Chit-Chat ina wenyewe.

Chit-Chat ina wenyewe.

ndio huyo huyo halafu kesho yake akapost thread humu humu chit chat. Dah.
Mi jukwaa ambalo humu nakosa pozi kabisa ni MMU ingawa naipenda.ila kwingine najisikia free
 
Kuna watu walikuwa wanasema ifutwe, sijui kwasababu gani. Hivi hasa inasaidia nini...
 
yaani Big X jina kubwaaaa lakini Avatar inanimaliza mbavu.
teh teh teh ndo zake yule....si unakumbuka aliingia na gia za kulalamika watu hawacoment kwenye post zake
 
Back
Top Bottom