Vin Diesel nakuangalia tu unavorukaruka na kuomba misamaha!!!...........soon ntatoa tangazo humu..!!!Hebu nikane hapa mbele ya public my Paloma....maana sasa sikuelewi kabisaaaaa
KakaKiiza!!!Inawezekana unatumia mtama wakutengenezea pombe tumia mtama wakula!uone ndege tunduni!
Huyu ndege yupo tunduni....anaruka ruka tu hapo mtini...hapa hatoki...
Vin Diesel nakuangalia tu unavorukaruka na kuomba misamaha!!!...........soon ntatoa tangazo humu..!!!
KakaKiiza!!!
nimeshakwambia hauko siriaz wewe Vin Diesel:cell:
duh! Wewe nomaa mie mmoja tu huyu ananipeleka puta lakini wewe kijiji kizima cha chit-chat unakipeleka puta
mie nakaa mpakani mwa shinyanga na mwanza swali: mie nitakuwa raia wa wapi!?
Mimi hilo Basi litakua linalala kwangu!!
Usiriaz gani wewe uutakao bi mdogo Paloma.... Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Vipi Umeniita au??nije? PalomaVin Diesel nakuangalia tu unavorukaruka na kuomba misamaha!!!...........soon ntatoa tangazo humu..!!!
KakaKiiza!!!
nimeshakwambia hauko siriaz wewe Vin Diesel:cell:
Vin Diesel natangaza nia!!!!!!!
Ili uendeshe hilo basi, kwa mganga lazima, uzuri mi nipo karibu nayeNitakuwa dereva wa hilo basi.......
.............napelekeshwa sana
Umeniwahi,basi me ntakuwa kondaNitakuwa dereva wa hilo basi.......
Ili uendeshe hilo basi, kwa mganga lazima, uzuri mi nipo karibu naye