangalia kwa wasiwasi unless you give us a Dash 8 or a Bombadier!! hapo ntakuachia kiiiila kitu!!!
Vin Diesel you are not seroius!!! At all!!!
Inawezekana unatumia mtama wakutengenezea pombe tumia mtama wakula!uone ndege tunduni!
Nasimamia mapato na matumizi ya ilo basi