Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
hapo ndo chit chat inavyorudi kwa wenyewe
hahahahaha
hapo ndo chit chat inavyorudi kwa wenyewe
kama kina nani?
Acheni hizo nyiee kina Husninyo. Mi sina usingizi kabisa.
we mzee husninyo kafanyaje?
Anakuota. Hajui ngumi za pua huyu?
Vidole viliteleza bana.
We vipi!! umetokea jandoni nini!!.wapi wewe! vidole!,sema miguu iliteleza kwenye mteremko ukajipata rendhanded kwenye chit chart,ha2na ubaya karibu sana,au Dena unasemaje?
Tafadhali tuheshimiane... mi siwezi kuwa mbaya kiasi hicho. mi HB bana.kwani mwita25 na BIG X ni mapacha?
We vipi!! umetokea jandoni nini!!.